Uchaguzi 2020 Mufti Mkuu wa Waislamu Sheikh Zuberi leo Korogwe mbele ya Rais Magufuli

Kuna viumbe ka uamusho kazi yao ni kutengeneza mitafaruku, mfano kukifundisha wewe kuichukia bakwata etc, kukufundisha kumchukia mkristu etc
Mufti labda kinachomletea mkanganyiko ni hiyo huduma ambayo amekuwa akitoa tokea zamani Kabla hajawa Mufti

Ova
 
Hawa watu wapo tangu enzi za kikwete, Magufuli amewakuta
 
Hawa watu wapo tangu enzi za kikwete, Magufuli amewakuta
Magufuli amewakuta 72 tu ambao walikamatwa na SMZ.... kuanzia mwaka 2016 karibu kila mkoa mashekh wamekamatwa kwa "mamia kwa tuhuma za ugaidi
Basi mbona hasikii kilio cha mamilioni ya waislamuuuu....
Tafadhali wapelekeni mahakamani ili wahukumiwe kama Wana hatia waende jela kama lla waachiwe mbona mambo rahisi sana?!!
 
Sheikh Ponda Issa Ponda is the only one who can defend the rights of Muslims openly, he is the true leader to lead “ Inshallah God will save the right side against dark side “
 
Masheikh waliohubiri mawaidha ya msingi wa kuilinda Imaan ya waislam kwa uthabiti wake hawakustahili manyanyaso na kuozea gerezani ni wakati wa waislamu wote waungane katika kutetea haki na hapo ndio ukamilifu wa nguzo zote za dini zitatimizwa vyema na waja
 
Sheikh Ponda Issa Ponda is the only one who can defend the rights of Muslims openly, he is the true leader to lead “ Inshallah God will save the right side against dark side “
Inn shaa Allah
Even if munafiquun will hate it
 
انا لله وانا اليه راجعوان
 
Big Up Sheikh ponda maana umewatoa WANAFIKI wa BAKWATA shimoni.
 
Mwanzoni wewe kiumbe nlikua sikuelewi elewi. Ila nowdays naanza kukuelewa. Inaonekana ushabiki maandazi kwako ni mwiko. Haka kadada katupu kichwani ambako hakajui shirika la maendeleo la Taifa NDC ni nini Jane Lowassa kaje kajifunze toka kwako
 
Kabla ya Magufuli Rais alikua muislam. Kwanini hao masheikh walikamatwa ? Kwanini mpaka anaondoka madarakani hao 72 hawajapelekwa mahakamani ? Hao masheikh wengi waliokamatwa kila mkoa kuanzia 2016 nikikuambia uthibitishe kuwa "wengi" unaweza thibitisha idadi yao ? Madhara ya hao watu kuwepo uraiani unayajua ?
 
Ahsante kwa kuuliza
Hao masheikh wa uamsho hawajakamatwa na JMT Bali walikamatwa na SMZ wakati Jakaya anaondoka madarakani walikua wanapelekwa mahakamani na kesi zao zilikua zinaendelea vizuri na walikua wapo hatua ya mwisho kupata hukumu
Huyu kafiri alivyo ingia madarakani kesi zikasimamishwa kabisa
Na kuhusu kuthibitisha mashekh wengine kuwepo jela nenda mkoa wowote katika msikiti ambayo sio ya bakwata ulizia kama vile unataka kusaidia mchango wa waliopo jela utaambiwa na jinsi gani unaweza kuwaona
Kwa nini serikali haitaki kuzungumzia kuhusu mashekh wetu
Na je wanamadhara gani wakuwepo huru?
Jibu ni kwamba hakuna mtu ana hatia kwa sababu ya tuhuma tu
Ndio maana sisi waislamu wengi wetu Tunaiomba serikali iwafungulie mashtaka na wapate hukumu
Sio eti nimekorofishana na wanafiki wa BAKWATA Sasa mimi ni gaidi
Wewe ni mtu mkubwa unajua kuna watu wanachuki binafsi Sasa chuki Ndio iwe hukumu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…