Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Waislamu,wapewe pongezi,kwa kutomgusa,kumpiga au kumtukana,wakati akifanya ujinga huo.Kwa hiyo wenye dini ni wastaarabu,sana.
bado watu wanaonyesha ni jinsi gani dini hazijawasaidia kustaarabika.

kuna ushahidi asilimia nyingi tu kwamba,wapagani wamefanikiwa kuwa wastaarabu kuliko wenye hizi dini.



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una hakika gani,kama huyu,aliyechana Qur'an,kama ana dini.Yaonyesha wazi ni mpagani.Hakuna mkristo,anayefanya mambo kama haya.
bado watu wanaonyesha ni jinsi gani dini hazijawasaidia kustaarabika.

kuna ushahidi asilimia nyingi tu kwamba,wapagani wamefanikiwa kuwa wastaarabu kuliko wenye hizi dini.



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama bibilia inajitetea yenyewe mngemwachia huyo mpuuzi aliyewadanganya juzijuzi Moshi mkanyage mafuta mtapata baraka matokeo yake mmekufa Kama kuku wenye kideri.
 
Wenye makosa waliochukua video. Mwenyezi Mungu hana haja kubishana na binadamu,eti achangabikiwe,au adhurike palepale, nadhani hata waliochukua video wataadhibiwa na Allah S.W
 
Huyu aliyechana Qur'an ni mpagani,hakuna mafunzo ya kikristo, yanayosema umuudhi jirani yako.Maandiko yanasema,Mpende jirani yako,kama unavyojipenda mwenyewe.
Ulevi wa dini ni mbaya sana, unafanya usiwe na uwezo wa kufanya mambo kwa kuangalia vitu vya maana bali unakuwa unaongozwa na hisia za kidini ukiamini unampendeza Munngu. Mara nyingi huwa nawaambia watu kuwa kama pepo ipo basi tusishangae kutokuta muumini yeyote wa dini huko, huenda pepo ikajaa wapagani watupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungekuwa na akili na maarifa,ungewasifu waislamu,waliokuwapo eneo la tukio,kwa kutochukuwa sheria mkononi.Wakachukuwa hatua ya kufahamisha vyombo vya sheria.Kwenye vyombo vya sheria,ndiko itakojulikana ametenda kosa au hakutenda kosa. Mayala B,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali haiwezi kuajiri wafanyakazi waliokosa maadili inafaa afukuzwe kabisa huyo mchaga
Kwa hiyo jamaa atashitakiwa kwa uchochezi au kosa gani?

Na kusimamishwa kazi kuna husianaje na hilo kosa lake lisilohusiana na utendaji wa kazi zake?
 
Mi kinachonifikirisha ni mihemuko ya kiserkali. Japo sikubaliani kabisa na kitendo cha kijinga cha huyo kijana mpuuzi lakini serkali imejiweka ktk matazamio kuwa ikitokea mwingine mpuuzi akachana kitabu cha imani nyingine isijifanye haijaona. Itumie nguvu zilezile ili kusiwe na double standard

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akae hukohuko km anahitaji kuendelea kuishi watu wanamlia Timing huko nje!
 
Na haijawahi kutokea muislamu kuchana Biblia,waislamu wanajielewa.Na ndio waislamu,hawakumfanya kitu huyu mpuuzi,ila taarifa zilifika vyombo husika,huko ndio itajulikana ametenda kosa au hakutenda.


Mtu akichana biblia ndo kwanza watu tunaendelea na starehe zetu...zaidi watu watakushangaa tu....Mungu wa wakristo anajipigania mwenyewe..binadamu ni nani hata ampiganie..??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba niulize hivi, hicho kitabu kinauzwa Dukani?
Je kama kinauzwa nani kakinunua?

Maana kama kakinunua mwenyewe na amekichana mwenyewe hana kosa maana ni maali yake, isipokua kama kachukua cha mtu mwenye kitabu ndio mwenye haki ya kuchukua hatua za kisheria au kusamehe
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa unaitafuta wewe mwenyewe tena kwa kupambana hata kuua au kuiba lakini ukiamua uichane bado Jamhuri itakukamata na kukufunga kama ilikusaidia itafuta!!..

Vya kaisari muachie Kaisari!.
 
Back
Top Bottom