mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Acha ujinga wako! Usijilinganishe na Wachina ambao hawasomi ktk Kiingereza. Kama mchina haongei Kiingereza ni sawa kwa vile anasoma ktk Kichina. Mama yako anasoma katika kiingereza sekondari mpaka anapata PhD halafu hawezi kuongea Kiingereza unamtetea nini?
Elimu mbovu. Acha kutetea ujinga wako na kujifariji. Kiingereza ni lugha kwa Mwiingereza ambaye anaweza kuongea bila kwenda shule. Mama yako huko Usukumani anaweza kuongea Kiingereza bila kwenda shule? Bichwa limetuna kwenye utosi kama Jiwe na mdomo umeanzia kwenye sikio na kuishia kwenye sikio lingine kama mkurugenzi wa NEC.
kwa hasira hizi wewe hata tukikupeleka huko IST kwa pesa za biko bado utarudi 0.
umasikini ni sumu kubwa sana,hata hao watoto wa watu wenye pesa,wanaonekana kuwa vyema sababu hawajui harufu ya umasikini ikoje.