Mimi sina Mungu wala mtume kwenye hayo nitoe kabisa.Kwa Daudi huwa tunamsema kwenye huo uhuni licha ya kwamba aliaehibiwa, ila huyo mtume wenu huwa hamtaki atajwe kwenye hayo mauchafu yake, yaani huwa mnamuona kama mungu mtu, mtimilifu, mkamilifu, malaika yaani akitajwa huwa hata mnajilipua mabomu.
Hata hawa walikuwa Islamic state wa IsraelWell kama huoni shida katika hili basi kuna tatizo kwenye ufahamu wako,huyu mtu ni mfano wa kuigwa kwa vizazi vyote.
Ndiyo maana hata Islamic state walifanya hivyo kule Syria na Iraq. Waliteka wanawake wa kiyazid, wakristo nk.
Una mwambia nani sasa wakati maelekezo yalikuwa ya Mungu wao? Makosa kakosea Bwana wao alie waelekeza sio wao, kwahiyo wewe tuambie huyo Mungu wao kipindi hiko alikuwa na wazimu?Hayo ni makosa kabisa. Hayakupaswa kuwa hivyo ndo maana kwa sasa hawafanyi tena hivyo.KUUA NI DHAMBI KABISA. NI USHETANI, UNYAMA. KWA SASA NI UPENDO TU. HAKUNA KUUANA UANA
We bwege kweli.... Mimi Muddy hanihusu na hahusiki na mimi hata kidogo. Anahusika na wewe na ndugu zenu majini. Yeye mwenyewe hajui siku ya kihama atafanywa nini. Ukinichokoza ntaanzisha uzi about makando kando yake... Meeeeeeeengi.Naona unawashwa sana na Mtume wetu. Siku utakapoondoka hapa duniani dakika sifuri utayakumbuka haya maupupu yako unayoyatuma humu. Hii ni dhambi unayojitengenezea ambayo itaendelea kukuandama hata utakapokufa.
Kila la heri katika juhudi yako ya safari ya kuelekea Jahanamu
Tuwe wakweli hapo amefanya udhalilishaji namna gani wakati amenukuu hadith kama ilivyo.@Moderator nyuzi kama hizi hamuezi kuziguza kwasbb zinadhalilisha Uisalamu zingekua zina gusa RC mnafuta au kuzihamisha mara moja, acheni kua na upande wa kidini tunawategemea muwe neutral......ni aibu uZi kama hu kua hapo ulipo
Hayo yalikuwa kwa wayahudi miaka hiyo yakaja yakabatilishwa kuwa kwa sasa si wakati wake tena. Watu wapendane waheshimiane. KUUA KWA SASA NI DHAMBI. tena unaua na kupora mali, wake n.k. tamaa tu ya ngono na mali.Una mwambia nani sasa wakati maelekezo yalikuwa ya Mungu wao? Makosa kakosea Bwana wao alie waelekeza sio wao, kwahiyo wewe tuambie huyo Mungu wao kipindi hiko alikuwa na wazimu?
Eeh kumbe ni mtetezi wake? 😹😹Mtoa mada mtetezi wenu ameshazikwa huko vatican kwa sasa kaa kwa kutulia subiri labda Papa mpya atakuwa wa mrengo wenu kama marehemu Francis.
Ugua pole ila maumivu yakidhidi njia bora ni kunywa sumu ufe.
Huu sio uhuni ni utaratibu hapo palikuwa uwanja wa vita ni kuua au kuuliwa sio saluni hapo , ukifa hakuna lawama , vinginevyo usijaribu kuanzisha vita ambayo huwezi kushindaKwa Daudi huwa tunamsema kwenye huo uhuni licha ya kwamba aliaehibiwa, ila huyo mtume wenu huwa hamtaki atajwe kwenye hayo mauchafu yake, yaani huwa mnamuona kama mungu mtu, mtimilifu, mkamilifu, malaika yaani akitajwa huwa hata mnajilipua mabomu.
Nimekuuliza swali huyo Mungu wa wayahudi alikuwa kichaa wakati huo mpaka akawapa taifa lake teule maelekezo haya?Hayo yalikuwa kwa wayahudi miaka hiyo yakaja yakabatilishwa kuwa kwa sasa si wakati wake tena. Watu wapendane waheshimiane. KUUA KWA SASA NI DHAMBI. tena unaua na kupora mali, wake n.k. tamaa tu ya ngono na mali.
Umeona wakristo wakiyafanya haya leo? Waislamu mpaka leo wanaendeleza sunna za Mohamed kwa kuoa watoto,kuchukua wanawake mateka (Syria, Iraq) nk.Hata hawa walikuwa Islamic state wa Israel
kUMB LA TORATI 20:10-13
Utakapokwenda vitani kupigana juu ya adui zako, na Bwana, Mungu wako, awatiapo mikononi mwako, nawe uwachukuapo mateka,
ukaona kati ya mateka mwanamke mzuri, ukafanya tamaa kwake, ukawaza kumtwaa kuwa mkeo;
ndipo umchukue kwenu nyumbani kwako, naye atanyoa kichwa, akate na kucha;
avue na mavazi ya uteka wake akae nyumbani mwako, awakalie matanga babaye na mamaye mwezi mzima, kisha uingie kwake uwe mumewe, naye awe mkeo.
