Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
Akikujibu niiteWakristo ni watu wa mwishoni biblia iko wazi Mungu alijitokeza kwa wayahudi kwanza ndio akatoa maelezo kadha wa kadha, ndio nakuuliza sasa yule Mungu wa Agano la kale Yehovah alikuwa kichaa?
Tulia wewee@!Maxence Melo tunaomba fair play kwa wote kwanini nyuzi zinazo dhalilisha uislamu zinaachwa licha yakua ni uongo, ila zinavo gusa dhehebu la RC zinafutwa haraka jana nilileta Uzi na picha yake kuhusu mazisahi ya Papa wakati wana vuta mnyorororo jamba ambao ni kweli lilifanywa niliomba tu wenZetu watufafanulie tamaduni gani hiyo, walivo shindwa mkafuta huo uzi, sie waislamu tuna kosa gani hapa jf.
We umekurupukaSoma biblia yako yote utakuta
Muhamad aliua na kuoa watoto wadogo. Uzi unahusu mauaji,uporaji wa MuddyYehovah unamkubali kama Mungu au unamkataa?
Ananiambia nikawaulize wayahudi ,na yeye akileta hoja za Quran tutamwambia akamuulize mtume kaburini, anataka ugomvi wa mawe wakati anaishi nyumba ya ViooAkikujibu niite
Wapi nimekurupuka?We umekurupuka
Ndio maana nilikuonya , elimu yako ya maandiko ni ndogo sana, tafuta mtu mwenye akili timamu aje tuzungumze kwa hoja so weweMuhamad aliua na kuoa watoto wadogo. Uzi unahusu mauaji,uporaji wa Muddy
Mi ugomvi ndo nautaka. Tupopoane hasa. Unataka nikamuulize Muddy? Sawa mi wala sina tatizo na hilo.Ananiambia nikawaulize wayahudi ,na yeye akileta hoja za Quran tutamwambia akamuulize mtume kaburini, anataka ugomvi wa mawe wakati anaishi nyumba ya Vioo
Kama huwezi kujibu swali linalo muhusu Yehovah kwa Mudy unatupigia kelele tuMi ugomvi ndo nautaka. Tupopoane hasa. Unataka nikamuulize Muddy? Sawa mi wala sina tatizo na hilo.
Huyu anaona wivu dume kuoa.Ataka aolewe yeye.mauwaji ...ndoa
Huyu ana hamu ya kuolewa.Hajui kama Mtume pia alipewa mke na mfalme wa kiyahudi akiitwa Mariya Qibtiya.Aliwaoa wayahudi.Kama huwezi kujibu swali linalo muhusu Yehovah kwa Mudy unatupigia kelele tu
Selemani alioa wanawake 700, yeye wivu wake upo kwa mtume tuHuyu ana hamu ya kuolewa.Hajui kama Mtume pia alipewa mke na mfalme wa kiyahudi akiitwa Mariya Qibtiya.Aliwaoa wayahudi.
Uzi unahusu Muddy au Mo.Kama huwezi kujibu swali linalo muhusu Yehovah kwa Mudy unatupigia kelele tu
Mudy mwengine huyu hapa anaitwa Yehovah alituma watu wake kuua watu , kuanzia wazee mpaka watoto wanao nyonya, unaswali jingine?Uzi unahusu Muddy au Mo.
Wapi nimekurupuka?
Wapi nimekurupuka?
Huu ndio.ukweli@!Maxence Melo tunaomba fair play kwa wote kwanini nyuzi zinazo dhalilisha uislamu zinaachwa licha yakua ni uongo, ila zinavo gusa dhehebu la RC zinafutwa haraka jana nilileta Uzi na picha yake kuhusu mazisahi ya Papa wakati wana vuta mnyorororo jamba ambao ni kweli lilifanywa niliomba tu wenZetu watufafanulie tamaduni gani hiyo, walivo shindwa mkafuta huo uzi, sie waislamu tuna kosa gani hapa jf.
Mtume wa Mwenyezi Mungu alichukua Safiya (bint Huyayy) kama mke wake. Aliwapa watu karamu ya harusi ambapo hakutoa chochote isipokuwa tende na samli (mafuta ya wanyama).”Naendelea kutoa masomo kuhusiana na Muhamad na Quran ili watu waufahamu Uisilamu. Watu wengi wakiwemo waisilamu wenyewe wamekuwa hawamfahamu Muhamad na hawaufahamu Uisilamu ulivyoanzishwa. Hawamfahamu vizuri Muhamad na matendo yake ambayo ndo msingi wa Uisilamu.
Tunaenda kwa maandiko hakuna kutukana dini ya watu .lengo watu wajifunze uisilamu kama ambavyo mimi nlijifunza nilipokuwa kafir. Na baada ya kuufahamu nimekafirika zaidi na kuwafahamu ndugu zangu wa Kiisilamu kwa kina. Waliojenga misikiti kuutia nguvu ukafir.
Sahih al-Bukhari
Imepokelewa kutoka kwa Anas bin Malik:
(Sahih al-Bukhari, Kitabu cha Ndoa, Hadith No. 4211)
Muddy ni Muddy.Mudy mwengine huyu hapa anaitwa Yehovah alituma watu wake kuua watu , kuanzia wazee mpaka watoto wanao nyonya, unaswali jingine?
Waueni kabisa, mzee, na kijana, na msichana, na watoto wachanga, na wanawake; lakini msimkaribie mtu ye yote mwenye hiyo alama; tena anzeni katika patakatifu pangu. Basi, wakaanza kwa wazee waliokuwa mbele ya nyumba.
Ezekieli 9:6