The MaskmaN
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 350
- 764
jana ulipata danga nini mbona offer yangu hukuizingatia tena?Bado unaendelea kubweka kama jibwa jike
Bado unaendelea kubweka kama jibwa jike unashangaza sanajana ulipata danga nini mbona offer yangu hukuizingatia tena?
aaah mbona mkali hivyo kiduchu tu hautonisahauBado unaendelea kubweka kama jibwa jike unashangaza sana
Bado unaendelea kubweka kwa aina ile ile ya jibwa jikeaaah mbona mkali hivyo kiduchu tu hautonisahau
kwanini wamnyime dhamana?hujiulizi?yule angeachiwa jana leo maiti wangemkuta kashakufaWa morogoro mmemtafuta kamanda wa polisi ndio amisaidie , wacha kujivimbia kwenye keyboard wewe ahahahaha
Uongo mtupu kuna sheikh alijitangazia utume na hamku mfanya chochote , nyie mnaongea sana kama chuchungikwanini wamnyime dhamana?hujiulizi?yule angeachiwa jana leo maiti wangemkuta kashakufa
chukua katiba ya tanzania jikusanye na wenzako wakurekodi video kisha chana hizo karatasi ambazo ni katiba ya nchi.au chukua bendera ya taifa la tanzania ichanechane kishasema hiki kitambaa ni mavi tu ni takataka tu.utakachokipata utajuaKama unaweza Muua mwenzako kisa QURAN au BIBLE imechanwa , basi wewe ni TAHIRA, yaani Mungu atulie wewe ndio uwe kiherehere
tusibishane kama ww unaona huyo jamaa yupo sahihi kwanini kanyimwa dhamana?hakimu na waliomzunguka wanajua hilo jambo ni balaa kwa uhai wake bora wamtunze kwanza korokoroni.japo akipatikana mtaani tutamalizana nae kimya kimyaUongo mtupu kuna sheikh alijitangazia utume na hamku mfanya chochote , nyie mnaongea sana kama chuchungi
Umekurupuka kujibu ikiwa mimi nilikuwa namjibu mtu alieuliza swali lililohitaji jibu hilo,hata hivyo naomba kuuliza serikali ambayo haina dini ikianza kujihusisha na mambo ya dini itaweza mana tuna dini nyingi na kila dini ina mambo yake,haya bwana jaffo yetu macho.Kwani Tito alikuwa mtumishi wa Tamisemi?
Hujuwi kuwa huyo mchoma Qur'an boss wake wa Tamisemi ni Jaffo?
naamini umeuelewa mziki,ntapenda ile cr7 uniwekeeBado unaendelea kubweka kwa aina ile ile ya jibwa jike
Umekurupuka kujibu ikiwa mimi nilikuwa namjibu mtu alieuliza swali lililohitaji jibu hilo,hata hivyo naomba kuuliza serikali ambayo haina dini ikianza kujihusisha na mambo ya dini itaweza mana tuna dini nyingi na kila dini ina mambo yake,haya bwana jaffo yetu macho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amesema siku ya mwisho Mungu atatuuliza maswali kwa kiarabu ππππ imebidi niulize sasa watu wa kale nyakati za kina Elia ama mfalme Daudi watajibu nini?sasa kwanini ulimuuliza hao manabii wa mwanzo watahukumiwa kwa lugha gani?
Amri kumi za Musa hizo Biblia inaeleza hakuna dhambi isiyosameheka zaidi ya uchawi (Agano la Kale)Zambi ya kuuwa unaijua?
Amesema siku ya mwisho Mungu atatuuliza maswali kwa kiarabu ππππ imebidi niulize sasa watu wa kale nyakati za kina Elia ama mfalme Daudi watajibu nini?
yesu alisema amekuja kutimiliza taurati.siyo kupunguza.kama kuuwa ni dhambi wewe unapata wapi uhalali wa kuhalalisha kuuwa?Amri kumi za Musa hizo Biblia inaeleza hakuna dhambi isiyosameheka zaidi ya uchawi (Agano la Kale)
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]daaahKwa nini wamemuacha wasingempiga jambia moja la kichwa.
Sahihi kabisaNi kosa kwa sababu anasababisha migongano ambayo si ya lazima kwenye jamii. Hivi hata ukiuliza sababu ya kufanya alichofanya ni nini? Sifa tu za kijinga na utoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Kula tanoOooooh My god!! amechana heshima yake na amechana karatasi yenye maandishiya Qurani. Hiyo ni Provocation isiyo na tija! QURAAN ipo ndani ya mioyo ya Waumini na haitoweza kunyakuliwa au kuchanwa! Tunapo hifadhi Quraan tunaiweka kifuani na kuitumikia. Waisalm tuwe wavumilivu na tuondoe jazba!
Uhuni huu wa uchokozi haukuanza leo.... walishindwa wengi miaka 1441 iliyopita
Tumemsamehe aalipwa na mwenye msahafu.
Best upo[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]daaah
Sent using Jamii Forums mobile app
Mda wa kazi anaenda kufanya ujinga ujinga km ule kuna wasomi wajinga sanaHatari kubwa ni kwamba hukokukosa dhamana na kutokuwepo kazini ndio kutamuondoa kazini.