Mufti Zubeir: Serikali inunue chombo cha kutazamia mwezi
.Wafanyabiashara wengi mjini ni nani.
.Malori mengi nani wanamiliki
.Mabus mengi nani wanamiliki
. Daladala nyingi nani wanamiliki
.Wanaoenda nje kibiashara wengi ni nani
. Viwanda vingi nani wanamiliki.
.Teksi nyingi nani wanamiliki
.Masokoni wauzaji wengi nani
Nakupa homework
.wavuvi wengi ni nani
.Mama lishe wengi nani
. wamiliki wa hoteli wengi nani
Nakupa homework
Tembelea mamlaka za usajili wa biashara uone majina.
Pishana na magari angalia mlango wa dereva majina gani mengi.
Wakati Wakristo wanapoteza mda na miaka mashuleni Ili waje waje kutembeza bahasha,waislamu wapo field kitambo wanafunga mahesabu jioni.
Waislamu wanahela Sana shida yao kubwa si watoaji Sana na hawana umoja kwenye suala la utoaji au kusaidia dini yao.
Wakristo wanabebwa Sana na moyo wa utoaji Sana kwenye masuala ya dini zao.
Bisha KWA hoja na sio KWA muhemko
Aliekwambia kutoa ni utakiri nani,nyie endeleeni kujiita matajiri kumbe wabangaizaji mkanunue hiko kimashine serikali haina dini
 
Swali, Je ni jukumu la Serikali kufanya masuala ya dini?

Pili,Kuomba Serikali ifanye sio vibaya maana ni ombi.

===
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amekemea ufisadi, akihimiza jamii kulinda maadili, umoja na mshikamano, huku akiwaomba viongozi wa Serikali na wadau kusaidia upatikanaji wa darubini ya kukusanya taarifa za mwandamo wa mwezi ili kumarisha uhakika wa taarifa.

View attachment 2596212

Mwezi mtukufu wa Ramadhani ni kipindi ambacho waumini wa Kislamu duniani hufunga kwa siku 30 kabla ya kusherehekea siku hiyo kupitia taarifa rasmi va mwandamo wa mwezi huo.

Hata hivyo, kabla ya kusherehekea, kifaa hicho (moon sighting machine) ndio hutumika kupata uhakika wa mwandamo wa mwezi huo kimani ili kuondoa utata au mabishano miongoni mwa waumini hao.

Sheikh Zubeir amesema hayo leo Jumanne Aprili 22, 2023 katika swala ya Eid EI- Fitr iliyofanyika kitaifa katika msikiti wa Mfalme Mohamed VI uliopo Wilaya ya Kinondoni, jijini hapa, ikihudhuriwa na Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, mabalozi, mawaziri na watu mashuhuri.

Chanzo: Mwananchi
Nimeacha kusoma uliposema leo Jumanne....
 
Huyu mufti naye ni kilaza tu kama walivyo masada wengi wa chama cha mambuzi
 
Hiyo darubini inauzwa bilioni ngapi hata BKWATA na wadau wao wa maendeleo wameshindwa Kununua?
 
Swali, Je ni jukumu la Serikali kufanya masuala ya dini?

Pili,Kuomba Serikali ifanye sio vibaya maana ni ombi.

===
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amekemea ufisadi, akihimiza jamii kulinda maadili, umoja na mshikamano, huku akiwaomba viongozi wa Serikali na wadau kusaidia upatikanaji wa darubini ya kukusanya taarifa za mwandamo wa mwezi ili kumarisha uhakika wa taarifa.

View attachment 2596212

Mwezi mtukufu wa Ramadhani ni kipindi ambacho waumini wa Kislamu duniani hufunga kwa siku 30 kabla ya kusherehekea siku hiyo kupitia taarifa rasmi va mwandamo wa mwezi huo.

Hata hivyo, kabla ya kusherehekea, kifaa hicho (moon sighting machine) ndio hutumika kupata uhakika wa mwandamo wa mwezi huo kimani ili kuondoa utata au mabishano miongoni mwa waumini hao.

Sheikh Zubeir amesema hayo leo Jumanne Aprili 22, 2023 katika swala ya Eid EI- Fitr iliyofanyika kitaifa katika msikiti wa Mfalme Mohamed VI uliopo Wilaya ya Kinondoni, jijini hapa, ikihudhuriwa na Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, mabalozi, mawaziri na watu mashuhuri.

Chanzo: Mwananchi
🤣🤣🤣🤣Si wajichangishe huko misikitini
 
Waislamu ndo madoni wa TZ wanashindwaje Kununua kitu kidogo kama hicho.

MO,GSM, BAKRESA, MSOGA,.MWIGULU etc etc
Kuomba ni tabia ya kimazoea inayosababishwa na vitu vingi - athari za kisaikolojia, na makuzi na malezi ya mwombaji

Ila for sure Mufti si mtu wa kuomba vitu vidogo vidogo namna hii
 
Ni sahihi lkn kanisa halikuomba kujengewa - RC akiomba msaada wa tzs 20M serikalini lzm nihoji uwezo wa kifkra wa Cardinal Pengo na wasaidizi
Kule Geita Serikal iliahidi kuchangia gharama za kununua kile kifaa cha tsh 20 milioni kilichovunjwavunjwa na yule mvamizi ndani ya Kanisa Katoliki la mitume!
 
Sioni ubaya kwenye ombi la mufti. Chombo hicho kinaweza kununuliwa na Serikali. Na kikawa chini ya mamlaka ya hali ya hewa. Na waislam wakakitumia kwa mahitaji yao ya kiimani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaa!!!
 
Yaani serikali ishiriki ushirikina wa kuabudu mwezi?!, kuweni na adabu kwa waTz wenzenu! Hee!
 
Back
Top Bottom