Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Wakristo akili zenu zinawatosha wenyewe. Mnakanyagana na kuuana kama ng'ombe kisa mafuta. Kufungwa huyu aliechana Qur'an imewauma zaidi kuliko yule alisababisha vifo vya watu kuachiwa.



Sent using Jamii Forums mobile app
Huko mnakoenda kuhiji mbona huwa mbakufa kama nzi eti mnampiga mawe shetani,akili nyingine bhana!
 
Hii ni mihemko isiyokuwa na maana ktk utumishi wa umma. Amemsimamisha kazi kwa kutumia kifungu kipi cha sheria za kazi? Kuna mahali pameandikwa kuwa mtumishi wa umma akichana kohorani asimamishwe kazi? Aache hizo. Analogia Malenga,

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwanza jafo amekosea sana huwezi msimamisha mtu kazi kwa mambo ya dini pili huo ndio uhuru wa uelewa wake kuhusu imani na anapaswa kuheshimiwa na kuombewa au kufundishwa ustaarabu katika imani hata kama haimuhusu hiyo imani. Kutumia maguvu hakusaidii.
Jafoo ameingia kwenye mtego wa udini kama waziri. Tatu. Masheikh wanapaswa kuwasamehe wale wanaokwenda kinyume na imani zao sio kusema watu walitaka kujichukulia sheria mkononi huo ni upofu wa imani.
Hivi allah hawezi kujipigania kweli?
 
Mbona hakujiua,ili pia ajuwe kama kuchana Qur'an,waenda motoni kweli.
ila kosa linaanzia kwa huyo muislam aliyemuambia huyo mlevi akiichana quran anakufa...kwasababu kumuambia hivo ni kama alimpa challenge ya kuprove uwepo wa Allah nayeye mlevi kama mwanasayansi ikabidi afanye experiment lakini nashangaa tena unakuta huyohuyo muislam aliyempa challenge nayeye akamgeuka baadae.

Ni kama ile challenge waislam waliizushaga mtandaon kwamba fanya ufanyavo hata iweje paka hawezi kukanyaga Qur'an.. Tena zikatrend sana hata YouTube clips kuwa paka hata uweke nyama juu ya Qur'an hawezi kuikanyaga...wakaja watu wengi wasio waislam na clip zao na paka zao na quran ili kuiprove hiyo theory...lakini kama ulivohisi tu wale paka waliikanyaga quran,wakailalia quran kwa juu,wakaichanachana quran,wakanya juu ya quran..
Sasa kimbembe kikaja hapo waislam haohao walioanzisha hiyo challenge waka'raise inakuwaje hawa wakristo wanawapa paka aikanyage Qur'an imekuwa kama dharau na shambulio la kidini.
Wakati root cause ni wao wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona nabii Tito hamkumpuuza?
Unapo fanya kitu chochote kinacholenga kumkera mwenzako hilo ni kosa acha awajibike kwa upumbavu wake .

@RTI
Kama kichwa cha habari kinavysomeka hapo juu

Nimetizama video ya yule kijana mchana Quran nilichogundua ni kuwa huyu jamaa alikuwa kalewa na hata hajielewi

Na hapo awali walibishana kama atachana Quran bas atakufa hapo hapo

Cha ajabu hajafa

Cha ajabu Quran imeshindwa kujitetea yenyewe hadi imetetewa na waziri

Lakin nafikiri huyu jamaa Endapo angechana BIBLE angepuuzwa tu

Na angepambana na kristo mwenyewe wala siyo na waziri

Maana BIBLE inajitetea yenyewe wala siyo na wanadam

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alinununia akachana au alimpora mtu akachana.?
Kosa alilofanya ni kuchana mbele za watu hafu kuna wajinga wakawa wanamchukua video.

Angenunua hafu angeenda kuchania nyumbani nani angejua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachanganya kwa mifano isiyoendana fedha na bendera ya taifa ni alama za taifa, sheria inasema hivyo ukichana au kudhalilisha ni kosa kisheria. Hii ni kwamujibu wa civics tuliyofundishwa form one.
Sasa vitabu vya dini na vingine vyote havina sheria inayolazimisha mtu avitunze kikubwa asichafue mazingira akiwa anavichoma au kuvichana.


Sent using Jamii Forums mobile app
Aha kumbe unalitambua hilo basi tambua qruan ni nembo ya uislam unapo onesha inshala yeyote ya kuidharau ni tusi kwa waislam na siku zote anaye toa matusi hadharani ni mvunja sheria.
 
Kuchana hadharani kuna kuhusu nini wakati kitabu kakinunua yeye? Kosa kama kachukua cha mtu mwingine haya mambo ni kuendekeza upuuzi tu kwani vitabu kama hivyo vimeisha madukani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu kinaitwa Ethical issues amevuja maadili jamii lazma, uheshimu dini nyingine hata kama wewe sio muumini wa dini hiyo.
kile kitabu sio kama vile vya nyambari nyangwine, au riwaya na tamthilia
 
jamaa kama sio kalewa basi kuna fyuzi moja somewhere kichwani mwake imeungua...
 
Uliza China kilichowakuta
Kimewakuta nn wewe acha uongo,.. Matatizo ya China ni ya China tu, sio kwasababu ya Koran.... Hivyo vitabu ukichana hamna lolote lile,.. Hivi kwann waislam mnapenda kujaza watu hofu ktk Imani yenu, ili ionekane inatisha au,... Mungu hamtishi mtu. Sema nyie munamloga mtu kwa uchawi wenu na mapepo yenu, wala sio kitabu wala nn,.. Kila siku watu twavichana, twachoma moto, hamna lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom