Mtu unanuka njaa, bado unataka watu wakupigie simu. Ili iweje?

kaz kazi ndio mpango mzima gentleman 👊
 
mleta mada hawata kuelewa.

mimi nilikaa miaka mitano bila kuwasiliana na wazazi kisa bado najitafuta.

hata kwa mpenz wangu nikiwa sina hela simsumbuagi hata kumgusa tu hadi niwe na pesa hapo narudi na mahaba kama yote.
 
Kujamiiana (Socialization). Hivyo tu.
 
Watu ni chanzo cha matatizo tu, mara nyingi sipendi kuwa karibu nao, woman alone ndio aina gani ya maisha?
Hujawahi kusikia wanasema man alone meaning anayefanya mambo yake peke yake.
Sasa kwa kuwq issue yangu inamhusu mwanamke ndio maana nikaiita woman alone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…