Akiwatosa ajue atalipa mabilioni ya dola na warudisge chao 1T wamesunda.....muda mwalimu mzuri
Nadhani kwa hatua hii, hili linawezekana na bila kesi Wala fidia yoyote..
Huo mkataba (IGA) kwa utaratibu wa kisheria wa kawaida na ili uanze kutumika katika nchi zilizokubaliana, basi ni
LAZIMA kwanza upitie hatua mbili muhimu zifuatazo Kwa Kila nchi husika;
1. Uwe ratified na mamlaka za nchi husika (kwa sisi TZ ni Bunge la JMT). Dubai sijui ni mamlaka gani hutumika ku ratify international agreements (IGA).
2. Nchi husika zibadilishane hizo nyaraka za ratification..
Hii hatua ya pili sina hakika kama imefanyika. Na kama haijafanyika na hivyo Dubai kutokuwa wamepokea IGA ratified document toka serikali ya Tanzania, obvious wanakuwa hawana nguvu ya kisheria kufanya chochote ndani ardhi ya Tanganyika..
Hopefully, Rais Samia Suluhu Hassan hajaitekeleza hii hatua ya mwisho.
Na ili ajiokoe na hukumu ya ghadhabu iliyo mbele yake, ni bora sana aishie hapohapo alipofikia..
Ila kama ilivyo ada ya watawala wa serikali ya Tanzania kuvunja
sheria,
katiba na
taratibu, kuna uwezekano mkubwa kuwa serikali ilishatoa go ahead Kwa DP World kuendelea na shughuli zake hata kabla ya ratification process kufanyika bungeni...
Na ishara ni kuwa, IGA hii tata inaonekana ilishasainiwa kinyemela na Rais Samia Suluhu Hassan mwenyewe tangu mwezi Oktoba, 2022 lakini ikaingizwa bungeni kwa ajili ya ratification mwezi wa sita (miezi 8 baadaye) mwaka huu 2023...!!