Tetesi: Muda wowote kuanzia sasa Samia ataachana na DP World!

Tetesi: Muda wowote kuanzia sasa Samia ataachana na DP World!

Na ikiwa kweli akaachana nao subiri usikie machawa Hawa Hawa wanaousapoti mkataba watakavyo msifu mama. We subiri tu
 
Vyanzo vyako feki vyote. Muda huu wanasheria wapo ughaibuni wakiandaa mikataba ya consession na lease na wakirudi wanamaliza biashara ya DP World.

Lengo la uwekezaji ni kurahisisha maisha ya wafanya biashara, kama wewe Lusungo nimfanyabiashara wa bandari huwezi kuwa na mawazo ya aina hii.

-Tanzania unlawfully expropriated Ntaka Hill nickel project, tribunal finds, awards miner $109m​

-Indiana Resources (ASX:IDA) wins $160M from Tanzania in World Bank dispute​

-The Hong Kong arm of Standard Chartered Bank has won a US$185 million ICSID award against Tanzania in a dispute over rights under a power purchase agreement which has already spawned three other arbitrations at the centre
-Symbion

Tanzania inapoteza pesa nyingi sana kutokana na hii mikataba, hiyo ni mifano tuu, kuna kesi nyingi sana tumepoteza na sasa tunalipa, rushwa na incompetency ya serikali ni kubwa sana, bandari itakuwa balaa tupu itakuwa ni sawa na alichofanya Mangungo kwa watu wake, ujinga unatumaliza
 
Sidhani kama hilo lipo! Labda tuendelee ku assume ni tetesi!
 
Atoke tuu, kama mkataba mbovu wa IPTL wa miaka 30 iliyopita mpaka leo tunalipa left and right mabilioni ya pesa, jee huu wa bandari wenye thamani ya mabilioni na mipaka na maziwa ya nchi itakuwaje? hizo trillioni nane tunazopata sasa hivi kwenye bandari tutawalipa wao tusipoangalia, hizi arbitration tunazopigwa kila siku liwe somo na nasikia jana tuu Standard Charted wametupiga karibu billion 400 kwa ajiri ya Imitambo chakavu ya PTL ya miaka 30 iliyopita, IPTL iwe case study ya hii mikataba maana lile shetani ukianzia kwa yule singa singa, muhaya, rushwa za viongozi wa CCM na mabenki yaliyohusika yameshapiga zaidi ya trillion kwa mtambo mbovu ambao gharama yake haiwezi kuzidi milioni 20, haya makampuni yana thousands of lawyers wanaolipwa vizuri kuliko Raisi wa Tanzania na yanajua hizi game kuliko mtu yeyote, Tanzania has no chance kuwashinda hawa jamaa kwenye kesi yeyote tukiingia nao mkataba, watatusafisha kila kitu na kina Samia inawezekana wasiwepo tena wakati huo, US waliwapa 24 hours DP kufunga virago, inasikitisha sana
IPTL uliza serikali ya Kikwete yeye anajua yote na hakuna mtu anayuonea hapo rushwa na utapeli wa serikali ya Kikwete ndio imesababisha matatizo hayo usimwonee Samia
 
Haya

Wenzenu Akina Salah na Neymar wanakimbilia Arabuni Kule Ulaya na Marekani wazungu wamefirisika Lakini Nyie mnapishana na Gari la hela 😄😄😂🔥
Niliona hili kitambo baada ya issue ya DP world kupiga unafiki kumbe wew ni mdau mkubwa na supporter wa mikataba ya hovyo!! Tatizo sio hela tatizo ni aina gan ya mkataba Taifa linaingia. Cjui mmelogwa nyie watu!!
 
