Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

Hii ndo habari niliopata asubuhi nashangaa watu humu wanaomgea vingine.. na kuna sms zimeonekana alikua anamwambia mwanasheria kuhusu talaka
 
Hii mbona ilishajulikana toka mda asubuhi alipohojiwa mdada wa kazi.

Tena huyo mwanamke alikua anatafuta mwana sheria ili afanye mambo ya talaka, na ilikua leo ndio wakutane na mwanasheria huyo.
 
Hizi silaha wakati mwingine inakosekana hata maana ya kumilikisha watu.

Hawajihami dhidi ya majambazi wala vibaka,ni kutishia walevi bar na barabarani,kujiua wenyewe ama kama hivi.
Hiyo silaha ni kisingizio tu,Juzi kuna mtumishi ametoka kumunyonga Mke wake Mwalimi mpaka kifo huko Mkoani Singida.
 
Kwa mtiririko huu risasi moja haimtoshi
 
Wengi wanaouliwa ni wanawake lakini hawajifunzi kamwe,na sababu inayochangia vifo hizo ni usaliti wa wanawake.
Unakuta mtu ana mume lakini anachati na wanaume ambao sio ndugu zake-kifuatacho ni kifo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…