Mimi binafsi sipendi upuuzi wa pale Bandarini na natamani ibinafsishwe .
Kuliko kuachana na DP World Bora vifungu vinavyozozaniwa virekeboshwe.
Majibu yote ni Bunge litakapoanza tutaona kama mswaada unaopendeleza kubadili sheria Ili ziendane na matakwa ya kiuwekezaji utasomwa au laa wiki ijayo.
Mwisho itakuwa ni kosa la kiufundi, afadhari uamzi kama huo ungefanyika mapema kabisa na sio too late kama hivi.
Hawa watu wa Bara kuwasaidia ni kutwanga Maji kwenye Kuni,Ndugu zao Wa damu waliwashindwa sembuse wewe wanaekuita Mzanzibari? Hawa wamechagua urasimu kwenye bandari Yao,waache, Hawa wamechagua upigaji kwenye bandari Yao achana nao Hawa wamechagua upotevu wa Mali za wateje kwenye bandari Yao...
www.jamiiforums.com