Mufti Zubeir: Serikali inunue chombo cha kutazamia mwezi
Napenda

Ila vilikosa soko tangu mfungo uanze


Hicho ndicho ninachowapendea Wakristo ikifika mwezi mtukufu wa Ramadhani mnaupa heshima kubwa kwani hata maasi mnapunguza sana, mfano mnapunguza kula kitimoto, safi sana na muendelee hivyo hivyo hata baada ya Ramadhani,🤣🤣
 
Mbona hiyo ipo tayari, Zanzibar walipewa zawadi.

Utata haupo kwenye kuuona mwezi pekee, Utata pia upo ni wapi umeonekana.

Hii ihtilafu ni heri iachwe kama ilivyo, inaongeza ilm.
Na bara nayo tupewe zawadi. Tena watenge kabisa na fungu la Eid la nyongeza ya mshahara japo 10%
 
Yaani kweli BAKWATA wanashindwa kununua hii telescope hadi waombe msaada wa serikali? Mbona wanamapato makubwa sana na waumini wenye kujiweza.
Tulia kwanza! Lazima tutumie advantage ya Rais wa Imani yetu! Kutesa kwa zamu! Kanisa Katoliki nalo lilikula sana bata kipindi cha nyuma!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hicho ndicho ninachowapendea Wakristo ikifika mwezi mtukufu wa Ramadhani mnaupa heshima kubwa kwani hata maasi mnapunguza sana, mfano mnapunguza kula kitimoto, safi sana na muendelee hivyo hivyo hata baada ya Ramadhani,🤣🤣
Hapa kuna watu unawachokoza kisha unajifichia kwa Wakristo. Haya Bwana. Nyumba yako ya Kioo halafu unaleta ugomvi wa mawe!
 
Hicho ndicho ninachowapendea Wakristo ikifika mwezi mtukufu wa Ramadhani mnaupa heshima kubwa kwani hata maasi mnapunguza sana, mfano mnapunguza kula kitimoto, safi sana na muendelee hivyo hivyo hata baada ya Ramadhani,🤣🤣

Wakristo au waislamu ndio wanapunguza maasi. Maana walaji wakubwa wakitimoto ni waisalmu.
 
Imani vs Sayansi.

Usajili: Imani kumsajili mchezaji wa sayansi aitwaye darubini.
Uislamu haijakataa sayansi labda kwa kukusadia Quran inahimiza watu kuichunguza Dunia na mbingu ili tuonea muijiza na neema za mwenyezi mungu na technology ya telescope ilikuwepo kwenye ulimwengu wa kiislamu kabla Ya Galileo.

Study
 
huku akiwaomba viongozi wa Serikali na wadau kusaidia upatikanaji wa darubini ya kukusanya taarifa za mwandamo wa mwezi ili kumarisha uhakika wa taarifa

TANZANIA TUNA 'DHARUBINI' YETU YA ASILI, IPO VIZAZI NA VIZAZI KUBAUNI MAMBO MUHIMU IKIWEMO SUALA LA MFUNGO:

Mwezi March, 1844 Sir George Arthur gavana wa Bombay alidai apewe haraka ripoti muhimu ya mwezi January Mwaka 1811 ya nahodha Capt. Smee ya wazungu 'wavumbuzi /mabaharia wa merikebu kuhusu waliyoona walipofika Afrika Mashariki / Zanzibar na kukuta uelewa wa sayansi / jiografia ya wenyeji wa makabila yote 'Mtanganyíko' waliokuwa wanaishi kisiwa hiki.

Maana wageni waligundua watu waishio Zanzibar wa makabila tofauti tofauti kama Wanyamwezi, Wahadimu, waPomba (waPemba), waNyasa, waYao, waKomoro, Shirazi, Waarabu, wamanga, Baniani, Baluchi, Wazegura, Wasegejo, Wadigo n.k wa Zanzibar walikuwa na namna ya kuhesabu siku za mwaka mzima ambao kwao ni siku 354 kisha kuongeza 10 au 12 ulingane kuwa 364 au 366 kama ulivyo kalenda ....

Hivyo waswahili na makabila Afrika Mashariki wana ufahamu mkubwa jinsi misimu, urefu wa siku, miezi , mwaka huendana na jinsi dunia inavyoegama au kuikabili jua kimuegamo ndo maana kuna siku ndefu na fupi pia siku moja iliyotimia kwa usawa (equinox) yaani saa 12 za kiza na 12 za mwanga ktk saa 24 ya siku.

