Sababu inaweza kuwa hiyo ama fumanizi tuUsikute sababu ya kufikia maamuzi hayo ni baada ya mchizi kujua hao watoto sio wakwake.
maajabu ya Sheria. anaweza asitiwe hatianiSasa mwanaume si ataishia
Kukaa kwenye majengo ya serikali
Huo uamuzi aliyouchukua ni wa kipuz kabisa
Ova
Umetukumbusha tukio la muhimu sana kama referenceOScar Pistorius Ilikuwaje?
Kila siku huwa nasema, ndoa ikishafikia hatua ya wahusika kutoelewana, ni kheri kupeana space, na maisha mengine yaendelee, kuliko kubaki kwa kusema watoto watateseka, mali tutagawana, mwisho wa siku ndio kuishia km hivi.Unaginduaje. Kuwa anashida kwa mtazama tu Tena kupitia picha. Ukweli ni kwamba familia nyingi zina migogoro na mingi husabanishwa na wanawake.ukifuatilia sana utagundua hata unywaji wa pombe umeongezeka kwa sababu za migogoro majumbani
Huyu dada alopigwa risasi amefanya kosa gani?Wanawake huwaheshimu waume zao wakiwa na kitu ukiyumba kidogo hayupo na wewe. Hili naweza kulithibitisha pasi na kubishana wala kuleta theory. Jana nilifanya kazi ya kumshauri rafiki yangu mmoja ambaye mkewe amekimbia na watt kisa jamaa hana kazi hadithi ni nyiiingi sana
Hayo uliyoyaandika nimekuwa nikiyasema humu kwa miaka 20 sasa!Kila siku huwa nasema, ndoa ikishafikia hatua ya wahusika kutoelewana, ni kheri kupeana space, na maisha mengine yaendelee, kuliko kubaki kwa kusema watoto watateseka, mali tutagawana, mwisho wa siku ndio kuishia km hivi.
Kuoa na kuolewa ni hiyari, sio lazima wala jinai.
Unafiki wa kutaka kuiridhisha jamii, ndio matokeo yake haya, na hiyo jamii inabaki kuwalaumu tena wenyewe.
Hata mimi nimeliona hilo.Tatizo, DNA!
Huyo mtoto aliyembeba, bila DNA ,hakuna majibu
Tatizo hapa Bongo ni UNAFIKI, yaam mtu anafanya ili tu airidhishe jamii, matokeo yake ndio haya hapa.Hayo uliyoyaandika nimekuwa nikiyasema humu kwa miaka 20 sasa!
Cha ajabu, kuna watu wengi tu humu walikuwa hawanielewi.
Hoja yao eti ‘utaachana na wangapi’ au ‘watoto watalelewa na nani’.
Nafurahi kuona kumbe mpo na wengine wenye common sense kama mimi.
Mapenzi ni hiari ya wahusika. Wawe wawili au zaidi ya wawili.
Wakishindwana, jambo la busara ni kuachana tu kila mtu achukue hamsini zake kwa amani akaendelee na maisha yake.
Hakuna kabisa sababu ya kusitisha maisha ya mtu kisa mapenzi.
Sasa huyo jamaa kayatupa maisha yake kiboya sana kwa hasira za muda mfupi tu.
Katandika kitanda chake mwenyewe acha akilalie sasa.
Marehemu apumzike kwa amani.
Jamii sasa imeanza kuzoea kuua, huko tunakoenda itakuwa hatari sana.
Kama ni fumanizi na mchizi kwa jicho la fasta anaonekana ana mawe.Sababu inaweza kuwa hiyo ama fumanizi tu
Unajua hizi simu zetu, dakika 1 tu zimekuchoma
Wanandoa wenzangu, tujitahidi kutulia kwenye ndoa zetu
Shetani yupo busy kukuonesha Wakaka wazuri kuliko mumeo ama wadada warembo kuzidi mkeo, lakini ikitokea ukaishi naye huyo nyumba moja kwa siku 365, hutaacha kumtoa kasoro
Tuvumiliane hata kama mumeo ni mtu wa sekunde 29
Hizi silaha wakati mwingine inakosekana hata maana ya kumilikisha watu.
Hawajihami dhidi ya majambazi wala vibaka,ni kutishia walevi bar na barabarani,kujiua wenyewe ama kama hivi.
Sura sio rohoIla mwanamke ni pisi Kali sura ya kinyarwanda kama ya cocastic
Wanaume huwa hatupendi wake zetu watucheatKama ni fumanizi na mchizi kwa jicho la fasta anaonekana ana mawe.
Inawezekana hicho kitu kilimkata mchizi kuona home kila kitu kipo na bado manzi ana cheat.
Wanawake wa kichaga wabinafsi sana wakisha ona mali tu wanachanganyikiwa kabisa wanataka wazimiliki pekeyao bila mume ili wawe na uhuru nazoDah Ni nin jamani kuua mtu wa watu kama hamuwezani achaneni tuu.
Baba jela mama kaburini,nan atalea watoto.Kizazi kinaigia kwenye mateso sasa
Ndo hvy kuna kuuanaAcha masihara,kuwa seriously kidogo unyettuke na mdada anayekufaa😂.
Unajia nini sir,Dunia tunapita,hebu jitahidi kuufurahisha moyo wako walau kidogo.Tafuta hata ile furaha halisi hata ikitokea ni kidogo.Amini nakwambia.Ndo hvy kuna kuuana
Ndio kukoswa akili timamu huko. Utimamu ni pamoja na kuweza kuzitawala hisia zako na kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.Issue sio akili timamu, hapo shida ni uwezo wa mtu kuzuia hasira zake, kudhibiti hasira, kujiepusha na kuwaka hasira. Wengi wenye short temper wanafanya mambo baada ya dk5 wanajutia.