Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila tambua mwanamke ukisha olewa hauna maamuzi ya mwisho na uhuru unapotea. Sasa kama umeolewa huna mipaka unataka ujiamulie kila kitu. Umeoa au umeolewa. ? Mwanamke kama hamsikilizi mumewe hafai. Una point nzuri ila ijenge kwa pande zote lengo kujengaMmmmmhhhhhhh mjadala inaonekana wanaume mnavutia upande wenu....
Hakuna JUSTIFICATION WHATEVER ya kukufanya utoe uhai wa mwenzako...
Mrudishe ulikomtoa mtoto wa watu maana uliupende Uzuri wake hukuangalia TABIA wala majibu yake na ulikubaliana Naye wakati wa uchumba LEO kaingia kwenye NDOA UNALETA WIVU NA KUMWEKEA MIPAKA!!!!! Utakuwa na akili sawasawa????
Ukimkuta binti wa watu anapenda kwenda NIGHT CLUBS na ukamwoa katika mazingira hayo hayo BASI JUA UKIINGIA KWENYE NDOA NA UKATAKA ABADILIKE BASI NI MKATABA MWINGINE NA MNATAKIWA KUKAA MEZANI......
Yaani kuna watu wakati wanatafuta wachumba wanaongozwa na tamaa na hasa kile kitu katikati ya mapaja yao, wakishaoa ndiyo wanaanza kuweka masharti......
Kwakweli kama atanusurika ANYONGWE HADI KUFA na kutuulia mdada mwenzetu...
Kupata mwanamke anaekusikiliza na kukuheshimu kama baba yake ni baraka kubwa sana ambayo wengi wanaikosa katika kizazi hiki, Asante Mungu.
Muda mwingine sisi wanaume tunashindwa kusimamia uanaume wetu, hivi Mungu kakujalia Pesa na afya ya nini kung'ang'ania mwanamke anaekuumiza akili?? Najua mapenzi yanauma na pengine labda kuna watu wapo humu jf muda huu wanapitia fukuto la mahusiano, nawashauri mfanye maamzi ya kiume kabla hamjachelewa.
"Every woman in any given reletionship, is taken as the man's project".
Project imekushinda, achia wengine wahangaike nayo kwanini uumie?
NakaziaPisi kali haiwi yako pekeyako
Huna kazi za kufanya uambatane na mkeo kwenye show za kipumbavu?Kwanini wasingeenda wote mwanaume tumeshaambiwa tuishi nao wanawake kwa akili na sio mabavu, kwanini hakumshauri bibie waende wote shida ipo wapi kuna watu ni hasara sana kwa taifa
Inawezekana but unaweza kupata abc chache ukiwa makiniWanawake huwa wanaficha sana hayo mambo kabla hajaolewa.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Swali la msingi Sana hili waTZ tuache kutumia vichwa vya habari kutunga story huna uhakika nyamazaKama muhusika amefariki,na mwingine hajulikani nyie mmejuaje kuwa alimkataza??
Kama umemuoa TEGEMEZI basi jua ni sehemu ya MKATABA WA NDOA KUMUHUDUMIA....
usitake kumwekea vikwazo baada ya kumwoa!!!!!
Umemchoka ni bora mkaachana...
Mmmmmhhhhhhh mjadala inaonekana wanaume mnavutia upande wenu....
Hakuna JUSTIFICATION WHATEVER ya kukufanya utoe uhai wa mwenzako...
Mrudishe ulikomtoa mtoto wa watu maana uliupende Uzuri wake hukuangalia TABIA wala majibu yake na ulikubaliana Naye wakati wa uchumba LEO kaingia kwenye NDOA UNALETA WIVU NA KUMWEKEA MIPAKA!!!!! Utakuwa na akili sawasawa????
Ukimkuta binti wa watu anapenda kwenda NIGHT CLUBS na ukamwoa katika mazingira hayo hayo BASI JUA UKIINGIA KWENYE NDOA NA UKATAKA ABADILIKE BASI NI MKATABA MWINGINE NA MNATAKIWA KUKAA MEZANI......
Yaani kuna watu wakati wanatafuta wachumba wanaongozwa na tamaa na hasa kile kitu katikati ya mapaja yao, wakishaoa ndiyo wanaanza kuweka masharti......
Kwakweli kama atanusurika ANYONGWE HADI KUFA na kutuulia mdada mwenzetu...
Hujui ulisemalo.Kiukweli ndoa isiwe utumwa si angeendae nae tu kwa shoo ,ukimuoa mtu hujanunua uhuru wake au vitu anavyopenda,badilikeni
Huyu Dada hakuwa na Utii na Mme Wake, Hakuna watu ambao wanaumizwa na majibu ya Mwanamke kama Mwanaume.
.
Hatuwezi Jua baada ya Marehemu Kurudi Huko Alimjibu Nini Mwanaume Wake.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
labda waliwapigia simu family friends kwenye mabishano. labda kabla ya kujiua alituma ujumbe. hatujaambiwa kama walikuwa na familia na ilisikia mgogoro.Kama muhusika amefariki,na mwingine hajulikani nyie mmejuaje kuwa alimkataza??
Siku nyingine usichelewe tena kurudi.Juzi nimechelewa Kurudi, waifu ananambia Ww endelea Ipo Siku Nitakupa sumu Ili Hao wanawake WaKo wakome. Niko kwenye process ya kumtema Ingawa aliomba msamaha Asubuhi.
.
Huyu Mwanamke ninaishi nae under presumption of Marriage
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Swali fikirishi sana.Kama muhusika amefariki,na mwingine hajulikani nyie mmejuaje kuwa alimkataza??
Ujinga kiwango cha SGR.Sasa wee mwenyewe umemuokota demu kwenye bata leo unataka asiende kwenye bata...huo ni ujinga.
Rip Marehemu sasa unaua na wewe vyote unakosa unaishia gerezan ama kujiua hapo hakuna faida.Wakuu Story Ni Kwamba Huyu jamaa kwenye picha amemua huyo mkewe usiku wa kuamkia leo huko Mwanza baada ya kumkataza mkewe asiende kwenye show ya Mondi.
Baada ya Kumwambia Asiende Kwenye hyo Show ya Nasib Abdul Mke akakaidi akaenda.
Jamaa amempiga risasi saba za kichwa na inasemekana na yeye kajiua japo maiti yake haijaonekana. Ila na Nyie Wanawake Mpunguze Visirani.
Inaonyesha jinsi Huyu Marehemu Alikuwa mkaidi na hamsikilizi Mme Wake.
Mme Kakuambia sitaki Uende Pahala Fulani then ww unakaidi ni Nini Kama Sio Dharau na Kiburi?
By the way anything else Happen for a reason.
RIP Binti MzuriView attachment 2243573View attachment 2243574
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kumbe muongozo tayari tumeshapewa ila sasa vijana wabishi kweli kweli