ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 11,016
- 9,722
Wakristo ni watu wa mwishoni biblia iko wazi Mungu alijitokeza kwa wayahudi kwanza ndio akatoa maelezo kadha wa kadha, ndio nakuuliza sasa yule Mungu wa Agano la kale Yehovah alikuwa kichaa?Hilo sheikh ni agano la kale ambalo kwa sasa wakristo hali apply kwao.
Yalifanywa na wayahudi kwa maaelekezo ya Yehovah maana ndio alijatambulisha kuwa ndio Mungu wao, swali langu wakati ule Yehovah alikuwa kavuta sigara bwege?Hapo sasa waulize Wayahudi. Maana hayo yalifanywa na Wayahudi kwa maelekezo maalum. Mimi sihusiki huko na kwa sasa siyafanyi
Mtoa mada utia shaka kidogo naona ulichotuhumu na ulicholea ushahidi akitoshi kujenga hoja...Naendelea kutoa masomo kuhusiana na Muhamad na Quran ili watu waufahamu Uisilamu. Watu wengi wakiwemo waisilamu wenyewe wamekuwa hawamfahamu Muhamad na hawaufahamu Uisilamu ulivyoanzishwa. Hawamfahamu vizuri Muhamad na matendo yake ambayo ndo msingi wa Uisilamu.
Tunaenda kwa maandiko hakuna kutukana dini ya watu .lengo watu wajifunze uisilamu kama ambavyo mimi nlijifunza nilipokuwa kafir. Na baada ya kuufahamu nimekafirika zaidi na kuwafahamu ndugu zangu wa Kiisilamu kwa kina. Waliojenga misikiti kuutia nguvu ukafir.
Sahih al-Bukhari
Imepokelewa kutoka kwa Anas bin Malik:
(Sahih al-Bukhari, Kitabu cha Ndoa, Hadith No. 4211)
Sasa waulize Wayahudi au soma Biblia. Maana Wakristo hawaishi tena maisha hayo ya kukatana shingo ni dhambi, kupigana mawe au kukatana mikono ni uhayawani kwa sasa.Wakristo ni watu wa mwishoni biblia iko wazi Mungu alijitokeza kwa wayahudi kwanza ndio akatoa maelezo kadha wa kadha, ndio nakuuliza sasa yule Mungu wa Agano la kale Yehovah alikuwa kichaa?
Nimetuhumu nini?Mtoa mada utia shaka kidogo naona ulichotuhumu na ulicholea ushahidi akitoshi kujenga hoja...
mauwaji ...ndoaNimetuhumu nini?
Hao? Je hakuwaua wazazi wa huyo binti na mumewe?mauwaji ...ndoa
@!Maxence Melo tunaomba fair play kwa wote kwanini nyuzi zinazo dhalilisha uislamu zinaachwa licha yakua ni uongo, ila zinavo gusa dhehebu la RC zinafutwa haraka jana nilileta Uzi na picha yake kuhusu mazisahi ya Papa wakati wana vuta mnyorororo jamba ambao ni kweli lilifanywa niliomba tu wenZetu watufafanulie tamaduni gani hiyo, walivo shindwa mkafuta huo uzi, sie waislamu tuna kosa gani hapa jf.
Nakazia kwa darsa la huyu mwalimSio uongo,hii ni habari ya kweli kabisa. Baada ya kuuawa mume (Kijana) wa safiya ambaye Mohamed alitoa amri ateswe mpaka aseme walikoficha fedha.
Safiya alikuwa binti mke wa Chief,mmoja ya askari wa Mohamed(Dihya) alimchukua kama mateka wake wa vita. Habari ilimfikia Mohamed kwamba Dihya amepata mwanamke mrembo kuliko wote.
Mohamed akatoa amri Dihya amlete Safiya ,kisha akamwambia ajichagulie katika watumwa wanawake wawili. Yeye akabakia na safiya,akamwoa bila hata kumtolea mahari .
Soma zaidi hapa,
Ibn Hisham, Conduct of the Messenger of Allah 764-5)
Safiya later said: “I did not hate anyone ass much as the Messenger of God, he killed my father and my husband.” A soldier by the name of Abu Ayyub had remained on guard in front of the tent, sword in hand, during the whole night when Mohammed was violating Safiya.
