Muimbaji na mpiga kinanda kutoka Creative Arts atangazwa best student UDSM. Gen Z elimu for fun!

Mkuu kama kuandika tu shida, unategemea usikatwe maksi
 
Hoja or your intention unayotaka ku convey Ni nini
 
Unaongea nn Sasa? Hapo UDSM course za FPA/creative arts mteremko tu.

Wabongoooooo TUPO VIZURI.
Mbongo ili aku - appreciate basi umeze moto.

Kumbe uchawi wa kupondana kazini umetoka mbaliii. No appreciation always "Mbona rahisi hata Mimi naweza"

#YNWA
 
Wabongoooooo TUPO VIZURI.
Mbongo ili aku - appreciate basi umeze moto.

Kumbe uchawi wa kupondana kazini umetoka mbaliii. No appreciation always "Mbona rahisi hata Mimi naweza"

#YNWA
 
Kuna wakali kwa category za degree programs na masomo huyo hamna kitu ubest wa kukataa kiuno na kuimba ni majukumu ya mademu zetu.
Wabongoooooo TUPO VIZURI.
Mbongo ili aku - appreciate basi umeze moto.

Kumbe uchawi wa kupondana kazini umetoka mbaliii. No appreciation always "Mbona rahisi hata Mimi naweza"

#YNWA
 
Huu mfumo waubadilishe kwa kweli msuli wa CoET ni balaa zito

Mzee wa Msoga na jopo lake walingalie hili kwa jicho la pili

Wabongoooooo TUPO VIZURI.
Mbongo ili aku - appreciate basi umeze moto.

Kumbe uchawi wa kupondana kazini umetoka mbaliii. No appreciation always "Mbona rahisi hata Mimi naweza"

#YNWA
 
Wabongoooooo TUPO VIZURI.
Mbongo ili aku - appreciate basi umeze moto.

Kumbe uchawi wa kupondana kazini umetoka mbaliii. No appreciation always "Mbona rahisi hata Mimi naweza"

TUPUNGUZE UCHAWI, SIO KILA MTU LAZIMA APITIE MATESO UNAYOPITIA.

#YNWA
 
Noma sana nazidi kuona watu wazima wajinga hapa jamii forum Kikwete anaendelea kuiua udsm
 
Yani best student anatoka kwenye course ambayo wanafunzi hawana hata notes hawana course work wala assignment? Udsm sio sehemu ambayo mtoto atasimama kimasomo Kikwete akiwa bado ni mkuu wa chuo. Kupiga gitaa na kinanda kukata viuno ndiyo best student NOMA SANA
 
Kwa bachelor of fine art haina masomo?
 
Kwa bachelor of fine art haina masomo?
Tofauti na masomo ya ku share na course nyingine hawana masomo ya maana yoyote embu niambie ni kipimo gani kinatumika kumpa mtu mpiga gitaa au kinanda GPA au kipimo ni ku sample nyimbo za wasanii na kuzirudia kuziimba? Wale hawana masomo ya theory wale wana practice usanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…