Sinkala
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 1,773
- 688
Wanaenda kule kuwekeza vipaji vyao, sio kwamba Waarabu wanaenda kwa akina Neymar. Ishu yetu ni kwamba jamaa wa Dubai wanakuja kuchukua bandari zote na anga.Haya
Wenzenu Akina Salah na Neymar wanakimbilia Arabuni Kule Ulaya na Marekani wazungu wamefirisika Lakini Nyie mnapishana na Gari la hela ๐๐๐๐ฅ
Kama unataka Tanzania iende kuwekeza Dubai kwa kununua ardhi kwa muda usio na kikomo, nitakuunga mkono