Nickson francis
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 700
- 1,306
Ulishuhudia wewe na nani? Basi sawa kama ulishuhudia wewe ngoja tukuamini.Fuatilia global issues utaelewa usisubiri kila kitu uhadithiwe.
Hujui kwamba at the first time Israel iliposhambuliwa na Iran walisema 99% ya makombora na drones zilidunguliwa kabla hazijatua kwenye ardhi ya Israel?
Baadae wakaja kusema 64% ya makombora na drones vilidunguliwa angani. Sasa huoni hapo kuna uongo na Iran alisema more than 80% ya drones na missiles vilipiga target na tulishuhudia vyuma vya Muajemi vikipepea juu kidogo ya paa la bunge la taifa la Israel.
Lini serekali ya Israel imezuia watu kupiga picha au kuchukuwa video.
Wahuni wangu Houthis wako wapi ,si waunge tela wampige mtungo huyu kahaba Israel ? Nafikiri wanamtegea aanze op ya ardhini wammalize
Hawajapata za kuediti. Subiri kidogo kwani umeme nao unakatika-katika sana.Israel akipiga tunaona video na picha!
Nyie video na picha ziko wapi?
ππππ€£πSubhanah Allah asimamie amani, vinginevyo hatutakuwa salama hata sisi huku.
SINTOSHANGAA HAWA WARABU SIKU WAKIMALIZWA MABOYA SANA HAWAWEZI AKILI KUBWA KAMA ISRAEL HAWA YULE MSENGE SIJUI ALLAH KAWAPOTOSHAKwetu wapi mkuu..... waarabu tushawaonya hawana huwezo wa kubattle na Israel
Hupendi Allah asimamie amani mkuu?.ππππ€£π
Alishafeli kitamboHupendi Allah asimamie amani mkuu?.
Dunia kujua ni vizuri ili ijulikane Palestina anapigania chake.Dunia ikijua so what?
udini mbaya sana sanaBaada ya mashambulizi makubwa hapo jana yaliyofanywa Lebanon na jeshi La Israel kwenye maeneo IDF iliyosema ni zaidi ya 1300.
Muda huu Hizbullah wanarusha mvua ya maroketi kuelekea vituo vya kijeshi vya Israel.
Kwa mujibu wa matangazo hayo ya moja kwa moja makombora mawili kati ya hayo yameangukia baharini uwelekeo zilipo meli za kivita za Marekani kwenye bahari ya Mediterranean.
Waziri wa mambo ya nje ya China amesema taifa lake liko pamoja na Lebanon katika kulinda heshima yake.
Kwa upande wa Uturuki japo vita vimeanza rasimi na kuua watu karibu 500 bado inatoa tahadhari kuwa vita hivi vinatishia kuliingiza eneo zima la mashariki ya kati katika vita vipana z aidi.
Israel attacks Lebanon live: Hezbollah fires missiles at Israeli airbases
Usichokijua kuanzia jumanne Hizbollah imekua inarusha maroketi Israel hadi leo hii siku tatu mfululizo.Lebanon mpaka muda huu anachapika kichapo cha mbwa koko....mamayeee anayepaprish vita Iran yuko pembeni akiangalia wanzie wakichakazwa[emoji1787][emoji1787]
Wametoma rocket nyingi lakini zimekua off target kutokana na IRONE DOME. israel wamtuma chache tu wamekufa 500 majerui 2000 na usheeUsichokijua kuanzia jumanne Hizbollah imekua inarusha maroketi Israel hadi leo hii siku tatu mfululizo.
Kwa hali kuonekana mbaya jana USA,UK na France wameomba kuwe na ceasefire ya wiki tatu kujadili amani ya kudumu.
Jiulize kwanini USA na washirika wameomba majadiliano ya ceasefire!?