Hali zote hizo za 'vitimbi (manifestation ) au tuite tabia vya mgeuko wa sayari yetu dunia zinachukuliwa kwa umuhimu mkubwa ili kutambua misimu, pepo za kaskazi / kusi , kuchafuka kwa bahari, mvua kubwa, mvua ndogo, mwezi mchanga, kuangalia nyota agani ya Kilímia yaani kulima kwa kiswahili cha leo n.k Hakika Hii ni elimu kubwa tuliyonayo wenyeji tofauti na kalenda ya kutundika ukutani ...


The Wasawahili also calculate their agricultural seasons from the stars called Kilímia, a name probably derived from Ku lima, to plough....

Local tribes and semi-civilized tribes, begins with sighting the moon; and the Wasawahili reckon like the Jews, the modern Moslems, and the Chinese, 12 of 29 and 30 days alternately. ‘The complete number of months with God’ being, says the Koran, ‘twelve months,’ good followers of the Prophet ignore the Ve-adar, second or embolical Adar, which the Hebrews inserted after every third year, and retain their silly cycle of 354 days. The Wasawahili add 10 to 12 days to the Moslem year, and thus preserve the orderly recurrence of the seasons. The sage in 172charge of the local almanac is said to live at Tumbatu: he finds his New Year’s Day by looking at the sun, by tracing figures upon the ground, and by comparing the results with Arabic calendars.....

‘The universal festivals,’ says the late Professor H. H. Wilson (Essays on the Religion of the Hindus, ii. 155), ‘are manifestly astronomical, and are intended to commemorate the revolutions of the planets, the alternations of the seasons, and the recurrence of cyclical intervals of longer or shorter duration.’ The Nau-roz (نوروز) or New Year’s Day, here, as in Syria, locally pronounced Nay-roz, was established in ancient Ariana, according to Persian tradition, by Jamshid, King of Kings, in order to fix the vernal equinox.[45] It is the Holi of the Hindus, 173and after the East has kept this most venerable festival for 3000 years, we still unconsciously celebrate the death and resurrection of the eternal sun-god.....

Source :
Zanzibar: City, Island, and Coast by Richard F Burton
 
Mbona hiyo ipo tayari, Zanzibar walipewa zawadi.

Utata haupo kwenye kuuona mwezi pekee, Utata pia upo ni wapi umeonekana.

Hii ihtilafu ni heri iachwe kama ilivyo, inaongeza ilm.
Na kwann , Suala la Dini, mpaka mtumie Sayansi?.

Hamuwezi subiri mshuhudie mwezi Kwa Macho yenu?.

Ndo yaleyale ,kuomba Serikali iwasaidie, Muanze kuoa vitoto vya miaka 14 .



Hayaz huna kabinti kako ka miaka 15 hapo, nikaoe??.
 
Swali, Je ni jukumu la Serikali kufanya masuala ya dini?

===
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amekemea ufisadi, akihimiza jamii kulinda maadili, umoja na mshikamano, huku akiwaomba viongozi wa Serikali na wadau kusaidia upatikanaji wa darubini ya kukusanya taarifa za mwandamo wa mwezi ili kumarisha uhakika wa taarifa.

Mwezi mtukufu wa Ramadhani ni kipindi ambacho waumini wa Kislamu duniani hufunga kwa siku 30 kabla ya kusherehekea siku hiyo kupitia taarifa rasmi va mwandamo wa mwezi huo.

Hata hivyo, kabla ya kusherehekea, kifaa hicho (moon sighting machine) ndio hutumika kupata uhakika wa mwandamo wa mwezi huo kimani ili kuondoa utata au mabishano miongoni mwa waumini hao.

Sheikh Zubeir amesema hayo leo Jumanne Aprili 22, 2023 katika swala ya Eid EI- Fitr iliyofanyika kitaifa katika msikiti wa Mfalme Mohamed VI uliopo Wilaya ya Kinondoni, jijini hapa, ikihudhuriwa na Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, mabalozi, mawaziri na watu mashuhuri.

Chanzo: Mwananchi
Bakwata wamechanganyikiwa nini [emoji23][emoji23]
 
Mambo ya dini yanahusishwaje na serikali ya nchi isiyoongozwa kwa misingi ya dini? Halafu mwezi kuandama ni mpaka uangaliwe kwa chombo maalumu wakati kihesabu za kawaida tu inajulikana kuandama kwake? Inakuaje watu wengine hawajui minenendo ya mwezi na nyota kuzunguka dunia, kama mtu anashindwa kuangalia anga ikoje usiku hata majira ya mwaka atashindwa kujua yanakujaje.

Kunyesha kwa mvua ndio hawatajua kabisa. Tangu zamani watu walijua lini mwezi utaandama kwa kufuatilia mwenendo wake kila siku usiku na mchana lakini watu wa leo wanataka chombo katazamia muandamo, hiki ni kituko cha karne
 
Back
Top Bottom