Sababu CCM ina wenyewe.Hawatapata Nafasi za kugombea CCM
Ndio,waweza kutosha,kama act walivyofanya wakati uleeeKwa kuwa lengo la G55 ni kushiriki uchaguzi tu katika hali yoyote ile na mazingira yoyote kama ilivyo ACT, je muda unaruhusu wao kuanzisha chama kipya, kupata usajili na kuweza kusimamisha wagombea wao kushiriki uchaguzi?
View attachment 3312097
Waulizwe CCM kwa nini hawataki wagombea binafsiKwanini kusiwe na wagombea Binafsi ? Tatizo hivi vyama vishakuwa (Magenge) ya wao na sisi; na mwisho wa siku vinatumika kama silaha na sio suluhu;
![]()
Operesheni Piga Chini
SIo siri hawa wanasiasa wanatuchezea, sisi maboss wao wanatufanya kuwa vijakazi wao, hatuna cha kuwafanya zaidi ya kuwaonyesha boss ni nani; Je Tutafanyaje ? Box la Kura Ndio huenda wataiba lakini wote / wengi tukiwakataa watajua ukweli kwamba tumewachokan na huenda wakajirekebisha, ila...www.jamiiforums.com
Waanzishe kama wanaona rahisi najua watapigwa tafu na ccmKwa kuwa lengo la G55 ni kushiriki uchaguzi tu katika hali yoyote ile na mazingira yoyote kama ilivyo ACT, je muda unaruhusu wao kuanzisha chama kipya, kupata usajili na kuweza kusimamisha wagombea wao kushiriki uchaguzi?
View attachment 3312097
Sio CCM tu vyama vyote havitaki (Ukiowaondolea hilo unawapunguzia Kete yao muhimu sana) : Ya kwamba fanya hivi au tutakufukuza na tukikufukuza na Ubunge hata kama unao unaupotezaWaulizwe CCM kwa nini hawataki wagombea binafsi
Hao mbona wamepewa mialiko kujiunga ACT Wazalendo na CUF, wana agenda yao ya siri kuihujumu Chadema na mfadhili wao mkubwa ni CCM.Kwa kuwa lengo la G55 ni kushiriki uchaguzi tu katika hali yoyote ile na mazingira yoyote kama ilivyo ACT, je muda unaruhusu wao kuanzisha chama kipya, kupata usajili na kuweza kusimamisha wagombea wao kushiriki uchaguzi?
View attachment 3312097
Lini CHADEMA waliowahi kupinga mgombea binafsi?Sio CCM tu vyama vyote havitaki (Ukiowaondolea hilo unawapunguzia Kete yao muhimu sana) : Ya kwamba fanya hivi au tutakufukuza na tukikufukuza na Ubunge hata kama unao unaupoteza
Yap Mgombea Binafsi alipigania Mtikila and at that time ilimnufaisha sana yeye kwa sababu Chama chake ambacho kilikuwa hakina nguvu.Lini CHADEMA waliowahi kupinga mgombea binafsi?
Hujawahi kusikia kesi ya kiongozi wa chama cha DP, Mtikila mahakamani akipigania mgombea binafsi aruhusiwe??
ngoja wakaisome nambaHawatapata Nafasi za kugombea CCM
Mgombea binafsi ina faida gani muhimu kwenye mapambano ya demokrasia ya CHADEMA au nchi? Kuna vitu vingine ni kupotezeana muda tu, hata huko kwenye demokrasia zilizokomaa wagombea binafsi ni wazugaji tu wanaopoteza muda.Yap Mgombea Binafsi alipigania Mtikila and at that time ilimnufaisha sasa yeye kwa Chama chake ambacho kilikuwa hakina nguvu issue sio ni lini wamepinga issue ni wanagombania; wanalikazania kiasi gani.., hilo jambo sio gumu wangewekeza nguvu zao na kushikilia hapo hapo; ni rahisi kubadilisha kipengele kimoja kimoja / vichache kuliko mabadiliko makubwa na ya jumla...
Ila ndio hivyo mgombea binafsi inapunguza turufu ambavyo Vyama hivi vinayo hivi sasa (ukikataliwa CCM basi unaangalia Chadema and Vice Versa) bila hivi vyama hata kama unakubalika na wapiga kura kiasi gani hauna chako...
Hakuna turufu yoyote ya maana itakayopunguzwa kwenye vyama kwa uwepo wa wagombea binafsi, duniani kote hakuna mifano ya maana au yenye mashiko kuthibitisha hilo.Ila ndio hivyo mgombea binafsi inapunguza turufu ambavyo Vyama hivi vinayo hivi sasa (ukikataliwa CCM basi unaangalia Chadema and Vice Versa) bila hivi vyama hata kama unakubalika na wapiga kura kiasi gani hauna chako...
Now back to where we start..., Sasa hapa linakuja issue ya faida ya mgombea binafsi tumetoka kule ambapo nilipoanzia point ya kwanza kwamba haya magenge yote hayataki mgombea binafsi (ambapo wewe ulipinga kwamba sio kweli)Mgombea binafsi ina faida gani muhimu kwenye mapambano ya demokrasia ya CHADEMA au nchi? Kuna vitu vingine ni kupotezeana muda tu, hata huko kwenye demokrasia zilizokomaa wagombea binafsi ni wazugaji tu wanaopoteza muda.
Siasa za ushindani zinasimamishwa na vyama au taasisi, hiyo Marekani yenyewe katika ya Maseneta 100 wawili tu ndio independent na wamejiegemezea chama cha Democrats, bunge lenye wabunge 435 halina mbunge binafsi hata mmoja, wote wana vyama, sijui wewe unafikiri ni maajabu gani yanaweza kufanyika na wagombea wako binafsi. It's just a petty agenda, people have big fishes to fry.