MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
So sad huez kupingana na nature.!!Yani watu ulikuwa unakesha nao bar bills on you! Watu ambao walikuwa wakikwama wanakutafuta wewe unawasaidia, watu ambao ndio tegemezi hata ushauri wanakuomba wewe! Siku imetokea mambo yameenda ndivyo sivyo wanapotea na wala hawawezi kukupiga tough kidogo tu!
Aanh mkuu hebu kuwa serious!
Ashura unazinguaMatajiri wa JF hao
SawaAshura unazingua
Nina mwanangu mmoja analialia sana hili jambo ni kama linamuumiza, tuweni neutral tu tupunguze mipaka na watu pia! Unasaidia watu kama umewazaa siku ukikwama lazima uone umetengwa!Mwanaume kulialia kutengwa, hupigiwi, hupokelewi simu ni mambo ya kishamba!!!
Mwanaume anatakiwa kuwa kama mti, ikikatwa yote ukibaki mmoja still unaendelea kukua .
Ciao amico, come stai?
Hadi Waliposema tenda wema nenda zako. Ujue walishakutana na mengi.Yani watu ulikuwa unakesha nao bar bills on you! Watu ambao walikuwa wakikwama wanakutafuta wewe unawasaidia, watu ambao ndio tegemezi hata ushauri wanakuomba wewe! Siku imetokea mambo yameenda ndivyo sivyo wanapotea na wala hawawezi kukupiga tough kidogo tu!
Aanh mkuu hebu kuwa serious!
Hususan kwa mwanaume, haijakaa sawa eti unatega mikono kwa wadau kisa umewahi kuwashika mkono kipindi uko poa mfukoni, wakienda kinyume na matarajio yako unaanza kutoa milioUhusiano wa kibinadamu always ni wa manufaa ya pande mbili, hakuna urafiki wowote duniani unaosimama/uliosimama bila kubadilishana kitu iwe ni pesa, faraja, taarifa, au fursa.
Kama samia ananuka damu anataka anukie memaCiao,
Huwa inashangaza sana kukuta mtu analalamika kuwa circle yake imemtenga kwa namna moja au nyingine baada ya kuyumba kiuchumi.
Unakuta mwanaume mzima analia eti fulani sikuiz hanitafuti kabisa kisa nimefulia, bro? Sasa akutafute ili iweje? Come on.
Mimi nakumbuka enzi izo najitafuta ilikua nikifulia tu sipokei simu ya mtu yeyote haijalishi ni nani anapiga tena ikibidi nabadili kabisa namba mpaka mambo yangu yatapokaa sawa ndo narudi hewani.
Mtu ukifulia jipe muda tafakari ni wapi umekosea kisha weka mikakati ya kujinasua, kumbuka ulizaliwa peke yako na utakufa peke yako ivyo maisha yako ni jukumu lako 100%.
Acha kulaumu watu, iyo ni nature Dunia nzima binadamu ndo tuko ivo. Kama hauna pesa basi hauna thamani na kitu kisichokua na thamani tuna tendency ya kukitrash.
Wewe utampigiaje simu mtu unajua kabisa ananuka njaa kama sio umbeya? Muache apambane
We unaonaje Ashura?Unaweza kuwa na hoja ila umeshirikisha akili yako kisawa sawa?