Hamna kesi pale.Jamaa wana uhakika kabisa watashinda kesi, hata mwanasheria EEM M anaamini hivyo.
Hahahahaaa,mkuu mbona makasirikoArsenal wapi na wewe au we ndo umekula kaya?
Hyo style ya kurukia gar hata mim ilinishangaza,sjui ndo anatangaza ukomavu wakeHamna kesi pale.
Ushahidi umekaa ovyo sana kuthibitisha lile kosa. Kwa kuangalia mambo yafuatayo kwa haraka:-
1. Video inaonesha mmoja tu ndo anapiga mzigo. (Kumbuka kosa ni gang rape)
2. Muda wa mtuhumiwa alokuja kupimwa na daktari almost mwezi na siku kadhaa zimepita.
3. Tunaanza na authentification ya electronic evidence.
Na mambo mengine kibao, Hapo Nyundo anachomoka mapema sana ndo mana unaona anadandia gari kwa mbwembwe vile!...
Mtakuja kunambia
Yeaah hilo ndo limebaki hii nchi bila umafia hatutakaa tueshimianeHawa wakitoka ni kuwatengenezea mazingira kuwaua,shenzi
Kajisalimisha mapema, lakn ni aibu lugha mbovu km hiyo kutoka kwenye domo la askari tena aliye chini ya ulinzi sijui hii nchi imekuwa ya vijipolisi😡😠☹️Wa kike, kamjibu si utanioa jamani na wewe!
Wee tulia waje uku mtahani si wanajifanya wao ni vigaeWana jeuri, me nadhani hawa sheria mkononi ichukuliwe
Huwezi kusemaHivi ni camera man au camera woman
Sijui kwanini... Lakini inaonekana kwenye hii kesi hao watuhumiwa wataachwa huru.Watuhumiwa wanne wa kesi ya Ubakaji na ulawiti ambao ni Askari wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) MT 140105 Clinton Damas maarufu Nyundo, Amini Lema maarufu Kindamba, Nickson Jackson maarufu Machuche na Askari wa Jeshi la Magereza C 1693 Praygod Mushi wakiondolewa mahakamani jioni hii kurudishwa mahabusu mpaka Agosti 28, 2024 ambapo kesi hiyo itaendelea tena.
Nyundo na wenzake wakati wakitoka Mahakamani mmoja wao alisikika akimwambia Cameraman kuwa akifanikiwa kumaliza kesi yao atamtafuta "Wewe cameraman nikimaliza kesi nitakutafuta" Endelea Kufuatilia kurasa Zetu kufahamu Kuhusu kilichojiri Mahakamani kuhusu Kesi hii leo Agosti 23, 2024.
We jamaa unaonekana uko shallow Sana. Unafikiri ww unaakili kuliko DPP?Hakuna ushahidi wa kuwatia hatiani
Hao hawafungwi
Wataachiliwa huru
Hawajabaka wala kulawiti huo ushahidi haupo wazi.
Mtu aliyebakwa ushahidi unaonekana hapa hapo, Sasa huyo kabakwa mwezi wa nne,ashaoga ashasugua huo uchi Kwa maji na sabuni watapata wapi ushahidi.
True niliongea na afande mmoja wanasema madogo watatoka tuuKeshahakikishiwa kuwa atatoka huyo na ataendelea kutumikia kitengo chake cha ulawiti.
Jamaa kakubuhu mpaka anatamani wapiga picha.
ChaiWa huko wapi ?, Mimi fundi ujenzi.
Sina akili mbovu kiasi kile.
Kichaa wewe Ostadh Majin.Chai
Boss kumbe umebadili username😂😂😂😂😂 nilikuwa nakukumbusha tu Askari wa Tanzania wanapigiwa magoti!!!! hapo Kwanza ncheke😂😂😂😂Hamna kitu hapo tanzania hii haifungi askari yaani ufunge afande tanzania askari tanzania anapigiwa magoti demu kashaliwa na hamna watalofanywa hao
Bush lawyer unaendeleaje?Hamna kesi pale.
Ushahidi umekaa ovyo sana kuthibitisha lile kosa. Kwa kuangalia mambo yafuatayo kwa haraka:-
1. Video inaonesha mmoja tu ndo anapiga mzigo. (Kumbuka kosa ni gang rape)
2. Muda wa mtuhumiwa alokuja kupimwa na daktari almost mwezi na siku kadhaa zimepita.
3. Tunaanza na authentification ya electronic evidence.
Na mambo mengine kibao, Hapo Nyundo anachomoka mapema sana ndo mana unaona anadandia gari kwa mbwembwe vile!...
Mtakuja kunambia
Kwa hiyo hakimu aliyewatia hatiani Leo Hana akili sio....ndugu mwanasheria?Hapo hamna kesi hakuna ushahidi dhahiri wa kuwatia hatiani
Mahakama haifanyi kaZi Kwa hisia
Hao jamaa hakuna hakimu mwenye akili timamu atawatia hatiani