Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Ila alikuwa na nafasi ya kumwacha kuliko kuumuua.
.
Ila Kuna wanawake wazuri na waaminifu pia na si wote wabaya pia waaminifu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kaamua kumalizana na tatizo lake. Kiukweli kila mwanaume angeamua kuua mwanamke kwasababu ya dharau, kiburi, jeuri, kejeli, ununda, ubabe nk, wanawake wote wangeisha duniani.
Kuna wakati huwafikiria wanawake kama viumbe waliokosewa ktk uumbaji na hakuna namna ya kuwarekebisha.
 
Jamani tuangalie na wanawake wa kuoa mwanamke mwenyewe anaonekana ni shangingi la mjini alfu mtu unaenda kuoa dah hatar hii sema nae uyu mwamba anaonekana ni ngosha mana wanapenda sana wanawake weupe pasipo kuangalia tabia
Jamani mbona mnatulaumu sie wakina mgosha kwa kupenda rangi ya mtume. Wee huoni toto linawaka kweli kweli yaani likiwa ndani ya nyumba unafurahi.

Tena haya mzee yaakikukalia style pendwa ya to yeye lazima utangaze ndoa mkuu
 
Kwa hiyo nyie jinsia yenu hamjakosewa ktk Uumbaji acheni Unafiki ukute jamaa ana mabaya zaidi ya huyo aliyemuuwa
 
Unaweza ukamlaumu mwanaume kwanini amng'ang'anie huyo mwanamke yawezekana Jamaa alishwekewa kitu na mwanamke kwahiyo hawezi kumuacha au mwanaume anajua akimuacha huyo mwanamke atavujisha Siri zake watu wenye pesa Siri ya anazipataje maranyingi mke anakuwa anajua
 
Hiyo ,till death do us part itawamaliza wengi na kiuhalisia haina maana yeyote hasa linapokuja swala la wawili kutoelewana.
Hakuna haja ya kukumbatia huo ujinga

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini wasingeenda wote mwanaume tumeshaambiwa tuishi nao wanawake kwa akili na sio mabavu, kwanini hakumshauri bibie waende wote shida ipo wapi kuna watu ni hasara sana kwa taifa
Unajuaje kama hakuwa na nafasi?labda alikuwa na kazi, au alikuwa safarini n.k
Halafu sio kila anachotaka mke wako unafanya eti ili aridhike hata kama una uwezo huo.
 
Siku zote ukishindaa kumuwahi mwanamke mambo lazima yawe magumu huko mbeleni maana hakunaga siri ya wawili bila kuhakikisha hakuna namna mahusiano yenu yanaweza kuvurugika.

Mwanaume mtawale na umfanye mwanamke kuwa mtu wa kufata oder zako kwa njia yoyote ile, hautakaa ujutie.

Usizubae kiasi cha mwanamke kukuwahi.
 
Kuna wanawake wengine mkiwa kwenye uchumba kabla hujamuoa utaona ni mtu wa maana anayekusilikiza lakini ukishamuoa utaona anabadilika taratibu haswa akishaanza kujua baadhi ya issue zako,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…