Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Boss jana tuu tumepigwa billioni 400 nyingine kwenye mkataba na IPTL wa miaka 30 iliyopita, na waliotuingiza ule mkataba ni hao hao CCM na serikali yake, na juzi tuu tuliona yule Professor kiazi alivyoburuzwa na kutiwa aibu hadharani akitetea mkataba wenu, trillions zinalipwa kila siku kwenye hizi arbitration kila siku kwanini sasa tuamini huu utakuwa hauna matatizo wakati wanaotuingiza ni hao hao, kama IPTL imekula zaidi ya trillion huu wa bandari, maziwa, anga etc utakuwa ni kuuza nchi kwa bei ya bure, tumieni akili nyie mnauza future ya watoto wenu na watageuzwa watumwa wa waarabu, mnasikitisha sanaTukitaka kupata vichekesho vingine kama hivi tubonyeze no ngapi?