PreGE2025 Muda uliobaki kabla ya uchaguzi mkuu unawatosha G55 kuanzisha chama chao kipya kushiriki uchaguzi?

PreGE2025 Muda uliobaki kabla ya uchaguzi mkuu unawatosha G55 kuanzisha chama chao kipya kushiriki uchaguzi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Unatosha Lissu kufukuzwa ili chadema ibaki salama. Maana sasa hivi anafakamia ugali tu SegereMatata huku ametelekeza chama
 
Now back to where we start..., Sasa hapa linakuja issue ya faida ya mgombea binafsi tumetoka kule ambapo nilipoanzia point ya kwanza kwamba haya magenge yote hayataki mgombea binafsi (ambapo wewe ulipinga kwamba sio kweli)

Mbili issue sio faida ya mapambo ya chama fulani issue ni haki ya mgombea katika demokrasia (na vyama maana yake ni itikadi ya watu wenye mawazo sawa) sasa kama mtu anayo mawazo yake tofauti na anaweza kupigiwa kura kwanini asipate hio nafasi ? Kwamba sababu sikubaliani na vyama vilivyopo basi Haki yangu ya kuchaguliwa isiwepo; Mara ngapi tumeona watu wanatishiwa na vyama vyao kufukuzwa hivyo wanalazimishwa kukubaliana na genge husika (refer Ndugai, Zitto to name just a few, au bila kusahau Lowassa kunyimwa Urais kule kuamua kuamia Chadema)
Ukisema vyama vingine tofauti na CCM navyo havitaki mgombea binafsi lazima utoe na uthibitisho, sio tuhuma za kijumla tu eti kwa sababu hivyo vyama havipiganii uwepo wa mgombea binafsi basi vinapinga, ni uduni wa fikra kufikiri sababu chama hakiko active kupigania jambo fulani basi kinalipinga hilo jambo.
 
Hakuna turufu yoyote ya maana itakayopunguzwa kwenye vyama kwa uwepo wa wagombea binafsi, duniani kote hakuna mifano ya maana au yenye mashiko kuthibitisha hilo.
Rudia heading yako mwenyewe unachouliza..., Sasa kama hawa jamaa wangekuwa na option ya kuondoka na kugombea ubunge kivyao hata hilo swali ungeuliza ? Je ni rahisi kuanzisha Chama na kuunganisha watu wenye itikadi sawa au ni rahisi zaidi kwenda kivyako ?

Unaongelea mambo ya duniani kote who cares about duniani kote; wakati hapa tunaongelea haki ya mtu.., anyway ngoja nikupe extract kutoka kwenye article from the archives...

The shortcomings of party-centred elections have led to a re-examination of the role in the electoral process of independent candidates, who are perceived by most observers as the conscience of the society and the voice of the silent majority.They are also catalysts of campaign debates on the real issues affecting the electorate, which political parties and professional political consultants would like sidelined. Moreover, they are usually exempt from the dirty politics of big party machines, although they are not totally free from intrigue, which is the stock in trade of politics (Mwalimu 2006).

The practice of independent candidates is well established in both the old Western democracies and in emerging democracies. In Britain the issue rocked the political stage in May 2000 when Ken Livingstone, who was elbowed out as the Labour Party’s official candidate for Mayor of London, decided to run as anindependent against seven party candidates and won with 57,9 per cent of the vote against 42,08 per cent for his nearest rival.

In Georgia independents won 16 seats in the 235-member Parliament, alongside seven political organisations. The strength of independent candidates in European politics was also demonstrated in the presidential election of 22 January 2006 in Portugal in which one of the three independent candidates, Anibal Antonio Cavalo Silva, won by50,54 per cent and was closely followed by two other independent candidates,Manuel de Melo Duarte (20,74%), and Mario Alberto Lopes Soares (14,3%). In effect, the total strength of the three independent candidates was about 85 percent, as opposed to those fielded by political parties like the Portuguese Communist Party (8,64%), the Left Block (5,32%), and the Communist Party ofPortuguese Workers.

