Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
bado watu wanaonyesha ni jinsi gani dini hazijawasaidia kustaarabika.
kuna ushahidi asilimia nyingi tu kwamba,wapagani wamefanikiwa kuwa wastaarabu kuliko wenye hizi dini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana bahati alikuwa amezungukwa na mabwege wakati akifanya upuuzi wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
bado watu wanaonyesha ni jinsi gani dini hazijawasaidia kustaarabika.
kuna ushahidi asilimia nyingi tu kwamba,wapagani wamefanikiwa kuwa wastaarabu kuliko wenye hizi dini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulevi wa dini ni mbaya sana, unafanya usiwe na uwezo wa kufanya mambo kwa kuangalia vitu vya maana bali unakuwa unaongozwa na hisia za kidini ukiamini unampendeza Munngu. Mara nyingi huwa nawaambia watu kuwa kama pepo ipo basi tusishangae kutokuta muumini yeyote wa dini huko, huenda pepo ikajaa wapagani watupu.
Wakristo akili zenu zinawatosha wenyewe. Mnakanyagana na kuuana kama ng'ombe kisa mafuta. Kufungwa huyu aliechana Qur'an imewauma zaidi kuliko yule alisababisha vifo vya watu kuachiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chaajabu sijui kwanini polisi wamempeleka gerezani! Wangemuacha tu ili wengine wapate pepo kupitia mgongo wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Imeshindwa aisee imebidi polisi waisaidie. Allah anatetewa na polisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi mwenyewe natamani sana bikra 72 lakini nimestuka baada ya kulazimishwa nikazifaidi ahera tena kwa mtutu [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi simzungumzii jamaa aliechana msaafu hapa!
Kwa hiyo jamaa atashitakiwa kwa uchochezi au kosa gani?
Na kusimamishwa kazi kuna husianaje na hilo kosa lake lisilohusiana na utendaji wa kazi zake?
Mtu akichana biblia ndo kwanza watu tunaendelea na starehe zetu...zaidi watu watakushangaa tu....Mungu wa wakristo anajipigania mwenyewe..binadamu ni nani hata ampiganie..??
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa unaitafuta wewe mwenyewe tena kwa kupambana hata kuua au kuiba lakini ukiamua uichane bado Jamhuri itakukamata na kukufunga kama ilikusaidia itafuta!!..Naomba niulize hivi, hicho kitabu kinauzwa Dukani?
Je kama kinauzwa nani kakinunua?
Maana kama kakinunua mwenyewe na amekichana mwenyewe hana kosa maana ni maali yake, isipokua kama kachukua cha mtu mwenye kitabu ndio mwenye haki ya kuchukua hatua za kisheria au kusamehe
Sent using Jamii Forums mobile app