StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Inategemea umeungana na nani na kwa kuunganishwa na nani lakini muhimu zaidi kwa Malengo ganiNdoa inaharibu akili, haina tofauti na ccm, hata uwe na akili vipi ukiingia ccm tu lazima uwe mpumbavu.
Baba bado ana haki juu ya namna ya kuwalea watoto. Hivyo yeye atachagua ndugu anayeona atafaa.Haya mambo yatafanywa na ndugu wa kibongo au ndugu kutoka nchi gani??.
Tutajua tu.. Hadi wakizika ukweli utapatikana . Jamaa kaenda kujisalimisha mwenyewe kama ni pombe saizi imeshaisha anajutia Sasa. Hapo mpaka case iishe Kuna miaka kadhaa ya kukaa sero. Uzuri kama ana pesa hatofungwa. Vumbi likitulia tu anatoka huyoWatueleze sasa.
Shida familia zetu za kibongo wenye moyo wa dhati wa kulea watoto wa ndugu ni wachache mnoo. Ndio maana matukio ya watoto yatima kuteseka ni mengiiBaba bado ana haki juu ya namna ya kuwalea watoto. Hivyo yeye atachagua ndugu anayeona atafaa.
Ooh basi comments zinavyotawala scenario nikajua tayari chanzo kimejulikana!Hapo mpaka umpate mtu anayewajua au mwandishi wa habari za uchunguzi kama Ile case ya jamaa alomchoma mkewe kule kigamboni
Ni mapema mnoo mkuuOoh basi comments zinavyotawala scenario nikajua tayari chanzo kimejulikana!
Hasira zimeisha kajipeleka kwa mganga mfawidhi. Unatenda kosa alafu unarudia kutenda kosa jingine kweli wanaume tuliumbiwa matesoDuh poleni sana
Ila jamaa kafanya maamuzi
Ya hasira inawezekana kauli zilitoka zikamtia gazabu
Duh alafu kajipeleka polisi mwenyewe
Ova
Kabisa! Ngoja tusubiri.. mahakimu ni wengi sana!Ni mapema mnoo mkuu
Nimefatilia huyu jamaa kwanza ni mpambanaji, pia inaonekana ana mahusihano ya kifamilia na millard Ayo huko kijijin kwao uchagani. Mahusihano yake yanazidi miaka 10 na huyo marehemu mke wake. ..Hizi nyumba hizi acha tu nahisi malaika wa zamu kulinda duniani kila siku huwa wanajionea mengi sana ya ajabu na kutusikitikia tu.... Kuna vitu vinachemka kwenye mioyo na nyumba za watu hasa wana ndoa, usione tu nyumba zimeezekwa kwa mabati mazuri zimefunika mambo mazito mno ndani, usione watu wana vifua vikubwa (six pack) au nyonyo kubwa ukajua wanafanya mazoezi gym au wamenenepa, kumbe wamebeba mambo mazito vifuani mwao mpaka wanataka kupasuka..
Kwangu mimi naona huo ugomvi wao utakuwa ulikuwa wa muda mrefu sana mpaka kufikia kuuanaOooh inasikitisha sana kwa kuukatisha uhai wa mtu.
Kunawakati dunia inasononesha sana kila kukicha na shida kubwa ni kuwa wapo watu hawakubali kuwa wao ni wafu watarajiwa.
Ki ubinadam tu,jombaa kafanya tukio hilo kutokana na hasira tofauti na hapo HAKUNA,lakini kwanini AMEUA?
Sawa,
Je,kwanini alishika siraha akiwa na hasira?
Ingalikuwa huenda mimi ni hakimu wa kesi yake wallah ningeenda pale sijui ndio ofisini kwake kiwa nimebebelea mzinga wa NYAGI kwa sababu ningetoa hukumu bila huruma.
Hili kosa ni moja kati ya makosa yanayofikirisha sana.Kisa ndoa?,kwahiyo tusioane au?
Brother Mbaga Jr inasikitisha sana jombaa,imagine mtu slafia kifungoni kisa nyuchi Ingawa haya maneno yako yamenifikirisha kiasi👇.
Unataka kusema sisi(tisionachakupoteza)panatufaa au ni vile tumekata tamaa na maisha🤔?
Zaidi ya zaidi dear Mallerina unakumbuka post ya yule dada.isije ikawa ndio huyu alikuwa aking’ang’ania kuondoka kweye nyumba mzee baba akaona sio vibaya atumie trigger.
