Mtuhumiwa wa Ubakaji amwambia Mwandishi wa Habari “Afu we Camera man nikimaliza kesi ntakutafuta”

Kwamba anaapa atafanya jinai tena.
Hawa wanauhakika wa kutoka
 
Hiyo imeishaa wanajipa moyo ila ndio wajiandae kisaikolojia..!
 
Kapumbavu!!
 
Hiyo ni kujifariji tu 🤣🤣🤣

Hiyo ni jeuri ya Afya! Mfyuuuuu!!
 
Eti ndo anajiita mwanajeshi...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…