Atoke tuu, kama mkataba mbovu wa IPTL wa miaka 30 iliyopita mpaka leo tunalipa left and right mabilioni ya pesa, jee huu wa bandari wenye thamani ya mabilioni na mipaka na maziwa ya nchi itakuwaje? hizo trillioni nane tunazopata sasa hivi kwenye bandari tutawalipa wao tusipoangalia, hizi arbitration tunazopigwa kila siku liwe somo na nasikia jana tuu Standard Charted wametupiga karibu billion 400 kwa ajiri ya Imitambo chakavu ya PTL ya miaka 30 iliyopita, IPTL iwe case study ya hii mikataba maana lile shetani ukianzia kwa yule singa singa, muhaya, rushwa za viongozi wa CCM na mabenki yaliyohusika yameshapiga zaidi ya trillion kwa mtambo mbovu ambao gharama yake haiwezi kuzidi milioni 20, haya makampuni yana thousands of lawyers wanaolipwa vizuri kuliko Raisi wa Tanzania na yanajua hizi game kuliko mtu yeyote, Tanzania has no chance kuwashinda hawa jamaa kwenye kesi yeyote tukiingia nao mkataba, watatusafisha kila kitu na kina Samia inawezekana wasiwepo tena wakati huo, US waliwapa 24 hours DP kufunga virago, inasikitisha sana