Mufti Zubeir: Serikali inunue chombo cha kutazamia mwezi
NAKUU

HAPA MSIKITINI WAMEKUJA WATU WENGI LEO, MATAJIRI NA WATU WENGINE(VIONGOZI WA SERIKALI) NASHAURI TUCHANGISHANE TUNANUNUA DARUBINI KAMA WEZETU WA KENYA, ETHIOPIA NK

JIULIZE WAPI KASEMA SERIKALI INUNUE DARUBINI

HALAFU KUNA WATU WANACHANGIA MADA VITU WASIVOVIJUA

TANZANIA NI NCHI YA WAJINGA WENGI KULIKO WANAOJIELEWA

JAMII FORUM ISHAKUA KAMA FACEBOOK HAKUNA WATU WA KUREASON SIKU HIZI

WAPO WAPARAMIA MADA KAMA WOTE VILE

NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK

UJINGA MZIGO KWA TAIFA

KATAA UJINGA
UJINGA NI UTUMWA
UJINGA NI UMASKINI
UJINGA NI LAANA
UJINGA NI AIBU
alhamdulillah nashukuru umeliweka sawa kuzuia upotoshaji uliofanywa kwa makusudi kabisa na mwananchi (mcl), na kwa bahati mbaya kabisa baadhi ya watu wameshikia bango upotoshaji mkubwa uliofanyika bila kujaribu kutafuta ukweli juu ya hilo. Mshana Jr heshima yako ni kubwa hapa jukwaani tafadhali usiwe unaingia mkenge bila kujiridhisha kaka mkubwa.
 
Nadhani Mufti Aboubakar hakuwa ameliona mapema jambo hili la Mashine ya kuangalia Muandamo wa Mwezi

Vinginevyo Wakati Rais wa awamu ya 5 hayati Magufuli alipoingia Msikiti mkuu wa Bakwata pale Kinondoni kukagua Ujenzi wake angemueleza palepale na ingenunuliwa haraka iwezekanavyo

Hata hivyo ni jambo jema amekumbuka leo

Eid mubarak
 
WanaJf,
Salaam!

Imani zetu ni thabiti kwamba hatuingilii imani za wenzetu kwa namna yoyote. Lkn pale inapotokea jambo fulani linalopaswa kujadiliwa hatukai kimya - sisi ni walimu tunaofundisha na kusaidia uimara wa taasisi zote ili zifahamu raslimali zake na jinsi ya kuzitumia.

Sheikh Mkuu Mufti Abubakar Zuber leo ktk swala ya Eid El Fitr amenukuliwa akiomba Serikali darubini ya kusaidia kutizama miandamo ya mwezi. Sasa nimejiuliza mengi kwa maombi haya:-

(a). Hivi sheikh Mkuu Mufti Abubakar Zuber amejaribu ku-out source fedha toka kwa jamii anayoingoza i.e Mo Dewji, GSM, Msakila, nk akashindwa kupata fedha hizo za darubini?

(b). Hivi sheikh Mkuu Mufti Abubakar Zuber amejaribu ku-out source fedha toka kwa Baraza la kiislamu lilitojenga misikiti nchi nzima wakashindwa kumpatia darubini - mpk aombe serikalini?

(c). Sheikh Mkuu anafahamu ukubwa wa mamlaka yake na kuwa hivyo vitu vidogo vidogo vinaweza malizwa na muuza mitumba Temeke au Buguruni!

Sheikh, mengi tunakupenda lkn mengi tuyamalize huku - hii misaada itokanayo na faini za magari, watu walokamatwa porini, lodge za kulala wageni, baa za pombe, mauzo ya wanyama tusiowatumia nk hazitubariki sana.

Nawasilisha
 
Kutokana na mabadiliko ya Tabianchi suala la mwandamo wa mwezi ni changamoto sana.
 
Binocular ya dola 500 inawashinda huku wanakula sadaka za Wananchi za Mamilioni.

Hakuna tofauti ya BAKWATA na CCM.

Tende za misaada kwa wenye njaa zinaibiwa na kuuzwa kwanini wasinunue Binocular ya dola 500 yenye thermal?
 
Nadhani Mufti Aboubakar hakuwa ameliona mapema jambo hili la Mashine ya kuangalia Muandamo wa Mwezi

Vinginevyo Wakati Rais wa awamu ya 5 hayati Magufuli alipoingia Msikiti mkuu wa Bakwata pale Kinondoni kukagua Ujenzi wake angemueleza palepale na ingenunuliwa haraka iwezekanavyo

Hata hivyo ni jambo jema amekumbuka leo

Eid mubarak
Kwa kodi za watanzania wote na wasio waislamu ni upuuzi, kwanini wasinunue kwa sadaka zao

USSR
 
WanaJf,
Salaam!

Imani zetu ni thabiti kwamba hatuingilii imani za wenzetu kwa namna yoyote. Lkn pale inapotokea jambo fulani linalopaswa kujadiliwa hatukai kimya - sisi ni walimu tunaofundisha na kusaidia uimara wa taasisi zote ili zifahamu raslimali zake na jinsi ya kuzitumia.