(At-Tabarani, Volume 24, p.67)
In the early morning, the Prophet asked him why he had remained in front of the tent. Abu Ayyub said, “I was afraid for you with this woman, because you killed her father, her husband, and her people, and until recently she was in disbelief, I was afraid for you .”
(Ibn Ishaq: sirat rasul allah – The life of Muhammad, p.517)
Imagine! How can you have sex with a woman when you have just killed her husband, her brother and her father? How could he have sex with her when she hated him with all her heart. Is not that a rape? Do not you call it rape, when you force someone who hates you to have a relationship?
View: https://youtu.be/kXSu00a_fno?si=m-pu0VYzitqvNpri
Imeandikwa wapi daudi alimuua mume wa Abigail?Ni kama kisa cha daudi tu alivyo muua mume wa abigaili nakumwoa abigaili , au alivyo muua uria mhiti na kujichukulia bathsheba.
sasa hapo shida ni mahari kuwa tende na samli ?? na suala la kuuana huwa vita haina macho...Hao? Je hakuwaua wazazi wa huyo binti na mumewe?
Je hakumuoa kwa tende na samli?
Au husomi Quran?
Soma biblia yako yote utakutaImeandikwa wapi daudi alimuua mume wa Abigail?
Waislam ni malastiboni, muangalie huyu analia humu jf kisa dini😂@!Maxence Melo tunaomba fair play kwa wote kwanini nyuzi zinazo dhalilisha uislamu zinaachwa licha yakua ni uongo, ila zinavo gusa dhehebu la RC zinafutwa haraka jana nilileta Uzi na picha yake kuhusu mazisahi ya Papa wakati wana vuta mnyorororo jamba ambao ni kweli lilifanywa niliomba tu wenZetu watufafanulie tamaduni gani hiyo, walivo shindwa mkafuta huo uzi, sie waislamu tuna kosa gani hapa jf.
Ni ulize kitu ambacho kiko wazi na Mungu wao Yehova aliwaruhusu, wewe tuambie Yehovah alikuwa kalewa alipokuwa anatoa hayo maelezo au wewe humtambui Yehovah kama Mungu? haya jikaange kwa mafuta yako sasaSasa waulize Wayahudi au soma Biblia. Maana Wakristo hawaishi tena maisha hayo ya kukatana shingo ni dhambi, kupigana mawe au kukatana mikono ni uhayawani kwa sasa.
Mbona sijasema kuna shidasasa hapo shida ni mahari kuwa tende na samli ?? na suala la kuuana huwa vita haina macho...
Waulize wayahudi.Ni ulize kitu ambacho kiko wazi na Mungu wao Yehova aliwaruhusu, wewe tuambie Yehovah alikuwa kalewa alipokuwa anatoa hayo maelezo au wewe humtambui Yehovah kama Mungu? haya jikaange kwa mafuta yako sasa
Yehovah unamkubali kama Mungu au unamkataa?Waulize wayahudi.
Kwa hiyo unataka uolewe wewe kwa kuona wivu dume kuchukuwa mke mwingineNaendelea kutoa masomo kuhusiana na Muhamad na Quran ili watu waufahamu Uisilamu. Watu wengi wakiwemo waisilamu wenyewe wamekuwa hawamfahamu Muhamad na hawaufahamu Uisilamu ulivyoanzishwa. Hawamfahamu vizuri Muhamad na matendo yake ambayo ndo msingi wa Uisilamu.
Tunaenda kwa maandiko hakuna kutukana dini ya watu .lengo watu wajifunze uisilamu kama ambavyo mimi nlijifunza nilipokuwa kafir. Na baada ya kuufahamu nimekafirika zaidi na kuwafahamu ndugu zangu wa Kiisilamu kwa kina. Waliojenga misikiti kuutia nguvu ukafir.
Sahih al-Bukhari
Imepokelewa kutoka kwa Anas bin Malik:
(Sahih al-Bukhari, Kitabu cha Ndoa, Hadith No. 4211)