Nexltshahda
JF-Expert Member
- Jun 1, 2026
- 405
- 820
Imenitachi, mwenzio nikifulia nawapigia wanawake tu, naona aibu kumsumbua dume mwenzang
No friends no fakers i am single in single no fucking idiots human being who are using you to get their profitYani watu ulikuwa unakesha nao bar bills on you! Watu ambao walikuwa wakikwama wanakutafuta wewe unawasaidia, watu ambao ndio tegemezi hata ushauri wanakuomba wewe! Siku imetokea mambo yameenda ndivyo sivyo wanapotea na wala hawawezi kukupiga tough kidogo tu!
Aanh mkuu hebu kuwa serious!
Kabisa!No friends no fakers i am single in single no fucking idiots human being who are using you to get their profit
Wakati mwingine inakuwa funzo kwa wengine,watu wasijimalize sana kwa marafiki na wengine.Unachokipata kielekeze zaidi kwenye malengoSo sad huez kupingana na nature.!!
Yeah, ukifulia ndo muda wa kusumbua wanawake ili kujua rangi zao 😁Imenitachi, mwenzio nikifulia nawapigia wanawake tu, naona aibu kumsumbua dume mwenzang
Hamnaga kitu kinaitwa "Rafiki" hamna kitu kama iko japo kumuelewesha mtu ni ngumu sanaWakati mwingine inakuwa funzo kwa wengine,watu wasijimalize sana kwa marafiki na wengine.Unachokipata kielekeze zaidi kwenye malengo
Huo unakuwa sio urafiki bali ni unafiki.Toka uko kwenye shida urudi tujumuike pamoja, huoni aibu mwanaume kupigwa tafu?
Yaani nilitumiwa nilichezewa hisia sasa nipo alone nakula good time mwenyewe kidogo ninachopata na gawana na Mungu.Kabisa!
Ila kuna washirikaHamnaga kitu kinaitwa "Rafiki" hamna kitu kama iko japo kumuelewesha mtu ni ngumu sana
Bro utakuta hapo katumia buku4 kulewa + buku ya bando..Matajiri wa JF hao
Umefanya vizuri kabisa, wote tunapitia changamoto katika maisha, ni vizuri kufunz ana kutorudia makosa tu! Umepiga hatua nzuri sana!Yaani nilitumiwa nilichezewa hisia sasa nipo alone nakula good time mwenyewe kidogo ninachopata na gawana na Mungu.
Kwahiyo neno rafiki ni msamiati wenye maana gani kwako?Hamnaga kitu kinaitwa "Rafiki" hamna kitu kama iko japo kumuelewesha mtu ni ngumu sana
Tena bora ampigie uyo dume mwenzie huku hatoamini kama ndio sisi🤭Yeah, ukifulia ndo muda wa kusumbua wanawake ili kujua rangi zao 😁
Hatari sana,nimechekaBro utakuta hapo katumia buku4 kulewa + buku ya bando..
Kwenye kulewa kanywa sungura
Mkuu sio vijana tu hadi watu wazima yanawakuta.Ila vijana sasa hivi mna wakati mgumu sana.
Rafiki ni adui ambae amefichwa na wakatiKwahiyo neno rafiki ni msamiati wenye maana gani kwako?
Kabisa mkuu..Kuna namna unaume unatafsiliwa vibaya!
Hata kama unanuka njaa sio kigezo cha kutopigiwa simu au kuachwa mpweke, ndio maana rate ya wanaume kujinyonga inaongezeka Kwa Kasi sana.
Chuki na Roho mbaya zako unataka kuaminisha watu wote kuwa maisha nikupambana pekee yako ovyoo kabisaCiao,
Huwa inashangaza sana kukuta mtu analalamika kuwa circle yake imemtenga kwa namna moja au nyingine baada ya kuyumba kiuchumi.
Unakuta mwanaume mzima analia eti fulani sikuiz hanitafuti kabisa kisa nimefulia, bro? Sasa akutafute ili iweje? Come on.
Mimi nakumbuka enzi izo najitafuta ilikua nikifulia tu sipokei simu ya mtu yeyote haijalishi ni nani anapiga tena ikibidi nabadili kabisa namba mpaka mambo yangu yatapokaa sawa ndo narudi hewani.
Mtu ukifulia jipe muda tafakari ni wapi umekosea kisha weka mikakati ya kujinasua, kumbuka ulizaliwa peke yako na utakufa peke yako ivyo maisha yako ni jukumu lako 100%.
Acha kulaumu watu, iyo ni nature Dunia nzima binadamu ndo tuko ivo. Kama hauna pesa basi hauna thamani na kitu kisichokua na thamani tuna tendency ya kukitrash.
Wewe utampigiaje simu mtu unajua kabisa ananuka njaa kama sio umbeya? Muache apambane
Mwanaume inatakiwa kukaza mkuu vinginevyo atakazwa.!Kuna namna unaume unatafsiliwa vibaya!
Hata kama unanuka njaa sio kigezo cha kutopigiwa simu au kuachwa mpweke, ndio maana rate ya wanaume kujinyonga inaongezeka Kwa Kasi sana.