raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Anaweza kuwa anafundisha tu watu mziki jinsi ya kupiga ala inalipa vizuri tu tena kwa masaaDogo mwenyewe mwepesi tu. Sasa hiyo Masters in Music anataka kuwa nan?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaweza kuwa anafundisha tu watu mziki jinsi ya kupiga ala inalipa vizuri tu tena kwa masaaDogo mwenyewe mwepesi tu. Sasa hiyo Masters in Music anataka kuwa nan?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti waliotumwa na kijiji umenikumbusha mbali sana kuna wale majamaa huwa wanakesha kusoma hadi macho yanavimbawale waliotumwa na kijiji wazee wa kukariri sijui wana hali gani
Mkuu kama kuandika tu shida, unategemea usikatwe maksisi ndo apo ya kupendeza tu GPA inasoma mm huku nikijosea hata spelling nazungushiwa duara, inamaana kama ni swali moja niki misconcept tu mask 20 sina mpaka hapo A ndo kwaeri, sasa huyu kuimba imba na xaxphone si anasa izo, hakati kuna watu huku kwenda kula tu wanaona wanapoteza muda module za moto mbaya
Wasanii wengi hivi vitu hawajui wengi wanaimbia kipaji tuNaam, staff notation, solfa notation, treble na bass clef si mchezo.
Hoja or your intention unayotaka ku convey Ni niniGPA ya, arts! Na yanyewe ni ya kushangilia?
Tupo dunia ya artificial intelligence, wewe unaona arts ni kitu cha maana! Kama samia hata degree Hana, ila anapewa PHD, Mond anastahili zaidi ya hiyo degree na gpa zake,
Huyo, mwenye GPA, ngoja arudi kitaa, ataenda kuomba ajira kwa Mond
Wabongoooooo TUPO VIZURI.BA Music Kwa nn usipate A?
Unaongea nn Sasa? Hapo UDSM course za FPA/creative arts mteremko tu.
Wabongoooooo TUPO VIZURI.si ndo apo ya kupendeza tu GPA inasoma mm huku nikijosea hata spelling nazungushiwa duara, inamaana kama ni swali moja niki misconcept tu mask 20 sina mpaka hapo A ndo kwaeri, sasa huyu kuimba imba na xaxphone si anasa izo, hakati kuna watu huku kwenda kula tu wanaona wanapoteza muda module za moto mbaya
Punguza uchawi TAJIRIIIIDogo mwenyewe mwepesi tu. Sasa hiyo Masters in Music anataka kuwa nan?
Wabongoooooo TUPO VIZURI.Kuna wakali kwa category za degree programs na masomo huyo hamna kitu ubest wa kukataa kiuno na kuimba ni majukumu ya mademu zetu.
Huu mfumo waubadilishe kwa kweli msuli wa CoET ni balaa zito
Mzee wa Msoga na jopo lake walingalie hili kwa jicho la pili
GPA ya, arts! Na yanyewe ni ya kushangilia?
Tupo dunia ya artificial intelligence, wewe unaona arts ni kitu cha maana! Kama samia hata degree Hana, ila anapewa PHD, Mond anastahili zaidi ya hiyo degree na gpa zake,
Huyo, mwenye GPA, ngoja arudi kitaa, ataenda kuomba ajira kwa Mond
Unaeaongelea wale wazee wa kukariri madesa, halafu mwisho wa siku etu ndiyo wanaonekana wana akili nyingi.wale waliotumwa na kijiji wazee wa kukariri sijui wana hali gani
Yaahhh.....bure kabisa.Unaongea nn Sasa? Hapo UDSM course za FPA/creative arts mteremko tu.
Yani best student anatoka kwenye course ambayo wanafunzi hawana hata notes hawana course work wala assignment? Udsm sio sehemu ambayo mtoto atasimama kimasomo Kikwete akiwa bado ni mkuu wa chuo. Kupiga gitaa na kinanda kukata viuno ndiyo best student NOMA SANA
Tofauti na masomo ya ku share na course nyingine hawana masomo ya maana yoyote embu niambie ni kipimo gani kinatumika kumpa mtu mpiga gitaa au kinanda GPA au kipimo ni ku sample nyimbo za wasanii na kuzirudia kuziimba? Wale hawana masomo ya theory wale wana practice usaniiKwa bachelor of fine art haina masomo?