Ishu tangu tarehe tano ni kwa vipi RPC anakosekana kuwa ndani? Jee OCD Yuki wapi? Kiufupi hao wote ni wahusika wanatakiwa kuwa ndani mahabusu na kesi yao iendeshwe mapema na haraka wanyongwe ili kuleta nidhamu kwa jeshi la polisi.
Uchunguzi unaendeleaje wakati taarifa hizi zinajisholezaView attachment 2095724
JESHI la Polisi Mkoani Mtwara limewakamata na kuwafikisha mahakamani Maafisa wa Polisi saba kwa tuhuma za mauaji ya Mussa Hamisi Hamisi (25) mkazi wa Kijiji cha Ruponda wilayani Nachingwea Mkoani Lindi aliyekuwa akiwadai askari hao zaidi ya Sh milioni 33.7...
inawezekena ni mashoga wakipelekwa kulawitiwa watainjoy bora wawalete kitaa tuwapige. minataka niwajue wake zao nikajisavie mmoja niendelee kumsaidia kulea mjaneWayanyonge. Kabla ya kuyanyonga wayapeleke jela wakakutane na waliowabambikia kesi wakawalawiti kwanza kufidia uchungu waliowasababishia.
Polisi hata kama ni ndugu yako chunga sana asikujuejue. Ni mijahilia hii mijaa laana.
kijamaa kipumbavu hikinsijawahi ona
Lini alisema hayo maneno mkuu?Police fanyeni lolote nipo nyuma yenu Jpm