Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Tukiachana na uhalifu wao, hiyo ni nzuri.Hilo ndiyo haiba ya maafande wa jeiwii kwa 95%.
Askari hatakiwi kuwa mnyonge, until the last drop of blood, he should be proud.
Nafikiri umenielewa ninachotaka kueleza hapa.
Ninaona kwamba askari wetu wa TPDF wanapata mafunzo stahiki.