Mambo haya ...mtu kashazoea kujiweka status kua yeye wako na pesa na Ile kukaa na marafiki kujimwambafai na mashosti una hela, mume ana hela, kujiweka status Instagram na TikTok, mwenzio kayumba kidogo , badala u play a role as a loving wife and supporting wife kama ambavyo alikua anafanya hivyo kwako, wewe ndio unamuongezea matatizo, halaf eti unataka kuuza Mali ambazo watoto ndio mnawatengenezea kesho yao, halafu unaondoka nyumbani mwezi mzima, watoto hujui wanakula nini ama vipi, aise inahitaji moyo wa kipekee sana kutokuua. Tena ANARUDI na kujilalia zake, watoto wanaandaliwa na dada wa kaziKumbe za ndani, mwamba na huyo dada wote familia bora.Huyo jamaa familia yake kila mtu anaifahamu nikiitaja, wana kiwanda n.k
Jamaa uchumi uliyumba, kapata frustration akapigwa na kisukari.Demu kawehuka kaanza kuomba talaka na kutaka kuuza mali - jamaa kagoma anamwambia mali za watoto.Dada kiburi kikajaa, kaanza kuzingua, aliondoka nyumbani mwezi mzima hayupo huyo dada, anakolala anajua mwenyewe.Jamaa naye akaenda zake Moshi.Dada kurudi juzi, majirani wakampigia simu, mkeo karudi, jamaa katoka moshi, kapanda chuma cha usiku, anaingia kwake saa 11 asubuhi.Kakuta dada wa kazi anaandaa watoto kwenda shule, kauliza mama yuko wapi kaambiwa chumbani, kwenda huko kilichotokea hakijulikani, milio ya risasi ikaunguruma.Jamaa katoka kaenda kwa dada wa kazi, kamuambia nimeishamalizz kazi yangu kaenda zake kawe kituoni kujisalimisha, Dada ndo kwenda chumbani kakuta jamaa kafumua kichwa
Umenena vema mkuu.Wale waliokuwa wanawaambia " msiachane watoto watateseka" ikitokea tukio kama hili na wenyewe wanaanza kusema" bora mngeachana kwa amani kuliko sasahivi mama kaburini baba jela, watoto watalelewa na nani??"" Mwanandoa mwenzako akianza kukupiga matukio magumu jamani ni bora kukaa mbali nae hasira zipoe. Huyu baba inaonekana hakudhamiria kumuua mkewe ndo maana kaenda kujisalimisha polisi kabisa, hapa unakuta ni makwazo ya miaka mingi yamejaa moyoni, siku ukikasirishwa kidogo tu unalipuka unafanya tukio ambalo hukutegemea.
Huyu jamaa kama nilisikia story yake, clouds FM Asubuhi.Tupambane mkuu, tukimtanguliza Mungu mbele, tutafika!
Nicheki inbox nikupe mbinu itakayomuathiri kisaikolojia miaka yoteNishajipanga kwa hilo, kuna kitu nikishaweka sawa, sitakua na cha kupoteza tena.
Mauaji ya namna hiyo wengi huwa wanatoka kwa kuua bila kukusudia.nimesha shuhudia 3 wakitoka.Sasa mwanaume si ataishia
Kukaa kwenye majengo ya serikali
Huo uamuzi aliyouchukua ni wa kipuz kabisa
Ova
Hawatumii bunduki ila huwa wanaua kwa kutumia saikolojia pamoja na sumu au uchawi.Nashangaa
Why ME wengi wanasupport hii kitu alofanyiwa dada
Ushasikia KE kafyatulia risasi ME?
Itike mahala wanaume mjitathmini,.hata nyie mna makosa mengi sana
Nakujaa dear.Nicheki inbox nikupe mbinu itakayomuathiri kisaikolojia miaka yote
Hiyo ni lazimaHapa kwa haya majina chanzo kikubwa itakua ni Mali
Wanatoka kwenye jamii ambayo mali n kila kitu
😢😢Nitamuua nikishahakikisha kafa kabisa, naenda mwenyewe kujisalimisha polisi, hata wasisumbuke kunitafuta.
Dah kumbe cocastic ndo bountiful hivi King Kong IIIPole sana, chukulia poa, samehe tu.
Ukiua utajiweka matatani. Yeye muda huo ameshajipumzikia zake.
Halafu sura hata haijakaa kikatili
Msalimie mumeokaa kwa kutulia wewe mla ugali na picha ya samaki, au ndio wewe loosenut
Sasa utaje usitaje Kila kitu si kipo hadharani Mzee, wewe mtu umemjua hapa na story za vijiweni huko halafu unajidai kuweka code wakati jamaa anafahamika long time kitamboKumbe za ndani, mwamba na huyo dada wote familia bora.Huyo jamaa familia yake kila mtu anaifahamu nikiitaja, wana kiwanda n.k
Hutaki auYadanganye majinga!
Na aliyereply comment yangu msukuma 😎Na muweka comment mpare...
Pole sana mkuu na inasikitisha sana kupotezana na mtu tokea utotoni alafu unakuja kumuona ukubwani kwenye matatizo kama haya haijalishi ukaribu mliokuwa nao utotoni🥹🥹Utotoni huko , Miaka mingi sijawahi muona tena
Hakika mkuu hasa hasa sisi ambao hatuna pisto Yani wake zetu wanasema "NIPIGE KAMA WEWE MWANAUME" alafu huku anakusukuma uso na manyonyo yake daaaaah😀😀Si ndio wanaropokaga,,niue niue kama we mwanaume...
Nyeto tyr inanipa furahaUnajia nini sir,Dunia tunapita,hebu jitahidi kuufurahisha moyo wako walau kidogo.Tafuta hata ile furaha halisi hata ikitokea ni kidogo.Amini nakwambia.
AiseeeeeNa aliyereply comment yangu msukuma 😎