Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
Kwa maneno yako una maanisha mwananchi asiitegemee serikali maana haina hadhi ya kuaminiwa wala kutegemewa na wananchi!!Ukipuuza ushauri wa kitaalamu au usubiri hadi Serikali itakapoweka karantini, kama unavyoshauri, utaambukizwa na kupoteza maisha.
Ni wajibu na jukumu la kila mwananchi kulinda afya yake.
Hatukubali, na nyie mletewe kama sie tulivyoletewa
Kwani sie hii corona tulizaliwa nayo?
Mwenge hauruki kijiji, jiandaeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili zako unafikiri serikali haijui inachofanya EBU TUPUNGUZE UJUHAAKwako Mkuu wa mkoa wa Dar au mamlaka ya juu (rais)
Kwa kasi ya maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19 na takwimu zinazotolewa kila siku na Mheshimiwa Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, ni dhahiri kuwa jiji la Dar limekuwa kitovu cha ugonjwa huu hapa nchini. Kila siku idadi ya wagonjwa inapanda kwa kazi sana.
Nashauri mamlaka husika mfuate ushauri wangu ili kupunguza kazi ya maambukizi nchi nzima.
Ikiwapendeza au ikiwezekana ushauri huu ufanyiwe kazi mapema iwezekanavyo kwa kuwa kila siku mabasi na vyombo vya abiria vinaingiza na kutoa watu kwenye hilo jiji.
Naomba kuungwa mkono.
Nawasilisha.
Japo we taga lakini umenichekeshaHatukubali, na nyie mletewe kama sie tulivyoletewa
Kwani sie hii corona tulizaliwa nayo?
Mwenge hauruki kijiji, jiandaeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukipuuza ushauri wa kitaalamu au usubiri hadi Serikali itakapoweka karantini, kama unavyoshauri, utaambukizwa na kupoteza maisha.
Ni wajibu na jukumu la kila mwananchi kulinda afya yake.
Kwa akili zako unafikiri serikali haijui inachofanya EBU TUPUNGUZE UJUHAA
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Na mimi naungana na wewe kuchekeshwa na hiyo comment 😀Mkuu hii comment imenichekesha mno 😀😀😀😀
Unaona unavyo tune akili yako Ni nani kaweka siasa apa? nazidi kukusisitiza punguza UJUHAAMkuu kama unaingiza siasa, nisamehe.
Aisee 😀😀Na mimi naungana na wewe kuchekeshwa na hiyo comment 😀
tunamuachia Mungu kukaa ndani hatuwezi... tatizo njaa.😀Acha usumbufu, tuko busy na maombi![emoji16][emoji16][emoji16] View attachment 1422013
Ushauri wako ni mzuri ila kama tulivyoshauri ndege zizuiwe tukapuuzwa wenda ukapuuzwa na wewe.Nakubaliana nawe ila elewa maana yangu; NINAPOSHAURI KUFUNGWA KWA JIJI NAMAANISHA WATU WALIOKO DAR WAENDELEE KUFANYA KAZI (KWA TAHADHARI) WASITOKE NJE YA DAR NA WALIOKO NJE YA DAR WASIENDE DAR.
Kwa maana hiyo kuenea kutadhibitiwa Dar na maambukizi hayatasambaa kwa kasi sana.
Pia kuhusu vyakula, magari ya mizigo yanaweza kupeleka vyakula na ni rahisi kuyanyunyizia madawa kabla na baada ya kuingia/kutoka Dar.
Hivyo hivyo na mizigo ya biashara Inawezekana ikapelekwa mikoani kuwa utaratibu huo wa magari ya mizigo ambayo ni rahisi kuyadhibiti.
HeheheHatukubali, na nyie mletewe kama sie tulivyoletewa
Kwani sie hii corona tulizaliwa nayo?
Mwenge hauruki kijiji, jiandaeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukiendeleza hivi visingizio vya kitoto korona haitatuacha salama.tunamuachia Mungu kukaa ndani hatuwezi... tatizo njaa.😀
Mkitaka lockdown, ongeeni na CHADEMA waseme kwasababu shughuli za kawaida hazijazuiwa na wao wanaingia kwenye shughuli za kawaida za kukijenga chama. Walahi kesho haitafika bila kutangazwa total of total lockdown.
Aliye Dar asitoke nje ya Dar. Na aliye nje asiingie, utaratibu wa wageni kutoka nje ya Tanzania wa kuwekwa chini ya uangalizi kwa siku kadhaa uendelee, Mambo mengine ndani ya dar yaendelee.