che chaunichile
JF-Expert Member
- Jul 4, 2026
- 682
- 1,120
Kabisa, tunaishi kwa kutegemeana.Hizi ndio akili fupi kama unahisi unaweza Fanya kitu peke Yako ukafanikiwa kungekuwa peke Yako Duniani
Kabisa, tunaishi kwa kutegemeana.Hizi ndio akili fupi kama unahisi unaweza Fanya kitu peke Yako ukafanikiwa kungekuwa peke Yako Duniani
Kwan utajiri unaanzia sh ngapi mkuu, mimi apa nina buku 3 mfukoni basi naona maisha safi kabisa 😁Bro utakuta hapo katumia buku4 kulewa + buku ya bando..
Kwenye kulewa kanywa sungura
Maisha ni yako inatakiwa uyapambanie mwenyewe, ukitaka kutegemea watu utachelewa sana mdogo wetu.! Take it or leave it at your own riskHizi ndio akili fupi kama unahisi unaweza Fanya kitu peke Yako ukafanikiwa kungekuwa peke Yako Duniani
Na katika haya ndiyo maana hata bar ,sijui wapi kote kwenye statehe napendelea kwenda pekee yangu ninyonyee pekee yangu nirudi kwangu pekee yangu yaani sitaki ukaribu na watu .Yani watu ulikuwa unakesha nao bar bills on you! Watu ambao walikuwa wakikwama wanakutafuta wewe unawasaidia, watu ambao ndio tegemezi hata ushauri wanakuomba wewe! Siku imetokea mambo yameenda ndivyo sivyo wanapotea na wala hawawezi kukupiga tough kidogo tu!
Aanh mkuu hebu kuwa serious!
Hii tafsili ndio inawaumiza wengi huwezi kupambana mwenyewe bila watu kaka, unahitaji watuMaisha ni yako inatakiwa uyapambanie mwenyewe, ukitaka kutegemea watu utachelewa sana mdogo wetu.! Take it or leave it at your own risk
Kabisa mkuu! Uko sahihi, mambo yakuandamana na vikundi fake kujifanya mnafurahia maisha kumbe hakuna kila kitu 🚮Na katika haya ndiyo maana hata bar ,sijui wapi kote kwenye statehe napendelea kwenda pekee yangu ninyonyee pekee yangu nirudi kwangu pekee yangu yaani sitaki ukaribu na watu .
Imagine huyu ndiye mwana ambaye tuhela twangu twa rushwa nakunywa naye unadhani siku nikiwa exposed atanikumbuka kweli ?
Si ajabu akaja kuniuwa kabisa hapa kwenye kajajamiiforums
Nilishaacha kabisa aisee .Kabisa mkuu! Uko sahihi, mambo yakuandamana na vikundi fake kujifanya mnafurahia maisha kumbe hakuna kila kitu 🚮
Usitake kuniambia jana ulikuwa old school na wewe! Hivi mlimaliznaa saa ngapi wazee wa kazi🤣 Mimi sijui ndio uzee nimekuwa mvivu kutoka nasinzia bar acha tu😅Nilishaacha kabisa aisee .
Sasa mwanangu jana wakongwe wanaturudisha mambo ya zamani ulikuwa wapi maana full kukutafuta mpaka alfajiri sikuoni mara naye Mamba akaanza kuharibu hali ya hewa ikabidi kujikokoota kurudi kwenye nyumba ya mzee nipumzishe kichwa