Tetesi: Muda wowote kuanzia sasa Samia ataachana na DP World!

Tetesi: Muda wowote kuanzia sasa Samia ataachana na DP World!

Haya

Wenzenu Akina Salah na Neymar wanakimbilia Arabuni Kule Ulaya na Marekani wazungu wamefirisika Lakini Nyie mnapishana na Gari la hela 😄😄😂🔥
Hiyo CRDB TUNAYOTA SI YA NAMNA HIYO. Acha tundundulize na TIB YETU LAKINI TUBAKI SALAMA.
 
Same shit everything, ni hao hao tuu, chama, serikali, sera etc kuna watu wapuuzi kuliko maelezo, mikataba yote tuliyoingia ni majanga matupu, kwanini leo tuamini huu wa bandari utakuwa tofauti, hata ndege tuu zilitushinda nusu wachukue kwa ajiri ya mikataba, IPTL ya miaka 30 iliyopita bado tunapigwa billions mpaka leo, hawa watu wana army of lawyers ukisimama nao chance ya kuwashinda is almost zero, Bandari wataichukua na hawatairudisha for the next 100 years na ukibisha utawalipa wao kwa miaka 100 ijayo, hiyo trillion nane tunayopata leo bandarini nakuhakikishia tutawalipa wao tusipo kuwa makini, bora tukope billions,tuajiri wataalam waliobobea watuendeshee bandari yetu
Elewa kwamba mpaka sasa HGA na IGA na BIT ni vitu tofauti Mimi sijui kama Kuna BIT between UAE na Tanzania. Hizi kesi zote Tanzania inazoshindwa ni za BIT . BIT ni mkataba general kati ya nchi moja na nyingine ili kulinda wananchi wa hizo nchi mbili kama wakiweza baina yao.Hili la DPW sielewi ni nini??na wameshindwa kufafanua huo ni mkataba wa aina gani
 
Te
Be the first to know... muda wowote kuanzia sasa Rais Samia atauzima rasmi mjadala unaochukua sura mpya kila siku nao si mwingine bali ni DP World!

Vyanzo vyangu toka ndani ya Chama na Serikali vinabainisha joto la mjadala linaelekea pabaya hivyo busara imetumika kufunika kombe mwanaharamu apite!

Hongera samia kwa usikivu kumbe zile R nne zinatoka moyoni!
Tetesi hubakia kuwa tetesi hadi litokee

Napinga mkataba wa hovyo wa DPW na serikali yetu
 
Haya

Wenzenu Akina Salah na Neymar wanakimbilia Arabuni Kule Ulaya na Marekani wazungu wamefirisika Lakini Nyie mnapishana na Gari la hela [emoji1][emoji1][emoji23][emoji91]

Kwani ulidhani ni hela zako hizo! Kalagha baho utaishia kuwa maskini kwa hela ambazo siyo zako!
 
Elewa kwamba mpaka sasa HGA na IGA na BIT ni vitu tofauti Mimi sijui kama Kuna BIT between UAE na Tanzania. Hizi kesi zote Tanzania inazoshindwa ni za BIT . BIT ni mkataba general kati ya nchi moja na nyingine ili kulinda wananchi wa hizo nchi mbili kama wakiweza baina yao.Hili la DPW sielewi ni nini??na wameshindwa kufafanua huo ni mkataba wa aina gani
Wewe ndo umekuja kuchanganya kabisa na BIT HGA na IGA, bila kufafanua zaidi kutoka kwenye technical language kwa common language hutakua hujafanya lolote.
 
Be the first to know... muda wowote kuanzia sasa Rais Samia atauzima rasmi mjadala unaochukua sura mpya kila siku nao si mwingine bali ni DP World!

Vyanzo vyangu toka ndani ya Chama na Serikali vinabainisha joto la mjadala linaelekea pabaya hivyo busara imetumika kufunika kombe mwanaharamu apite!

Hongera samia kwa usikivu kumbe zile R nne zinatoka moyoni!
Umeharibu kila kitu na huo mstari wa mwisho.
Tabia za kinafiki kabisa za baadhi ya waTanzania.

Mtu mharibifu mwenyewe, utaanzia wapi kumpongeza kwa uharibifu alionuia kulifanyia taifa?

Pamoja na hayo mengine uliyoandika hapa, ombeni sana CHADEMA wawe vilaza wa karne hii wakishindwa kuchukua madaraka safari hii.
Hata hao wakishindwa, bado nina imani ndani ya CCM yenyewe, haiwezi kuendelea na uozo iliyoufikia hadi hapa ilipotufikisha.
Hawa waliotafuta kutuuza wote ni lazima wapishe.
 
Be the first to know... muda wowote kuanzia sasa Rais Samia atauzima rasmi mjadala unaochukua sura mpya kila siku nao si mwingine bali ni DP World!

Vyanzo vyangu toka ndani ya Chama na Serikali vinabainisha joto la mjadala linaelekea pabaya hivyo busara imetumika kufunika kombe mwanaharamu apite!

Hongera samia kwa usikivu kumbe zile R nne zinatoka moyoni!
Kuchutama ni muhimu kutokana na matakwa ya wakati.
 
Wewe ndo umekuja kuchanganya kabisa na BIT HGA na IGA, bila kufafanua zaidi kutoka kwenye technical language kwa common language hutakua hujafanya lolote.
Kifupi kesi zote Tanzania inashindwa sasa ni za BIT na hazihusiani na mkataba wa DPW
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Walifikiri Watanzania watapiga kelele siku mbili tatu na kunyamaza kama ilivyokuwa ngorongoro?

Kila kukicha jambo linazidi kuwa jipya!

Hatimaye anaenda kutema bungo
 
Tatizo halipo kwa mama bali ni kikundi cha sukuma gang kina muingiza kwenye matatizo makusudi ili mwaka 2025 akataliwe
Kumbe sukuma gang bado ina nguvu ee?

Basi 2025 ajiandae kurudi jambiani
 
Back
Top Bottom