Huko mnakoenda kuhiji mbona huwa mbakufa kama nzi eti mnampiga mawe shetani,akili nyingine bhana!Wakristo akili zenu zinawatosha wenyewe. Mnakanyagana na kuuana kama ng'ombe kisa mafuta. Kufungwa huyu aliechana Qur'an imewauma zaidi kuliko yule alisababisha vifo vya watu kuachiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora wakristo wamekufa 20 tuu huko maka mnakoendaga kumpiga mawe shetani mnakufa ma elfu kwa maelfu.. hatusemi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio,Kitwanga na mimi hapa!Kuna mfanyakazi wa serikali analewa wakati wa kazi?
Hii ni mihemko isiyokuwa na maana ktk utumishi wa umma. Amemsimamisha kazi kwa kutumia kifungu kipi cha sheria za kazi? Kuna mahali pameandikwa kuwa mtumishi wa umma akichana kohorani asimamishwe kazi? Aache hizo. Analogia Malenga,
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi judge huelewa wako, ila imani zinawapofusha sana watu saa zingine wasifikili sawa sawa.Huwezi kulinganisha watu wanaokanyagana makka na hao wanaokanyagana kisa mafuta ya nabii feki. Pure nonesense
Sent using Jamii Forums mobile app
ila kosa linaanzia kwa huyo muislam aliyemuambia huyo mlevi akiichana quran anakufa...kwasababu kumuambia hivo ni kama alimpa challenge ya kuprove uwepo wa Allah nayeye mlevi kama mwanasayansi ikabidi afanye experiment lakini nashangaa tena unakuta huyohuyo muislam aliyempa challenge nayeye akamgeuka baadae.
Ni kama ile challenge waislam waliizushaga mtandaon kwamba fanya ufanyavo hata iweje paka hawezi kukanyaga Qur'an.. Tena zikatrend sana hata YouTube clips kuwa paka hata uweke nyama juu ya Qur'an hawezi kuikanyaga...wakaja watu wengi wasio waislam na clip zao na paka zao na quran ili kuiprove hiyo theory...lakini kama ulivohisi tu wale paka waliikanyaga quran,wakailalia quran kwa juu,wakaichanachana quran,wakanya juu ya quran..
Sasa kimbembe kikaja hapo waislam haohao walioanzisha hiyo challenge waka'raise inakuwaje hawa wakristo wanawapa paka aikanyage Qur'an imekuwa kama dharau na shambulio la kidini.
Wakati root cause ni wao wenyewe.
waislam ni wapumbavu ety ukikojolea Unakufa hata mimi nishaga fanya wakati nipo form two mpaka leo nadunda tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kichwa cha habari kinavysomeka hapo juu
Nimetizama video ya yule kijana mchana Quran nilichogundua ni kuwa huyu jamaa alikuwa kalewa na hata hajielewi
Na hapo awali walibishana kama atachana Quran bas atakufa hapo hapo
Cha ajabu hajafa
Cha ajabu Quran imeshindwa kujitetea yenyewe hadi imetetewa na waziri
Lakin nafikiri huyu jamaa Endapo angechana BIBLE angepuuzwa tu
Na angepambana na kristo mwenyewe wala siyo na waziri
Maana BIBLE inajitetea yenyewe wala siyo na wanadam
Sent using Jamii Forums mobile app
pesa mkuu hata wewe nakukojolea vizuri tu.Huko kukojolea,ndio ukichaa wenyewe,mzima wa akili atakojolea kitabu au karatasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aha kumbe unalitambua hilo basi tambua qruan ni nembo ya uislam unapo onesha inshala yeyote ya kuidharau ni tusi kwa waislam na siku zote anaye toa matusi hadharani ni mvunja sheria.Unachanganya kwa mifano isiyoendana fedha na bendera ya taifa ni alama za taifa, sheria inasema hivyo ukichana au kudhalilisha ni kosa kisheria. Hii ni kwamujibu wa civics tuliyofundishwa form one.
Sasa vitabu vya dini na vingine vyote havina sheria inayolazimisha mtu avitunze kikubwa asichafue mazingira akiwa anavichoma au kuvichana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu kinaitwa Ethical issues amevuja maadili jamii lazma, uheshimu dini nyingine hata kama wewe sio muumini wa dini hiyo.Kuchana hadharani kuna kuhusu nini wakati kitabu kakinunua yeye? Kosa kama kachukua cha mtu mwingine haya mambo ni kuendekeza upuuzi tu kwani vitabu kama hivyo vimeisha madukani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimewakuta nn wewe acha uongo,.. Matatizo ya China ni ya China tu, sio kwasababu ya Koran.... Hivyo vitabu ukichana hamna lolote lile,.. Hivi kwann waislam mnapenda kujaza watu hofu ktk Imani yenu, ili ionekane inatisha au,... Mungu hamtishi mtu. Sema nyie munamloga mtu kwa uchawi wenu na mapepo yenu, wala sio kitabu wala nn,.. Kila siku watu twavichana, twachoma moto, hamna loloteUliza China kilichowakuta
Sahihi.Hili jina la kwetu hili hakika, huenda nawe ukawa miongon mwa familia za akina mvumbo kule tanga
Sent using Jamii Forums mobile app
waislam wa eneo hilo.ukitaka kujua akili za wengine fuatilia michango yao wengi kwenye mitandao ya kijamii.Waislamu,wapewe pongezi,kwa kutomgusa,kumpiga au kumtukana,wakati akifanya ujinga huo.Kwa hiyo wenye dini ni wastaarabu,sana.
Sent using Jamii Forums mobile app