Tetesi: Muda wowote kabla mwezi haujaisha Rais kutandika mkeka mpya, Mtanda ajiandae kisaikolojia!

Potelea pote mwanangu uwe na siku njema bhana..nimecheka sana eti uduanzi wewe kavu sana ujue...
Kama kweli wewe ni baharia na sio mduanzi nitakualika kailicha na mainbeigh ukaone ufalme wangu na kizazi changu hatuna swaga za kujiweka mitandaoni!
 
Friends, ladies and gentlemen,

mabadiliko yoyote serikalini hayaepukiki,
na hufanywa katika nia na dhamira ya kuimarisha utendaji wa serikali na kuongeza ufanisi katika utoaji huduma na kuchochea maendeleo kwa wananchi na si vinginevyo 🐒
 
Ramli chonganishi, mtanda ni mtarajiwa wa Nafasi kubwa CHAMANI, lijue hilo
 
Mtanda anatekeleza vizuri majukumu yake na mfumo hauwezi kumtoa kisa kaonyesha unazi dhidi ya Simba.

Haya ni masuala ya kupita hayawezi kupewa kipaumbele kulinganisha na picha ya pana ya utendaji wa Mtanda kiserikali.
 
So what????
 
Vili wala rushwa? nchi imejaaa wajinga sana hii, yaani Kutwa nzima ni Yanga na Simba, wajinga hawawazi jambo jingine lile
Yaani... Huyo Mtanda alififisha kesi ya ubakaji ya mkuu mwenzake wa mkoa...
Mchengerwa alifuta vijiji na vitongoji kisha akapora haki ya wananchi kushiriki kwenye uchaguzi serikali za mitaa...
Lakini Wadanganyika hawakushinikiza wajiuzulu wala kutumbuliwa!
Ila zikiguswa Simba na Yanga walalahoi wanakuja juu! Na system inafanya kuwapumbaza!


Ujinga ni laana!!
 
Watu wa Simba mna kaswende ya ubongo, badala ya kuwekeza kwenye timu mnamuingiza Rais kwenye upuuzi.

Hebu tueleze lile goli la Pamba walilofunga na kukataliwa ni goli halali au siyo goli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…