Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Ila tambua mwanamke ukisha olewa hauna maamuzi ya mwisho na uhuru unapotea. Sasa kama umeolewa huna mipaka unataka ujiamulie kila kitu. Umeoa au umeolewa. ? Mwanamke kama hamsikilizi mumewe hafai. Una point nzuri ila ijenge kwa pande zote lengo kujenga
 

Lakini na nyie kwanini kumzuia mwenzako asiende kwenye shoo kitu roho inapenda?

Kwanini mnataka kusikilizwa nyie tu, kwanini wake zenu hamuwasikilizi?
 
Kuwekewa vikwazo lazima. Yaani nioe mke afu eti nisimuwekeee vikwazi. Unaongea ujinga gani. Wewe ipo siku utakatwa masikio. Hivyo wewe ukiamua tu unaamka unaenda lala kwa dadako hata siku 3 humwambii mumeo. Mara unaenda kwenye viwanja humwambii mumeo aiseee kazi ipo
Kama umemuoa TEGEMEZI basi jua ni sehemu ya MKATABA WA NDOA KUMUHUDUMIA....

usitake kumwekea vikwazo baada ya kumwoa!!!!!

Umemchoka ni bora mkaachana...
 

Itabaki kuwa fumbo! Unakosa chakusema, walau tungekuwa na chanzo cha uhakika. Hasira si kitu kizuri, kama kuna kitu cha kulinda ni moyo.
 
Kiukweli ndoa isiwe utumwa si angeendae nae tu kwa shoo ,ukimuoa mtu hujanunua uhuru wake au vitu anavyopenda,badilikeni
Hujui ulisemalo.
Unapokuwa na mwenza na mko ndani lazima muwe na maamuzi ya pamoja.
Kwenye masuala kama haya ya starehe mume akikuzuia tulia. Na mke akikukatalia usitumie ubabe msikilize au mshawishi kwa upendo akubali.
Vinginevyo baki na familia.

Mume wako ni mlinzi wako, akihisi hatari yoyote na akakuzuia msikilize.

Kulazimisha kwenda kujirusha sio uungwana..
Hii haijakaa sawa
 
Huyu Dada hakuwa na Utii na Mme Wake, Hakuna watu ambao wanaumizwa na majibu ya Mwanamke kama Mwanaume.
.
Hatuwezi Jua baada ya Marehemu Kurudi Huko Alimjibu Nini Mwanaume Wake.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Midomo michafu ya wanawake ndio inawafanya waume wanawakimbia then wanaenda msumbua Mwamposa awarejeshe
 
Kama muhusika amefariki,na mwingine hajulikani nyie mmejuaje kuwa alimkataza??
labda waliwapigia simu family friends kwenye mabishano. labda kabla ya kujiua alituma ujumbe. hatujaambiwa kama walikuwa na familia na ilisikia mgogoro.
 
Siku nyingine usichelewe tena kurudi.
 
Rip Marehemu sasa unaua na wewe vyote unakosa unaishia gerezan ama kujiua hapo hakuna faida.
Hawa masista du kuwaoa ni kujitaftia kufa mapema kwa stress na ugonjwa wa moyo au kuishi umenuna.
Mke asipokutii achana naye tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…