-Tanzania unlawfully expropriated Ntaka Hill nickel project, tribunal finds, awards miner $109m​

-Indiana Resources (ASX:IDA) wins $160M from Tanzania in World Bank dispute​

-The Hong Kong arm of Standard Chartered Bank has won a US$185 million ICSID award against Tanzania in a dispute over rights under a power purchase agreement which has already spawned three other arbitrations at the centre
-Symbion

Tanzania inapoteza pesa nyingi sana kutokana na hii mikataba, hiyo ni mifano tuu, kuna kesi nyingi sana tumepoteza na sasa tunalipa, rushwa na incompetency ya serikali ni kubwa sana, bandari itakuwa balaa tupu itakuwa ni sawa na alichofanya Mangungo kwa watu wake, ujinga unatumaliza
Tatizo sio mkataba hapa ni utapeli wa serikali ya Kikwete don’t compare apples 🍎 and oranges. Serikali zote duniani zina mikataba ya aina hiyo na nchi nyingine lakini Tanzania ndio inaongoza kuwa na kesi kwa sababu ya kuwa na viongozi wezi na wala rushwa hela ya escrow waliba ndio hiyo sasa inabidi walipe
 
Ukiwa nabii wa kifo hutajisumbua kuangalia upande chanya wa mkataba huu. Kumbuka kuwa wanasheria wanaoandika hiyo mikataba wanazifahamu hizi taarifa kwa kina kuliko sisi tunaofanya copy pasting.
 
Mama yetu Samia usiache huu mkataba, badilisheni tu baadhi ya vipengele katika mkataba, huu ni uwekezaji wa kimkakati sana.
 
Tatizo sio mkataba hapa ni utapeli wa serikali ya Kikwete don’t compare apples 🍎 and oranges. Serikali zote duniani zina mikataba ya aina hiyo na nchi nyingine lakini Tanzania ndio inaongoza kuwa na kesi kwa sababu ya kuwa na viongozi wezi na wala rushwa hela ya escrow waliba ndio hiyo sasa inabidi walipe
Same shit everything, ni hao hao tuu, chama, serikali, sera etc kuna watu wapuuzi kuliko maelezo, mikataba yote tuliyoingia ni majanga matupu, kwanini leo tuamini huu wa bandari utakuwa tofauti, hata ndege tuu zilitushinda nusu wachukue kwa ajiri ya mikataba, IPTL ya miaka 30 iliyopita bado tunapigwa billions mpaka leo, hawa watu wana army of lawyers ukisimama nao chance ya kuwashinda is almost zero, Bandari wataichukua na hawatairudisha for the next 100 years na ukibisha utawalipa wao kwa miaka 100 ijayo, hiyo trillion nane tunayopata leo bandarini nakuhakikishia tutawalipa wao tusipo kuwa makini, bora tukope billions,tuajiri wataalam waliobobea watuendeshee bandari yetu
 
Ukiwa nabii wa kifo hutajisumbua kuangalia upande chanya wa mkataba huu. Kumbuka kuwa wanasheria wanaoandika hiyo mikataba wanazifahamu hizi taarifa kwa kina kuliko sisi tunaofanya copy pasting.
Wanasheria wa CCM au unaongelea wa wapi? Professor wenu juzi kaburuzwa hadharani mpaka aibu, jana tuu tumepigwa na billion 400 nyingine, nyie watu ni matatizo matupu
 
Daaaah! Mama anafanya kosa kubwa kuvunja huu mkataba et kwa sababu ya vibaraka wa amerika wanaopiga kelele. Mmarekani bhana mtu mbaya kabisa
makuwadi na madalali ya warabu yaliyohongwa na warabu ili kutetea mkataba wa kishenzi yameahindwa kujibu hoja matokeo yake yanakamata watu hovyo kama mazezeta.
 
Be the first to know... muda wowote kuanzia sasa Rais Samia atauzima rasmi mjadala unaochukua sura mpya kila siku nao si mwingine bali ni DP World!

Vyanzo vyangu toka ndani ya Chama na Serikali vinabainisha joto la mjadala linaelekea pabaya hivyo busara imetumika kufunika kombe mwanaharamu apite!

Hongera samia kwa usikivu kumbe zile R nne zinatoka moyoni!
Ngoja tusubiri.
 
Back
Top Bottom