In the United States debate about independent candidates has been a permanent feature because of the perception that most voters are independent. In his book The Power Game, published in 1988, Hedrick Smith noted that the most important phenomenon in American politics in the last quarter of the 20th century has been the increase in the numbers of independent candidates andnon-partisan voters. This issue was manifested in the presidential elections of 1968, 1980, 1992, 1996, and 2004 (Wattenberg 1991).
 
Acha ku copy na ku paste mambo kama kasuku tu, kwani hao G55 wamekuambia wangegombea kama wagombea binafsi kama hiyo nafasi ingekuwepo? Umezungumza nao ukajua kwamba mbadala wenye mashiko zaidi kwa amabo wangependelea ungekuwa ni huo na sio wangetaka kuanzisha chama chao kingine au kujiunga hata na vyama vingine vya siasa vilivyopo??
 
Yap Mgombea Binafsi alipigania Mtikila and at that time ilimnufaisha sasa yeye kwa Chama chake ambacho kilikuwa hakina nguvu issue sio ni lini wamepinga issue ni wanagombania; wanalikazania kiasi gani.., hilo jambo sio gumu wangewekeza nguvu zao na kushikilia hapo hapo; ni rahisi kubadilisha kipengele kimoja kimoja / vichache kuliko mabadiliko makubwa na ya jumla...

Ila ndio hivyo mgombea binafsi inapunguza turufu ambavyo Vyama hivi vinayo hivi sasa (ukikataliwa CCM basi unaangalia Chadema and Vice Versa) bila hivi vyama hata kama unakubalika na wapiga kura kiasi gani hauna chako...

..Naunga mkono mgombea binafsi lakini sambamba na hilo tunapaswa kuweka sheria na mifumo rafiki zaidi ktk chaguzi zetu.

..Mgombea binafsi anafaa katika nchi ambazo chaguzi zinaendeshwa kwa ustaarabu na uwazi.

..chama cha siasa kinamsaidia mgombea ktk mambo mengi ikiwemo mtandao wa wanachama, msaada wa kisheria kunapotekea matatizo, upatikanaji wa mawakala, etc.

..figisu wanazopitia wagombea wa vyama wakati wa uchaguzi, sina uhakika kama mgombea binafsi ataweza kukabiliana nazo.
 
Unaongelea mambo ya duniani kote who cares about duniani kote; wakati hapa tunaongelea haki ya mtu.., anyway ngoja nikupe extract kutoka kwenye article from the archives...
Do you have DID?!
 
Dirisha la kusaini mabadiliko SI limeshafungwa au ilikuwa mkwara wa kuitisha CDM.
 
..Naunga mkono mgombea binafsi lakini sambamba na hilo tunapaswa kuweka sheria na mifumo rafiki zaidi ktk chaguzi zetu.

..Mgombea binafsi anafaa katika nchi ambazo chaguzi zinaendeshwa kwa ustaarabu na uwazi.

..chama cha siasa kinamsaidia mgombea ktk mambo mengi ikiwemo mtandao wa wanachama, msaada wa kisheria kunapotekea matatizo, upatikanaji wa mawakala, etc.

..figisu wanazopitia wagombea wa vyama wakati wa uchaguzi, sina uhakika kama mgombea binafsi ataweza kukabiliana nazo.
Mkuu mimi mwenyewe naunga mkono mgombea binafsi japo najua hata wakiruhusiwa ni kama good gesture tu ya kuonyesha kuheshimu demokrasia lakini haina uzito wowote kwa sababu rejea zipo za kutosha hata katika demokrasia imara sana kote duniani bado wagombea binafsi kushinda katika chaguzi ni chini ya 1%.
 
