Mufti Zubeir: Serikali inunue chombo cha kutazamia mwezi
Badilisheni waangaliaji, watumieni waangaliaji mwezi wa Ansar.
Hiyo ipo tayari. Tena ya kisasa na siyo hiyo "amateur star gazer", "uliyoionesha. Iliyopo ni " latest highly professional moon sighter".

Kinachitakiwa ni hizi ihtilafu ziwafanye watu wasome siyo wabweteke.
 
NINGEKUA MM HUYO MUFTI NINGEPIGA HELA SANA MAANA HAJAYAONGEA HAYO WALOSEMA MWANANCHI

TANZANIA NI NCHI YA OVYO KABISA KILA CHOMBO CHA HABARI KINAONGEA KITAKAVYO

PELEKA MAHAKAMANI UPIGE HELA ( USHAURI)

NB: MM SIO MVAA KOBAZI
 
Swali, Je ni jukumu la Serikali kufanya masuala ya dini?

===
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amekemea ufisadi, akihimiza jamii kulinda maadili, umoja na mshikamano, huku akiwaomba viongozi wa Serikali na wadau kusaidia upatikanaji wa darubini ya kukusanya taarifa za mwandamo wa mwezi ili kumarisha uhakika wa taarifa.

Mwezi mtukufu wa Ramadhani ni kipindi ambacho waumini wa Kislamu duniani hufunga kwa siku 30 kabla ya kusherehekea siku hiyo kupitia taarifa rasmi va mwandamo wa mwezi huo.

Hata hivyo, kabla ya kusherehekea, kifaa hicho (moon sighting machine) ndio hutumika kupata uhakika wa mwandamo wa mwezi huo kimani ili kuondoa utata au mabishano miongoni mwa waumini hao.

Sheikh Zubeir amesema hayo leo Jumanne Aprili 22, 2023 katika swala ya Eid EI- Fitr iliyofanyika kitaifa katika msikiti wa Mfalme Mohamed VI uliopo Wilaya ya Kinondoni, jijini hapa, ikihudhuriwa na Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, mabalozi, mawaziri na watu mashuhuri.

Chanzo: Mwananchi
Apimwe Mkojo
 
Ni kawaida kwa waislam kutaka mambo yao ya dini kuwa sheria za nchi. Umesahau hijab?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

No wei auti
IMG-20230422-WA0112.jpg
 
NAKUU

HAPA MSIKITINI WAMEKUJA WATU WENGI LEO, MATAJIRI NA WATU WENGINE(VIONGOZI WA SERIKALI) NASHAURI TUCHANGISHANE TUNANUNUA DARUBINI KAMA WEZETU WA KENYA, ETHIOPIA NK

JIULIZE WAPI KASEMA SERIKALI INUNUE DARUBINI

HALAFU KUNA WATU WANACHANGIA MADA VITU WASIVOVIJUA

TANZANIA NI NCHI YA WAJINGA WENGI KULIKO WANAOJIELEWA

JAMII FORUM ISHAKUA KAMA FACEBOOK HAKUNA WATU WA KUREASON SIKU HIZI

WAPO WAPARAMIA MADA KAMA WOTE VILE

NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK

UJINGA MZIGO KWA TAIFA

KATAA UJINGA
UJINGA NI UTUMWA
UJINGA NI UMASKINI
UJINGA NI LAANA
UJINGA NI AIBU
 
Waulizwe Mwananchi
 
Mufti ana maanisha kuwa BAKWATA ni Wakala wa Serikali? Na kwamba Serikali inawajibika kuihudumia?
 
Yaani kweli BAKWATA wanashindwa kununua hii telescope hadi waombe msaada wa serikali? Mbona wanamapato makubwa sana na waumini wenye kujiweza.
Wamwombe bwana Mudi Boss wa Msimbazi chap hapo[emoji3]
 
Swali, Je ni jukumu la Serikali kufanya masuala ya dini?

Pili,Kuomba Serikali ifanye sio vibaya maana ni ombi.

===
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amekemea ufisadi, akihimiza jamii kulinda maadili, umoja na mshikamano, huku akiwaomba viongozi wa Serikali na wadau kusaidia upatikanaji wa darubini ya kukusanya taarifa za mwandamo wa mwezi ili kumarisha uhakika wa taarifa.

Mwezi mtukufu wa Ramadhani ni kipindi ambacho waumini wa Kislamu duniani hufunga kwa siku 30 kabla ya kusherehekea siku hiyo kupitia taarifa rasmi va mwandamo wa mwezi huo.

Hata hivyo, kabla ya kusherehekea, kifaa hicho (moon sighting machine) ndio hutumika kupata uhakika wa mwandamo wa mwezi huo kimani ili kuondoa utata au mabishano miongoni mwa waumini hao.

Sheikh Zubeir amesema hayo leo Jumanne Aprili 22, 2023 katika swala ya Eid EI- Fitr iliyofanyika kitaifa katika msikiti wa Mfalme Mohamed VI uliopo Wilaya ya Kinondoni, jijini hapa, ikihudhuriwa na Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, mabalozi, mawaziri na watu mashuhuri.

Chanzo: Mwananchi
Kumbe hawakuwa na Chombo. Ndo maana walikuwa wanapuyanga tu
 
Hiyo ipo tayari. Tena ya kisasa na siyo hiyo "amateur star gazer", "uliyoionesha. Iliyopo ni " latest highly professional moon sighter".

Kinachitakiwa ni hizi ihtilafu ziwafanye watu wasome siyo wabweteke.
Mufti anaomba msaada wa serikali tufanye hima tuchangishe pesa kusaidia hili.
 
Mbona hiyo ipo tayari, Zanzibar walipewa zawadi.

Utata haupo kwenye kuuona mwezi pekee, Utata pia upo ni wapi umeonekana.

Hii ihtilafu ni heri iachwe kama ilivyo, inaongeza ilm.
Zanzibar kumbe walipewa sasa na Mufti anaomba msaada huku bara mpewe tena yakhe.
 
watu waende na shule pia waelimike, sio kukalia dini tu... Sasa serikal ingie gharama kwa shida zenu binafsi...?
 
Back
Top Bottom