Yote ya yote ikifika hatu watu mkishindwana ni vyema muachane kwa wema.
Imagine sumu wanazoziweka katika mioyo yao hao watoto zinawingi ujazo gani?
Haya au tuseme wale watu laana ya kumwaga damu za waTanganyika inawarudia wao wenyewe🤔?
Baada ya hapo niishie kusema nimegundua uzuri na ubaya wa ndoa unasababidhwa na wanandoa wenyewe,kwa uelewa wangu.
Domino moja ikidondoshwa na nyingine zinafuata.
View attachment 3683038Hivyo mliopo kwenye ndoa,hili tukio na mengine mengi yaliyopita na yakawe funzo kwenu na hata sisi amba tunatarajia kutoa laki 3 zetu.
MUNGU AIPUMZISHE SALAMA ROHO YA MAREHEMU.Amina
Naona uzi mzima mnalaumu wanawake, hebu mnieleweshe what happened!🤔
Bahati mbaya ni hii,kujua jinsi ya kuendesha gari ni jambo moja na gari kuwa na Mafuta(Fuel) ni jambo jingine!.Hizo dini pia ndo zinasema watu wawe waaminifu,wapendane,waheshimiane etc.Kama wanandoa wangefuata mafundisho yao ya kidini kuhusu ndoa,wangeishi vizuri tu hadi kifo kiwatenganishe. Shida wanachagua mafundisho ya kufuata na ya kutokufuata. Mfano mzuri fundisho la " usizini" watu wanajifanyaga hawalioni. Watu waache unafiki,kama ndoa yenu inaendeshwa kwa sheria za dini, basi fateni sheria zote,kama inaendeshwa kidunia basi ipelekeni kidunia kwenye kila kipengele. Sio mnaendesha ndoa mnavyotaka halafu yakiwashinda ndo mnakumbuka mstari wa " mpaka kifo kitutenganishe".ilihali mstari wa " usizini au usimtendee mwenzako usivyotaka kutendewa" hamkuukumbuka.
Lakini pia watu wamekuwa wapenda mali zaidi kuliko utu. Kama mume na make wamejenga nyumba Moja si ya kwao ? Wanagombea nn??
Naona uzi mzima mnalaumu wanawake, hebu mnieleweshe what happened!🤔
Bahati mbaya ni hii,kujua jinsi ya kuendesha gari ni jambo moja na gari kuwa na Mafuta(Fuel) ni jambo jingine!.Hizo dini pia ndo zinasema watu wawe waaminifu,wapendane,waheshimiane etc.Kama wanandoa wangefuata mafundisho yao ya kidini kuhusu ndoa,wangeishi vizuri tu hadi kifo kiwatenganishe. Shida wanachagua mafundisho ya kufuata na ya kutokufuata. Mfano mzuri fundisho la " usizini" watu wanajifanyaga hawalioni. Watu waache unafiki,kama ndoa yenu inaendeshwa kwa sheria za dini, basi fateni sheria zote,kama inaendeshwa kidunia basi ipelekeni kidunia kwenye kila kipengele. Sio mnaendesha ndoa mnavyotaka halafu yakiwashinda ndo mnakumbuka mstari wa " mpaka kifo kitutenganishe".ilihali mstari wa " usizini au usimtendee mwenzako usivyotaka kutendewa" hamkuukumbuka.
Aiseee!Bahati mbaya ni hii,kujua jinsi ya kuendesha gari ni jambo moja na gari kuwa na Mafuta(Fuel) ni jambo jingine!.
Wengi wanajua kuendesha magari lakini bahati mbaya magari yao hayana Mafuta. Hivyo automatically katika hali hii gari haliwezi kwenda!
Hata kama,haiwezekani jamaa amlipue mwenzie.Roho ya mtu inaishi hata ukiitoa,usiniulize why i know this.Ikitokea amemdhurumu mtu jambo flani unajihisi hali gan?Imagine ndio mtu aue.Kwangu mimi naona huo ugomvi wao utakuwa ulikuwa wa muda mrefu sana mpaka kufikia kuuana
Acha bangi wewe, kweka yupo haiKweka!
Ila tunapoelekea ata kuuana litakuwa jambo la kawaida maana kuna uovu mwingine unafanywa na watu wanaona kawaida....Hata kama,haiwezekani jamaa amlipue mwenzie.Roho ya mtu inaishi hata ukiitoa,usiniulize why i know this.Ikitokea amemdhurumu mtu jambo flani unajihisi hali gan?Imagine ndio mtu aue.