Acha ku copy na ku paste mambo kama kasuku tu,
Duh aisee, hivi hata fikra zako zina mtiririko au kila ukiweka nukta unasahau unachokiongelea ? Sio wewe uliyesema duniani mgombea binafsi haina tija na watu wapo pale kuzuga tu.., sasa mimi kwa kukupa concrete examples nimekuonyesha ni vipi UK (Mayor aliweza kushinda as independent baada ya kutoka Labour) na Portugal watu kuweza kushinda kabisa as independent.., sasa bila kuicopy hio article ulitaka nitunge mwenyewe mambo ya kusadikika ?!!!!!!!!
kwani hao G55 wamekuambia wangegombea kama wagombea binafsi kama hiyo nafasi ingekuwepo?
Who knows ila nafasi haipo kwahio hio ni moot point ingekuwepo wala kungekuwa hakuna sababu ya kuanzisha Chama as wangepa option (na talking about Demokrasia na haki ya msingi alafu mtu kunyimwa haki yake ya kuchaguliwa na kugombea sababu hata Chama inaonyesha ni vipi haya maigizo yanakula tu Kodi zetu)

Umezungumza nao ukajua kwamba mbadala wenye mashiko zaidi kwa amabo wangependelea ungekuwa ni huo na sio wangetaka kuanzisha chama chao kingine au kujiunga hata na vyama vingine vya siasa vilivyopo??
Chochote kile wanachotaka ni haki yao kama Raia, ila kutokuwepo na Option nyingine ambayo ni haki ya mtu ya msingi sio jambo jema na sio wao tu hili linaweza kumkumba mtu yoyote aliyepo kwenye genge mojawapo
 
Hao ni sisiemu nyuma ya mbowe
Mbowe
Sikutarajia ametuchuuza miaka yote hii.
Hili ni genge lake, wanamtii, asingekuwa nyuma ya hawa m55 angewakemea au kuwaita na kuwashauri wamuunge mkono Lissu
 
Kwanini kusiwe na wagombea Binafsi ? Tatizo hivi vyama vishakuwa (Magenge) ya wao na sisi; na mwisho wa siku vinatumika kama silaha na sio suluhu;

Mkuu tulio na fahamu tunajua kabisa watu huchagua kwanza mtu.
Lakini hii kioo cha kupitia chama hata makapi yanabebwa sana,wanaacha mishale mikali na kuchukua butu.
Ukihoji utafukuzwa chama ubunge au udiwani.Chama hakina uchungu kama yaliotokea CUF ya Lipumba kuwafukuza wabunge.
Je kipi kinatangulia wananchi waliokuchagua au swaga luba za chama?Unawanyima wananchi uwakilishi waliokuchagua.
Kuuendekeza uchama zaidi ndio ukunguni.
Marehemu Mchungaji Mtikila alitetea uwakilishi binafsi hadi akashinda kesi Mahakama kuu,lakini baadae serikali ikapita rufani.
Kama kweli wao wanaodai no reform no election waje kwanza na haki ya raia kuruhusiwa kugombea bila kupitia chama.
 
..Naunga mkono mgombea binafsi lakini sambamba na hilo tunapaswa kuweka sheria na mifumo rafiki zaidi ktk chaguzi zetu.

..Mgombea binafsi anafaa katika nchi ambazo chaguzi zinaendeshwa kwa ustaarabu na uwazi.

..chama cha siasa kinamsaidia mgombea ktk mambo mengi ikiwemo mtandao wa wanachama, msaada wa kisheria kunapotekea matatizo, upatikanaji wa mawakala, etc.

..figisu wanazopitia wagombea wa vyama wakati wa uchaguzi, sina uhakika kama mgombea binafsi ataweza kukabiliana nazo.
Naam Kwanza kabisa dhima ya chama ni kuunganisha watu wenye mawazo sawa ili kupaza sauti zao (mkiwa wengi ni rahisi kusikika kuliko ukiwa peke yako) hilo lipo wazi kabisa.., lakini je iwapo mawazo yangu hayapo A wala B; au iwapo mimi itikadi zangu ni za CHADEMA na sasabu Chadema wamenifukuza, je nijiunge na CCM ambao kila siku nilikuwa nawaita wezi (is that easier hata kwa conscious yangu)? au ni vema nikaenda kivyangu na sababu kazi zangu wananchi wanazitambua hivyo watanielewa bila kuniita msaliti...

Na vipi kama nishapata Ubunge kwa tiketi fulani na nikipingana na watu au nikibisha si watanifukuza na kupoteza kiti changu ? Uoni kwamba ingekuwa bora nikiwa na hii option ambayo ni haki yangu kabisa katika nchi ya demokrasia ?