Mkuu hizi sheria umezipata wapi?Kaka Sheria ni hizi hapa ... Kama nnaweza kuzikumbuka vizuri ...
1. Usiue
2. Usiibe
3. Usizini
3. Usishuhudue uongo
4. Ikumbuke siku ya sabato uitakase.
5. Mheshim baba na mama.
6. Usitaman Cha ndugu yako
7. Usilitaje jina la bwana MUNGU wako bure.
8. Usiabudu miungu Mingine Ila yeye MUNGU muumba wa mbingu na nchi.
9. Mpende jirani Kama uioendavyo nafasi yako.
10.
Ya kumi naisahau. Ila mze hauta iona mbingu kwakuzikashf dini za watu Bali tu kwakuzishoka amri hizi kumi.
Mkuu hizi sheria umezipata wapi?
asante kwa kunielewa ila siku nyingine uzipange vizuriKichwaniii. Ukisoma kwenye bible zimepangwa na kuandika vizuri ... Acha uviv kaka kasome kwenye bible.
Uso quote zang.
Wamefanyaa wayahudi wenye kitabu chao na Mungu wao Yehovah, mkristo ndio nani zaidi ya mdandiaji? wayahudi walifanya na Mungu wao akawabariki kwa kazi nzuri, wewe nani kumpinga Yehova?Umeona wakristo wakiyafanya haya leo? Waislamu mpaka leo wanaendeleza sunna za Mohamed kwa kuoa watoto,kuchukua wanawake mateka (Syria, Iraq) nk.
Kwenye Bible hizo ni story za nyakati hizo,hatuziishi leo na siyo hivyo tu hata manabii wa Israel hawakujimilikisha mateka wa vita kama wale zao.
Duh,Naendelea kutoa masomo kuhusiana na Muhamad na Quran ili watu waufahamu Uisilamu. Watu wengi wakiwemo waisilamu wenyewe wamekuwa hawamfahamu Muhamad na hawaufahamu Uisilamu ulivyoanzishwa. Hawamfahamu vizuri Muhamad na matendo yake ambayo ndo msingi wa Uisilamu.
Tunaenda kwa maandiko hakuna kutukana dini ya watu .lengo watu wajifunze uisilamu kama ambavyo mimi nlijifunza nilipokuwa kafir. Na baada ya kuufahamu nimekafirika zaidi na kuwafahamu ndugu zangu wa Kiisilamu kwa kina. Waliojenga misikiti kuutia nguvu ukafir.
Sahih al-Bukhari
Imepokelewa kutoka kwa Anas bin Malik:
(Sahih al-Bukhari, Kitabu cha Ndoa, Hadith No. 4211)
Tunarudi pale pale hizi habari za wayahudi zunamsafisha vipi Mohamed?Yeye ambaye ni mfano wa kuigwa kwa vizazi vyote!!!Wamefanyaa wayahudi wenye kitabu chao na Mungu wao Yehovah, mkristo ndio nani zaidi ya mdandiaji? wayahudi walifanya na Mungu wao akawabariki kwa kazi nzuri, wewe nani kumpinga Yehova?
Yehovah mwenyewe anapenda mauaji itakuwa hii kuoa mateka, kama anatoa maelekezo mpaka ya vitoto vichanga Kuuliwa, mkija mje kwa adabu
Waueni kabisa, mzee, na kijana, na msichana, na watoto wachanga, na wanawake; lakini msimkaribie mtu ye yote mwenye hiyo alama; tena anzeni katika patakatifu pangu. Basi, wakaanza kwa wazee waliokuwa mbele ya nyumba.
Ezekieli 9:6
Nani kakwambia ni uchafu huo kuua mtu vitani? au kuoa mateka? hizi ni akili zako wewe hili jambo halina tatizo lolote kwenye medani ya kivita, kwahiyo hakuna cha kusafisha kwasababu hakuna kilicho chafuka, ni wewe elimu yako ndogo ya maandiko tu , yaani Yehovah atoe ruksa wewe unaita uchafu your not serious weweTunarudi pale pale hizi habari za wayahudi zunamsafisha vipi Mohamed?Yeye ambaye ni mfano wa kuigwa kwa vizazi vyote!!!
Hapo sasa waulize Wayahudi. Maana hayo yalifanywa na Wayahudi kwa maelekezo maalum. Mimi sihusiki huko na kwa sasa siyafanyiNimekuuliza swali huyo Mungu wa wayahudi alikuwa kichaa wakati huo mpaka akawapa taifa lake teule maelekezo haya?
Hilo sheikh ni agano la kale ambalo kwa sasa wakristo hali apply kwao.Wamefanyaa wayahudi wenye kitabu chao na Mungu wao Yehovah, mkristo ndio nani zaidi ya mdandiaji? wayahudi walifanya na Mungu wao akawabariki kwa kazi nzuri, wewe nani kumpinga Yehova?
Yehovah mwenyewe anapenda mauaji itakuwa hii kuoa mateka, kama anatoa maelekezo mpaka ya vitoto vichanga Kuuliwa, mkija mje kwa adabu
Waueni kabisa, mzee, na kijana, na msichana, na watoto wachanga, na wanawake; lakini msimkaribie mtu ye yote mwenye hiyo alama; tena anzeni katika patakatifu pangu. Basi, wakaanza kwa wazee waliokuwa mbele ya nyumba.
Ezekieli 9:6