Mtu unanuka njaa, bado unataka watu wakupigie simu. Ili iweje?

Ciao,

Huwa inashangaza sana kukuta mtu analalamika kuwa circle yake imemtenga kwa namna moja au nyingine baada ya kuyumba kiuchumi.

Unakuta mwanaume mzima analia eti fulani sikuiz hanitafuti kabisa kisa nimefulia, bro? Sasa akutafute ili iweje? Come on.

Mimi nakumbuka enzi izo najitafuta ilikua nikifulia tu sipokei simu ya mtu yeyote haijalishi ni nani anapiga tena ikibidi nabadili kabisa namba mpaka mambo yangu yatapokaa sawa ndo narudi hewani.

Mtu ukifulia jipe muda tafakari ni wapi umekosea kisha weka mikakati ya kujinasua, kumbuka ulizaliwa peke yako na utakufa peke yako ivyo maisha yako ni jukumu lako 100%.

Acha kulaumu watu, iyo ni nature Dunia nzima binadamu ndo tuko ivo. Kama hauna pesa basi hauna thamani na kitu kisichokua na thamani tuna tendency ya kukitrash.

Wewe utampigiaje simu mtu unajua kabisa ananuka njaa kama sio umbeya? Muache apambane
kaz kazi ndio mpango mzima gentleman 👊
 
mleta mada hawata kuelewa.

mimi nilikaa miaka mitano bila kuwasiliana na wazazi kisa bado najitafuta.

hata kwa mpenz wangu nikiwa sina hela simsumbuagi hata kumgusa tu hadi niwe na pesa hapo narudi na mahaba kama yote.
 
Ciao,

Huwa inashangaza sana kukuta mtu analalamika kuwa circle yake imemtenga kwa namna moja au nyingine baada ya kuyumba kiuchumi.

Unakuta mwanaume mzima analia eti fulani sikuiz hanitafuti kabisa kisa nimefulia, bro? Sasa akutafute ili iweje? Come on.

Mimi nakumbuka enzi izo najitafuta ilikua nikifulia tu sipokei simu ya mtu yeyote haijalishi ni nani anapiga tena ikibidi nabadili kabisa namba mpaka mambo yangu yatapokaa sawa ndo narudi hewani.

Mtu ukifulia jipe muda tafakari ni wapi umekosea kisha weka mikakati ya kujinasua, kumbuka ulizaliwa peke yako na utakufa peke yako ivyo maisha yako ni jukumu lako 100%.

Acha kulaumu watu, iyo ni nature Dunia nzima binadamu ndo tuko ivo. Kama hauna pesa basi hauna thamani na kitu kisichokua na thamani tuna tendency ya kukitrash.

Wewe utampigiaje simu mtu unajua kabisa ananuka njaa kama sio umbeya? Muache apambane
Kujamiiana (Socialization). Hivyo tu.
 
Watu ni chanzo cha matatizo tu, mara nyingi sipendi kuwa karibu nao, woman alone ndio aina gani ya maisha?
Hujawahi kusikia wanasema man alone meaning anayefanya mambo yake peke yake.
Sasa kwa kuwq issue yangu inamhusu mwanamke ndio maana nikaiita woman alone
 
Back
Top Bottom