DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Nyie vijana wa siku hizi wabishi sana. Haya mambo hukatazwi kwenda hospitali ila inabidi uangalie response ya treatment options zako, Dunia ishakuwa ya hovyo hii, imejaa watu wasio na utu hata kidogo. Qadr zipo ila jifunzeni kujipambania. Huyo dada bila hata kupepesa macho, kapitia aliyoyapitia sababu ya ushirikina.
Ni sahihi kabisa.Ila hata huyo aliyefanya hivyo, Mwisho wake utakuja kuwa mbaya sana. Malipo ni hapa hapa duniani, kule tunaenda kupumzika tu.
Mmh hivi Kuna wahaya waisalamu kumbe!?Sisi katika dini yetu ya kiisalamu kuna kitu kinaitwa Qadari kuwa mwenye Mungu anatukadilia na kutupa mitihani tunayoweza kuibeba
Video vicen kwenye wimbo wa Oyoyo ya Bob JuniorAmefanya kazi zipi?
Mungu ampokee🙏🏾Muigizaji wa Filamu Nchini Tanzania Hawa almaarufu Carina amefariki Dunia akiwa Nchini India ambako alikuwa anapatiwa matibabu
Hawa alitarajiwa kurejea Leo Nchini Tanzania baada ya kufanyiwa upasuaji mkubwa kutibu tatizo la tumbo lililokuwa likimsumbua kwa muda mrefu.
Bashiru nilijua ni muislam ila pia nilishangaa kujua kuwa hee kumbe Kuna wahaya waisalamu,Sehemu au mkoa ambao Una wakazi kuanzia 200K laki mbili unawezaje kukosa waislamu .
Maswali mengine yanafikirisha Sana
Bukoba mjini Ambako Mimi nimezaliwa na kukulia .
Mwaka 2022 Rais Mama Samia alizindua Msikiti ambao umejengwa kwa gharama zaidi ya bil 8 pale Bukoba mjini .
Ukiachana na hilo kuna Viongozi wakubwa wengi tu wa hii nchi wanajulikana kuwa ni waislamu
Mfano aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani
Mh Khamis sued kagasheki - huyu ni muislamu
Naziri karamagi - huyu alikuwa waziri wa viwanda na aliwahi kuwa na Scandal ya Escrow
Bashiru Ally kakurwa - huyu alikuwa katibu Mkuu wa Ccm na baadae katibu Mkuu kiongozi.
Kwahiyo ukiuliza swali au kushangaa kuhusu kuwepo kwa wahaya waislamu unakuwa unatupatia mashaka Sana juu ya uwezo wako wa kufikiri na kuuliza maswali
Unavyomjibu vizuri mwenzako ndo anazidi kupanda, haha. PoleBashiru nilijua ni muislam ila pia nilishangaa kujua kuwa hee kumbe Kuna wahaya waisalamu,
Nimejiuliza hivyo maana katika kukua kwangu na kutembea baadhi ya mikoa ikiwemo kagera sijawahi kukutana na wahaya waislamu
Acheni ujuaji wa kipumbavu shit idiotMume wa mtu alimponza watu wakashitaki wanapopajua
Acha ujuaji wa kijingaMwendo ameumaliza ila vita hajapigana...
Sio kila mtu atapumzika kwa amani
Alisikika msemakweli mpenzi wa Mungu akiongea...
Haya mambo yasikie tu, kuna binti alitembea na mume wa mtu Mwanza, Mwenye mume alituma watu mara kadhaa wamuonye yule bint bahati mbaya bint hakuacha, kilichofuata binti baada ya muda binti akawa akiingia period damu inatoka nyingi mnoo mpaka inabidi apelekwe hospital kuongezewa, binti akatuma watu tena viongozi wa dini tena wa mahali anapoabudia kumuombea msamaha kwa yule mke wa mtu, mke akasema bahati mbaya sana uchawi huo huwa haurudi nyuma so imeisha hiyo ndiyo maana alimuomba sana binti aache kutembea na mumewe.Bahati mbaya uchawi hauna ushahidi ila sali sana na uombee yasikukute. Mungu atuweke mbali na michezo yeyote ya ushirikina.
Wapo tena mujahedeen kwelikweliMmh hivi Kuna wahaya waisalamu kumbe!?
Anapanda kivip tena?Unavyomjibu vizuri mwenzako ndo anazidi kupanda, haha. Pole
We jamaa wew, unakiongelea kifo kwa hisani ya nani?Death is peace.
Death comes when someone can no longer bear the pains and suffering.
Life is just a short break from not existing.
Aliyefanya tayari kajiingiza kwenye mtego wa kisasi , kinachokwenda kutokea ni piga nikupige.Ila hata huyo aliyefanya hivyo, Mwisho wake utakuja kuwa mbaya sana. Malipo ni hapa hapa duniani, kule tunaenda kupumzika tu.