Mtu unanuka njaa, bado unataka watu wakupigie simu. Ili iweje?

MFALME WETU

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2021
Posts
5,824
Reaction score
14,757
Ciao,

Huwa inashangaza sana kukuta mtu analalamika kuwa circle yake imemtenga kwa namna moja au nyingine baada ya kuyumba kiuchumi.

Unakuta mwanaume mzima analia eti fulani sikuiz hanitafuti kabisa kisa nimefulia, bro? Sasa akutafute ili iweje? Come on.

Mimi nakumbuka enzi izo najitafuta ilikua nikifulia tu sipokei simu ya mtu yeyote haijalishi ni nani anapiga tena ikibidi nabadili kabisa namba mpaka mambo yangu yatapokaa sawa ndo narudi hewani.

Mtu ukifulia jipe muda tafakari ni wapi umekosea kisha weka mikakati ya kujinasua, kumbuka ulizaliwa peke yako na utakufa peke yako ivyo maisha yako ni jukumu lako 100%.

Acha kulaumu watu, iyo ni nature Dunia nzima binadamu ndo tuko ivo. Kama hauna pesa basi hauna thamani na kitu kisichokua na thamani tuna tendency ya kukitrash.

Wewe utampigiaje simu mtu unajua kabisa ananuka njaa kama sio umbeya? Muache apambane
 
Yani watu ulikuwa unakesha nao bar bills on you! Watu ambao walikuwa wakikwama wanakutafuta wewe unawasaidia, watu ambao ndio tegemezi hata ushauri wanakuomba wewe! Siku imetokea mambo yameenda ndivyo sivyo wanapotea na wala hawawezi kukupiga tough kidogo tu!

Aanh mkuu hebu kuwa serious!
 
So sad huez kupingana na nature.!!
 
Mwanaume kulialia kutengwa, hupigiwi, hupokelewi simu ni mambo ya kishamba!!!

Mwanaume anatakiwa kuwa kama mti, ikikatwa yote ukibaki mmoja still unaendelea kukua .
Nina mwanangu mmoja analialia sana hili jambo ni kama linamuumiza, tuweni neutral tu tupunguze mipaka na watu pia! Unasaidia watu kama umewazaa siku ukikwama lazima uone umetengwa!
 
Yani watu ulikuwa unakesha nao bar bills on you! Watu ambao walikuwa wakikwama wanakutafuta wewe unawasaidia, watu ambao ndio tegemezi hata ushauri wanakuomba wewe! Siku imetokea mambo yameenda ndivyo sivyo wanapotea na wala hawawezi kukupiga tough kidogo tu!

Aanh mkuu hebu kuwa serious!
Hadi Waliposema tenda wema nenda zako. Ujue walishakutana na mengi.

Kuna mtu kazini, kwenye issue ya kuchambua michango ya pesa anaweza kuwa kwenye A list, ila kutoa pesa yake mfukoni ni mgumu kama mtihani wa CPA.
 
Uhusiano wa kibinadamu always ni wa manufaa ya pande mbili, hakuna urafiki wowote duniani unaosimama/uliosimama bila kubadilishana kitu iwe ni pesa, faraja, taarifa, au fursa.
Hususan kwa mwanaume, haijakaa sawa eti unatega mikono kwa wadau kisa umewahi kuwashika mkono kipindi uko poa mfukoni, wakienda kinyume na matarajio yako unaanza kutoa milio
 
Ciao,

Huwa inashangaza sana kukuta mtu analalamika kuwa circle yake imemtenga kwa namna moja au nyingine baada ya kuyumba kiuchumi.

Unakuta mwanaume mzima analia eti fulani sikuiz hanitafuti kabisa kisa nimefulia, bro? Sasa akutafute ili iweje? Come on.

Mimi nakumbuka enzi izo najitafuta ilikua nikifulia tu sipokei simu ya mtu yeyote haijalishi ni nani anapiga tena ikibidi nabadili kabisa namba mpaka mambo yangu yatapokaa sawa ndo narudi hewani.

Mtu ukifulia jipe muda tafakari ni wapi umekosea kisha weka mikakati ya kujinasua, kumbuka ulizaliwa peke yako na utakufa peke yako ivyo maisha yako ni jukumu lako 100%.

Acha kulaumu watu, iyo ni nature Dunia nzima binadamu ndo tuko ivo. Kama hauna pesa basi hauna thamani na kitu kisichokua na thamani tuna tendency ya kukitrash.

Wewe utampigiaje simu mtu unajua kabisa ananuka njaa kama sio umbeya? Muache apambane
Kama samia ananuka damu anataka anukie mema
 
Back
Top Bottom