Sheikh Mkuu Mufti Abubakar Zuber leo ktk swala ya Eid El Fitr amenukuliwa akiomba Serikali darubini ya kusaidia kutizama miandamo ya mwezi. Sasa nimejiuliza mengi kwa maombi haya:-

(a). Hivi sheikh Mkuu Mufti Abubakar Zuber amejaribu ku-out source fedha toka kwa jamii anayoingoza i.e Mo Dewji, GSM, Msakila, nk akashindwa kupata fedha hizo za darubini?

(b). Hivi sheikh Mkuu Mufti Abubakar Zuber amejaribu ku-out source fedha toka kwa Baraza la kiislamu lilitojenga misikiti nchi nzima wakashindwa kumpatia darubini - mpk aombe serikalini?

(c). Sheikh Mkuu anafahamu ukubwa wa mamlaka yake na kuwa hivyo vitu vidogo vidogo vinaweza malizwa na muuza mitumba Temeke au Buguruni!

Sheikh, mengi tunakupenda lkn mengi tuyamalize huku - hii misaada itokanayo na faini za magari, watu walokamatwa porini, lodge za kulala wageni, baa za pombe, mauzo ya wanyama tusiowatumia nk hazitubariki sana.

Nawasilisha
Waislamu ndo madoni wa TZ wanashindwaje Kununua kitu kidogo kama hicho.

MO,GSM, BAKRESA, MSOGA,.MWIGULU etc etc
 
Kaomba, hajasema wapewe; Tatizo ni pale wakianza kudai kwanini wapewe au hawa wengine wakija wakasema kwanini wale wamepewa n.k.

In short hizi Imani zenu kutaka kuzifanya kwamba ni za wote sio sawa..., ila kuomba kama part ya jamii mfano hata ndugu zetu Singasinga wakiomba Serikali iwasaidie ku-source vitambaa kwa wadau sioni kama ni tatizo (ingawa itakuwa issue tukianza kuchangisha watu au kulazimisha Tozo ili ndugu zetu wapate vitambaa)

In short hizi Pettiness mara nyingine ni kupotezea tu; Ingawa suala la darubini kama lita-impact knowledge kwa ndugu zetu sioni kama ni issue saana.....

My point is hata leo wachawi wakiomba Serikali iwatafutie Ungo ili hio so called science yao iweze kusaidia hata wengine kuruka mpaka juu ya miti let alone kupaa am all for it.....
 
Kwa kodi za watanzania wote na wasio waislamu ni upuuzi, kwanini wasinunue kwa sadaka zao

USSR
Kule Geita Serikal iliahidi kuchangia gharama za kununua kile kifaa cha tsh 20 milioni kilichovunjwavunjwa na yule mvamizi ndani ya Kanisa Katoliki la mitume!
 
Kule Geita Serikal iliahidi kuchangia gharama za kununua kile kifaa cha tsh 20 milioni kilichovunjwavunjwa na yule mvamizi ndani ya Kanisa Katoliki la mitume!
Kwani hilo dude alilo omba mufti lilikuwepo na likaharibu wa na mtanzania mwenzetu

USSR
 
Hivi ni kweli Mufti Zuberi alikuwa serious au alikuwa anatania?

Inamaana Jumuia nzima ya Dini ya kiislam nchi nzima imekosa Usd 500 tu ya kununulia hicho kifaa?.

Yawezekana Mufti alikuwa anatania au pengine Swaumu ilikuwa kali,au pengine uzee tena!.
 
Attachments

  • 20230422_151409.jpg
    20230422_151409.jpg
    107.5 KB · Views: 1
alhamdulillah nashukuru umeliweka sawa kuzuia upotoshaji uliofanywa kwa makusudi kabisa na mwananchi (mcl), na kwa bahati mbaya kabisa baadhi ya watu wameshikia bango upotoshaji mkubwa uliofanyika bila kujaribu kutafuta ukweli juu ya hilo. Mshana Junior heshima yako ni kubwa hapa jukwaani tafadhali usiwe unaingia mkenge bila kujiridhisha kaka mkubwa.
Kwa hiyo na huyu amepotosha?
 
Acha ushabiki maandalizi, au umekula kiporo cha kachumbari? Shusha takwimu sio unabwabwaja.
.Wafanyabiashara wengi mjini ni nani.
.Malori mengi nani wanamiliki
.Mabus mengi nani wanamiliki
. Daladala nyingi nani wanamiliki
.Wanaoenda nje kibiashara wengi ni nani
. Viwanda vingi nani wanamiliki.
.Teksi nyingi nani wanamiliki
.Masokoni wauzaji wengi nani
Nakupa homework
.wavuvi wengi ni nani
.Mama lishe wengi nani
. wamiliki wa hoteli wengi nani
Nakupa homework
Tembelea mamlaka za usajili wa biashara uone majina.
Pishana na magari angalia mlango wa dereva majina gani mengi.
Wakati Wakristo wanapoteza mda na miaka mashuleni Ili waje waje kutembeza bahasha,waislamu wapo field kitambo wanafunga mahesabu jioni.
Waislamu wanahela Sana shida yao kubwa si watoaji Sana na hawana umoja kwenye suala la utoaji au kusaidia dini yao.
Wakristo wanabebwa Sana na moyo wa utoaji Sana kwenye masuala ya dini zao.
Bisha KWA hoja na sio KWA muhemko
 
Back
Top Bottom