Tetesi: Muda wowote kabla mwezi haujaisha Rais kutandika mkeka mpya, Mtanda ajiandae kisaikolojia!

Yes/no
 
Hata hivyo najitahidi sana muda wote nipo na Wazulu na Afrikaans kwenye kazi zangu...wadumavu kama wewe hawapo kila wakiamka huyu aondolewe aliingia uwanjani..
Tumepita level hizo kitambo sana mwenyewe ndio umeingia mjini!
 
Ugali umewadumaza Watanganyika mtu aondolewe kisa ma mipira daah mmesahau kabisa mabilioni yanayolipwa huko kwenye Mahakama za Nje na hamtaki kujadili hili ninyi na huyu alikua uwanjani au alikua Nje wiki nzima Wadumavu bhana..
Pia kuna kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zinaendelea.
Aibu sana mkuu.
 
Hii tabia ya viongozi kutumia madaraka yao kuwakomoa wapinzani wao inafanyika sana dhidi ya vyama vya upinzani. Viongozi wa ccm wamenogewa na tabia hiyo, taratibu wanaana kuhamishia tabia hiyo kwenye soka. Si muda mrefu tutaanza kuona hata wachezaji wakitekwa kwa maagizo ya viongozi, kama wanavyoagiza wapinzani watekwe ma kupotezwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…