Kwanini uwaze kupunguza instead of training.., kama mwalimu ambae tayari anaujuzi ni rahisi kumtrain kuliko useme upunguze uajiri wapya,... kwa upande wa HR unahitaji kuondoa, kujengea uwezo, na kuajiri walimu zaidi ya 100,000 sio mchezo. Hao utakaowaondoa inamaanisha lazima "redundancy" ipite sasa malipo yake ndio balaa; piga hesabu hapo kila mmoja alipwe average 100,000,000 unazungumzia more than 10tr/- redundancy ya walimu halafu uanzishe ajira mpya ku-replace hao walioondolewa. Hiyo ni HR peke yake; njoo kwenye miundombinu; vitabu; n.k. Si mnataka ISO-certification?
mkuu ni easy sana serikali kujenga shule zenye hadhi kama hizo international school sema hawataki tu kufanya haya matatu
1.kujenga upya miundombinu mfano madarasa nk
2.kubadili mfumo wa ufundishaji
3.kuboresha maslahi ya walimu,ujue walimu wetu wana maisha magumo mno (japo wachache ni wajanja wanaishi kama maafisi wa serikali)
Hao hao walimu unaowadharau na jizo grade zao ndio waliokufikisha hapo ulipo,.... whaaaaat! cariha you are not serious! Yaani mwalimu wa shule ya msingi Kimanzichana FIV (F-F-D-D-D-F-F) plus Teacher's Certificate Grade IIIA apewe mafunzo ya kuwa level ya mwalimu wa IST? Na hayo mafunzo atapatiwa na college zipi? Hizi hizi tunazozijua?
Hahaha....ukiwa vizuri upstairs mbona kawaida sana...Kwa Uandishi huu wewe huwezi kuwa umepita kwenye International Universities.
Unatudanganya.
Ndio hupelekwa mafunzo Kuna mtu namfahamu mwalimu wakawaida alikuwa international alipelekwa mafunzoni, na wengine hutoka hata udsm alikuwa international kikubwa ni mtaala unasemaje na kazi inafanyika. Kuna mwingine naye katoka udsm Yuko international ya Ada milion arobaini wakawaida tu. So shida sio waalimu ni mtaala unasemaje?.... whaaaaat! cariha you are not serious! Yaani mwalimu wa shule ya msingi Kimanzichana FIV (F-F-D-D-D-F-F) plus Teacher's Certificate Grade IIIA apewe mafunzo ya kuwa level ya mwalimu wa IST? Na hayo mafunzo atapatiwa na college zipi? Hizi hizi tunazozijua?
[emoji23][emoji23][emoji23]Unaweza kuni DM namba zako. Tunatafuta wazazi kama nyie ili tuwatie viboko kwenye vichwa vyenu.
Mkuu kwani wanahamia moja kwa moja..si wanarudi kwenye nchi zao.Jiulize, kwanini hao watoto wa mabalozi wasisome shule za mitaala ya nchi husika?
Ndio hupelekwa mafunzo Kuna mtu namfahamu mwalimu wakawaida alikuwa international alipelekwa mafunzoni, na wengine hutoka hata udsm alikuwa international kikubwa ni mtaala unasemaje na kazi inafanyika. Kuna mwingine naye katoka udsm Yuko international ya Ada milion arobaini wakawaida tu. So shida sio waalimu ni mtaala unasemaje?
Which you can still get at the University level...Bado unazungumza mambo ya kusoma kujibu paper, International school watoto wana fundishwa kuelewa Dunia na vitu kama Exposure
Lakini hunikuti popote, uliyesoma shule za kukaangiwa maandazi..na kwa huu mwandiko wako unaonekana ngwini, bwahahaha..Kweli wewe umesoma shule za "sirikali". Hata bila ya kusema...
Lakini hunikuti popote, uliyesoma shule za kukaangiwa maandazi..
Mtu wa ngwini utakuwa na mshahara gani mkuu? au siyo nyie mnaanza na TGS DKwani unafikiri mimi ni nani? Ama unataka nikuonyeshe salary slip yangu uzimie?
Mtu wa ngwini utakuwa na mshahara gani mkuu? au siyo nyie mnaanza na TGS D
Mifumo yetu ndio shida na kuibadilisha kwa hali hii ya tanganyika yetu kisiwa cha amani itachukua muda sana labda miaka 100+ mbeleHivi inamaana hatuwezi kubadilisha mitaala ya hizi shule zetu ziwe kama za kimataifa. Najiuliza tu. Kwani hatuwezi au ni nini shida
Mama yangu kaingiaje hapa, huwezi ukawa umesoma PCM kwa design hii ya uandishi..Huyo ngwini labda mamako hapo nyumbani. Mimi nimesoma PCM.
Mimi naona mitaala ya kufundishia maana walimu waliotoka vyuo vyetu nao hufundisha hzo shule wakutoka nje ni wachache Sana,Shida kubwa ni walimu hayo mengine mapambo tu. Tanzania ni Anglophone. Tunatumia Kiingereza kufundishia na tunataka wanafunzi wazungumze Kiingereza kwa ufasaha. Utajifunzaje Kiingereza kutoka kwa mwalimu ambaye yeye hawezi. Labda mitaala unayosema iwe ya Kiswahili sasa. Kikubwa ni mwalimu, hata chini ya mwembe kama una mwalimu mzuri, utakuwa mzuru tu.
Mimi naona mitaala ya kufundishia maana walimu waliotoka vyuo vyetu nao hufundisha hzo shule wakutoka nje ni wachache Sana,