Be it practical au theoretical, lakini sababu hii ni Haki ya Msingi basi na iwepo..., ni kama tunavyosema kila Mtanzania anaweza kuwa Rais kama ana akili Timamu na miaka inayotakiwa lakini practically bila kuwa Chama Dola na mtandao inabakia kuwa hadithi..., that being the case hatujasema sababu hivyo ndivyo basi tubwage manyanga (hapana tunaendelea kupambania haki)
 
Na vipi kama nishapata Ubunge kwa tiketi fulani na nikipingana na watu au nikibisha si watanifukuza na kupoteza kiti changu ? Uoni kwamba ingekuwa bora nikiwa na hii option ambayo ni haki yangu kabisa katika nchi ya demokrasia ?
Ukipata ubunge au udiwani kupitia tiketi ya chama fulani halafu ukapingana na hicho chama inatakiwa upoteze hicho kiti na uchaguzi wa hilo jimbo au kata urudiwe. Vinginevyo ni ulaghai na utapeli kwa wapiga kura kukupa uwakilishi kupitia chama fulani halafu unafika mbele unageuka na unataka kuendelea na nafasi hiyo bila wananchi kuridhia tena kwa kukuchagua.
 
Ukipata ubunge au udiwani kupitia tiketi ya chama fulani halafu ukapingana na na hicho chama inatakiwa uchaguzi wa hilo jimbo au kata urudiwe. Vinginevyo ni ulaghai na utapeli kwa wapiga kura kukupa uwakilishi kupitia chama fulani halafu unafika mbele unageuka na unaendelea na nafasi hiyo bila wananchi kuridhia tena kwa kukuchagua.
Mgombea binafsi itaondoa hizo sintofahamu zote...; na ni Haki ya msingi katika nchi ya Demokrasia hata kama ni impractical lakini iwepo na as an independent (mfano Diwani) itakuwa rahisi kwako kuwasiliana na kufanya kazi na pande zozote zile bila kuleta issue za Uvyama....; na kama uchaguzi ukirudiwa basi niwe na option ya kusimama kama jeshi la mtu mmoja na sio kuamia kwenye genge jingine ambalo sikubaliano nalo...
 
Kama wapi uliona wagombea binafsi wakiondoa hizo sintofahamu zote? Wewe endelea kubaki kwenye utopia yako tu.
 
Sio CCM tu vyama vyote havitaki (Ukiowaondolea hilo unawapunguzia Kete yao muhimu sana) : Ya kwamba fanya hivi au tutakufukuza na tukikufukuza na Ubunge hata kama unao unaupoteza
Sio kweli, CCM tu ndo wanakataa.
 
Kwa kuwa lengo la G55 ni kushiriki uchaguzi tu katika hali yoyote ile na mazingira yoyote kama ilivyo ACT, je muda unaruhusu wao kuanzisha chama kipya, kupata usajili na kuweza kusimamisha wagombea wao kushiriki uchaguzi?
View attachment 3312097
Wanaweza maana wanaratibiwa na dola. Shida ni kuupata wapiga kura.
 
Kama wapi uliona wagombea binafsi wakiondoa hizo sintofahamu zote? Wewe endelea kubaki kwenye utopia yako tu.
Hivi hata unajua kusoma ?!!! Nimekuwekea hapo Article from UK, Georgia mpaka Portugal wagombea binafsi wameshiriki na wameshinda (uliuliza inafanyika wapi duniani) ila that is beside the point; Haki ni Haki lazima itendeke hata kama wewe au baadhi ya watu wanaona haifai...

Mtikila ilibidi aamie Chadema ili aweze kushiriki Ubunge baada ya Chama chake kuwa hakina Usajili (ni rahisi kwa status quo kukunyima usajili wa Chama au kuchelewesha) hivyo kukunyima haki yako ya msingi.

Na hio option ingekuwepo hawa 55 wasingekuwa na ulazima wa kuanzisha Chama wala kuhama wangeweza kwenda kila mmoja kivyake.
 
Back
Top Bottom