Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kavuta bangi alikuwa nyundo mwenyew mzee wa ArsenalMwenye video aweke sio kale Kavita bangi wakati mchezo unaendelea
Ana maanisha kua alitakiwa ajulikane kama Camerawoman na sio Cameraman.Ndio atishie kumtafuta hata kama mwanamke??
Kwamba anaapa atafanya jinai tena.Ni utovu wa nidhamu wa Hali ya juu sana,kwanza kwa binadamu aliyelelewa ktk maadili mazuri hapo anajua ni kosa kabisa kuingilia kazi ya mtu pia ni wazi Kuna shida katika makuzi ya sasa maana kwa Hali aliyonayo mtuhumiwa angekuwa anajuta. Na pengine kuwa mtu wa sala na toba na pia mtu mtulivu maana ni kwa Nini awe yeye na siyo mtu mwingine,hili Ndo swala la msingi angekuwa anajiuliza.Naisi wazazi wa Leo Kuna sehemu tunakosea,Ina maana akitoka afanye Tena jinai,duh Dunia inapitia pabaya sana.
Hao ni wakufunzi wa kulawiti ni hawakosi kwenye Kundi la wasiojulikana hata wakiwa ndani wataendelea na majukumu Yao .....Hii ni aibu kwa Taifa! Hao wana uhakika gerezani hawaendi
Tumezaliwa Tanzania ili hii nchi wengine tumenyang'anywa tunaishi kama wakimbizi😒
Kalikokuwa kananyonywaHako kajamaa kalikuwa upande gan kwenye video
Acha mikwara wewe, coward!Nilishasema kuwa hao vijana hawafungwi nina uzoefu kiasi na hizo ishu....laiti yule binti angekuwa ndugu yangu ingekuwa washafukiwa mpaka muda huu
Hiyo imeishaa wanajipa moyo ila ndio wajiandae kisaikolojia..!Watuhumiwa wanne wa kesi ya Ubakaji na ulawiti ambao ni Askari wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) MT 140105 Clinton Damas maarufu Nyundo, Amini Lema maarufu Kindamba, Nickson Jackson maarufu Machuche na Askari wa Jeshi la Magereza C 1693 Praygod Mushi wakiondolewa mahakamani jioni hii kurudishwa mahabusu mpaka Agosti 28, 2024 ambapo kesi hiyo itaendelea tena.
Nyundo na wenzake wakati wakitoka Mahakamani mmoja wao alisikika akimwambia Cameraman kuwa akifanikiwa kumaliza kesi yao atamtafuta "Wewe cameraman nikimaliza kesi nitakutafuta" Endelea Kufuatilia kurasa Zetu kufahamu Kuhusu kilichojiri Mahakamani kuhusu Kesi hii leo Agosti 23, 2024.
Fala sana yule dogo,yaani yeye bingilisha maviMzee wa kuweka oder kama kawaida yake naona kaweka tena oder Kwa mwandishi wa habari kama alivyoweka kwenye tukio kwamba "yeye akiingia ni Mavi tu mimi Mavi tu"
Mimi sina mikwara ila ninachoongea ni kitu cha kweli kabisa kwanguAcha mikwara wewe, coward!
Kama una uwezo, fanya hayo unayoweza hata kama huyu 'victim' si nduguyo.
Zaidi ya 30 hapo,kubaka,pili kulawiti,kubaka tu 30Atamtafuta akitoka lupango baada ya miaka 30
Hafungwi mtu hapo acheni kudanganyanaZaidi ya 30 hapo,kubaka,pili kulawiti,kubaka tu 30
Kapumbavu!!Watuhumiwa wanne wa kesi ya Ubakaji na ulawiti ambao ni Askari wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) MT 140105 Clinton Damas maarufu Nyundo, Amini Lema maarufu Kindamba, Nickson Jackson maarufu Machuche na Askari wa Jeshi la Magereza C 1693 Praygod Mushi wakiondolewa mahakamani jioni hii kurudishwa mahabusu mpaka Agosti 28, 2024 ambapo kesi hiyo itaendelea tena.
Nyundo na wenzake wakati wakitoka Mahakamani mmoja wao alisikika akimwambia Cameraman kuwa akifanikiwa kumaliza kesi yao atamtafuta "Wewe cameraman nikimaliza kesi nitakutafuta" Endelea Kufuatilia kurasa Zetu kufahamu Kuhusu kilichojiri Mahakamani kuhusu Kesi hii leo Agosti 23, 2024.
Hiyo ni kujifariji tu 🤣🤣🤣Watuhumiwa wanne wa kesi ya Ubakaji na ulawiti ambao ni Askari wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) MT 140105 Clinton Damas maarufu Nyundo, Amini Lema maarufu Kindamba, Nickson Jackson maarufu Machuche na Askari wa Jeshi la Magereza C 1693 Praygod Mushi wakiondolewa mahakamani jioni hii kurudishwa mahabusu mpaka Agosti 28, 2024 ambapo kesi hiyo itaendelea tena.
Nyundo na wenzake wakati wakitoka Mahakamani mmoja wao alisikika akimwambia Cameraman kuwa akifanikiwa kumaliza kesi yao atamtafuta "Wewe cameraman nikimaliza kesi nitakutafuta" Endelea Kufuatilia kurasa Zetu kufahamu Kuhusu kilichojiri Mahakamani kuhusu Kesi hii leo Agosti 23, 2024.
Eti ndo anajiita mwanajeshi...!!!Watuhumiwa wanne wa kesi ya Ubakaji na ulawiti ambao ni Askari wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) MT 140105 Clinton Damas maarufu Nyundo, Amini Lema maarufu Kindamba, Nickson Jackson maarufu Machuche na Askari wa Jeshi la Magereza C 1693 Praygod Mushi wakiondolewa mahakamani jioni hii kurudishwa mahabusu mpaka Agosti 28, 2024 ambapo kesi hiyo itaendelea tena.