MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
- Thread starter
- #61
Sawa AshuraChuki na Roho mbaya zako unataka kuaminisha watu wote kuwa maisha nikupambana pekee yako ovyoo kabisa
Sawa AshuraChuki na Roho mbaya zako unataka kuaminisha watu wote kuwa maisha nikupambana pekee yako ovyoo kabisa
Kwakweli! Kwahiyo hawa tunaobadilishana nao mawazo wengi ni washkaji tu sio?Rafiki ni adui ambae amefichwa na wakati
Vyovyote iwavyo ila ujue tunaishi kwa kutegemeana.No friends no fakers i am single in single no fucking idiots human being who are using you to get their profit
Sijui wewe na circle yako, mimi watu ninaoshare nao mawazo na moments ni strangers naokutana nao bar na akina AishaKwakweli! Kwahiyo hawa tunaobadilishana nao mawazo wengi ni washkaji tu sio?
Sasa kama sisi tusioenda bar tunakutana na watu masomoni, makazini na kanisani! Mimi nashare mawazo sana na wateja wangu kuliko watu wengine!Sijui wewe na circle yako, mimi watu ninaoshare nao mawazo na moments ni strangers naokutana nao bar na akina Aisha
Hapana, sisi wa zamani utu kwanza pesa baadae.Mkuu sio vijana tu hadi watu wazima yanawakuta.
Mabadiliko ya wakati yametufikia wote
Binadamu tunategemeana,sio wote wabaya na wazuri pia ila kuwajua ndio mtihani.Sasa kama sisi tusioenda bar tunakutana na watu masomoni, makazini na kanisani! Mimi nashare mawazo sana na wateja wangu kuliko watu wnegine!
Mkuu wachache sana wamebakia,ila wengi wamepatwaHapana, sisi wa zamani utu kwanza pesa baadae.
Kabisaa!Binadamu tunategemeana,sio wote wabaya na wazuri pia ila kuwajua ndio mtihani.
Hizi ndio akili fupi kama unahisi unaweza Fanya kitu peke Yako ukafanikiwa kungekuwa peke Yako DunianiMwanaume inatakiwa kukaza mkuu vinginevyo atakazwa.!
Katika maisha ni muhimu kuwa na hata marafiki wawili ambao hata mambo yaweje hamuwezi kutupana kabisa, na marafiki kama hao utakutana nao miaka ya chuo pale. Shule ya msingi, sokondsri na tuliokua na mtaani huwa tunapotezana miaka ya ukubwani.Uhusiano wa kibinadamu always ni wa manufaa ya pande mbili, hakuna urafiki wowote duniani unaosimama/uliosimama bila kubadilishana kitu iwe ni pesa, faraja, taarifa, au fursa.
Matajiri wa jf 😀😀😀😀Bro utakuta hapo katumia buku4 kulewa + buku ya bando..
Kwenye kulewa kanywa sungura
baada ya kufeli kidato cha sita, washikaji ZANGU wote wa mtaani wakanisusa, cha kushangaza Hadi wale niliokiwaga nawapigania nao wakanisusa, niliwahi kukutana na mshikaji niliosoma nae form four alipo niona akattaka kubadili njia, akakosa, ikabidi apite akiwa kajificha uso nisimuone, NAMI nilipitia ZANGU tu bila shida, cha ajabu tangu mwanzo sijawahi kuwaomba pesa au chochote ni ile wao tu kuninafikia.Yani watu ulikuwa unakesha nao bar bills on you! Watu ambao walikuwa wakikwama wanakutafuta wewe unawasaidia, watu ambao ndio tegemezi hata ushauri wanakuomba wewe! Siku imetokea mambo yameenda ndivyo sivyo wanapotea na wala hawawezi kukupiga tough kidogo tu!
Aanh mkuu hebu kuwa serious!
Sasa ukifulia hela unapata wapiKatika maisha ni muhimu kuwa na hata marafiki wawili ambao hata mambo yaweje hamuwezi kutupana kabisa, na marafiki kama hao utakutana nao miaka ya chuo pale. Shule ya msingi, sokondsri na tuliokua na mtaani huwa tunapotezana miaka ya ukubwani.
Lakini kutaka eti ukipotea dunia nzima ione absence yako, hapo ni mpaka uwe na hela
Pole sana mkuu! Ndio maisha, umia ujae!baada ya kufeli kidato cha sita, washikaji ZANGU wote wa mtaani wakanisusa, cha kushangaza Hadi wale niliokiwaga nawapigania nao wakanisusa, niliwahi kukutana na mshikaji niliosoma nae form four alipo niona akattaka kubadili njia, akakosa, ikabidi apite akiwa kajificha uso nisimuone, NAMI nilipitia ZANGU tu bila shida, cha ajabu tangu mwanzo sijawahi kuwaomba pesa au chochote ni ile wao tu kuninafikia.
Baadae nikachaguliwa chuo diploma in clinical medicine, nilifurahi sana, nikaanza mwaka wa kwanza Dodoma, nikapata demu alikua anaitwa Lena, demu alikua na Tako mweupe nywele imesimama mtoto keki laini, acha, tuliKua poa tu, tunaenda vizuri japo hatukua very closely, nikiwa semester ya kwanza nika disco, nillibembelleza siku fanikiwa kufanya sup, nikarudi Getto, siku zikaenda nikarudi kua raia, siku Moja nikaamtafuta Lena demu nilie mpenda Hadi kutaka nimuowe, cha. Kushangaza Lena niliemuacha hapo chuoni alinipokea vizuri kwenye simu tulizungumza Kwa raha lakini nilipo mkumbusha Lena kuwa NAMPENDA, na nataka kumuoa pindi akimaliza masomo, Lena alini kana, akanambia nifanye mambo yangu ye ndo basi aitowezekana.
Dah, niliumia sana lakin ndo maisha nikanyanyuka huyo kwenye kibarua changu cha saidia fundi mji wa serikali kucheki kibarua.
Asante sana mkuu, watu tunapitia mengi sometimes msizani tuna roho mbaya ila ni binadamu tulio wapa nafasi mwanzo, walitusaliti, tukapoteza imaniPole sana mkuu! Ndio maisha, umia ujae!
Kabisa!Asante sana mkuu, watu tunapitia mengi sometimes msizani tuna roho mbaya ila ni binadamu tulio wapa nafasi mwanzo, walitusaliti, tukapoteza imani
Hujapigwa tukioVyovyote iwavyo ila ujue tunaishi kwa kutegemeana.
My "sis" mradi tupo duniani,matukio hayakosekani.Hujapigwa tukio